rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia watumishi usituongezee mshahara tena, hii miaka 2 kila kaya ipate maji safi

    Hata shetani anajua kuwa Tanzania ina Rais bora kabisa na mwenye utu. Haijawahi kutokea ndani ya miaka 4 mfululizo watumishi kula shushu kiasi hichi. Sasa hivi ofisi za umma parking tunagombania, watumishi tunalala mahali pazuri sasa yaani tuna nyumba nzuri za kisasa. Watumishi ndio wamiliki...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni moyo wa Taifa ulioshikilia Uhai na Ustawi Wake. Tumlinde kwa gharama yoyote Ile iwayo

    Ndugu zangu Watanzania, Kitu chochote Chenye Thamani Hapa Duniani ni lazima kilindwe kwa Gharama ya Aina yoyote ile iwayo. Rais Samia Ni Moyo Wa Taifa hili Ulioshikilia uhai na ustawi wake. Ni Pumzi ya Taifa ambayo ikipungua tu nguvu yake kuna hatari ya Kusambaratika,kugawanyika na kupasuka...
  3. Asantehene

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angeongoza kwa weledi nyumbani angeweza kushika nyadhifa kubwa duniani baada ya kumaliza awamu yake ya urais

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres anatarajiwa kumaliza muda wake kama Katibu Mkuu wa tisa aliyeliongoza Shirika la Umoja wa Mataifa kwa miongo miwili, hadi hapo Desemba 31 mwaka huu. Kama kawaida, siasa za chinichini zimekwishaanza za kumpata mrithi wake, huku mataifa kadhaa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Mimi namuamini Rais Samia kuliko Jaji Chande

    Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande haviwezi kuwa sawa na vyanzo alivyokuwa navyo Rais, watu wamevuka mpaka Rais anatuambia kutoka nje...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kwa tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania unaachia polepole

    Wakuu, Akizungumza kwenye kongamano la UVCCM la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano Rais Samia amesema huko tunapoendea mshikamano wa kitaifa unaendelea kupungua "Nimeacha neno mshikamano. Na hapa ndipo nataka vijana tutafakari. Neno mshikamano. Tunavyokwenda hivi, mshikamano wa Watanzania...
  6. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua meli ya kwanza ya Uvuvi Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Meli ya Kwanza ya Uvuvi wa Bahari Kuu , ambapo uzinduzi wake utafanyika Makao Makuu ya Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO ) https://www.youtube.com/watch?v=KNtGE0c9vOw More to follow:
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yaliponya Taifa na kuwafuta machozi ya Huzuni waliokuwa wakibubujikwa na machozi kwa kupoteza wapendwa wao

    Ndugu zangu Watanzania, Itoshe Kusema Ya Kuwa Rais wetu Mpendwa ameendelea kuonyesha Namna anavyothamini ,kujali, kuheshimu na kuwa na uchungu sana na Uhai na Maisha ya Mtanzania mmoja mmoja na watanzania wote kwa ujumla wake. Ameonyesha Moyo wa Upendo na Huruma kwa watanzania. Ameonyesha...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: "Janga na Doa Kubwa kwa Taifa!

    Rais Dkt. Samia alisema: "Hili ni janga na doa kubwa kwa Taifa letu." Alisisitiza kuwa kazi ya Tume imeiwezesha nchi kupata uelewa sahihi wa kilichotokea, ikijumuisha uchambuzi wa kina uliotokana na ushahidi wa mashahidi 1,323, maelezo ya viapo 953, pamoja na maoni yaliyokusanywa kupitia njia...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia , huu ni mtihani wako wa mwisho. Mtihani huu ndio utaamua wapinzani wakuheshimu au wakudharau.

    Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli. Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa. Rais Samia ulipoingia ulitaka uonekane mwema kwa watu wote, ndio maana ukaanzisha 4R, ukawarudisha akina LISSU na wenzake waje...
  11. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iundwe tume nyingine ya kuchunguza matukio ya mauji ya October 29 baada ya Rais Samia kusema ripoti ya Jaji Chande ni ya kwake na mtu asiombe kuisoma

    Nchi imepoteza mabilioni kuunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29. Leo Tume ya Chande imetoa ripoti na kumkabidhi Rais. Cha kushangaza ni Rais kusema ripoti ya Tume ni ya kwake yeye kama rais na haiwezi kuombwa na wanachi ili waisome! Wananchi tunahitaji kujua Tume imebaini mambo gani...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hii ni ripoti ya Rais Samia akitoka ikulu atoke nayo, je akiwa nje ya ikulu itamsaidia Nini?zaidi ya laana?

    Mama shikamoo Je ripoti hii itakisaidia Nini? Sawa ni yako lakini tukubakiame imeandikwa vifo vya watu je itakisaidia Nini?
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu, wenye maslahi binafsi kuvuruga tunu ya amani

    "...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu. Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ripoti hii ni ya Rais wasije wakatokea watu wengine wakadai ownesrhsip ya ripoti hii

    "Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Nimesikia kuna statement imesema ‘Tunamtaka Samia wetu tunayemfahamu’. Mimi ni Samia yule yule wa 4R

    Wakuu, Rais Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam. "Ndugu wananchi, wakati nafuatilia uwasilishaji wa ripoti hii katika... nilisikia...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sikutarajia Kadhia hii ingetokea nikiwa Rais, Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu

    Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutagharamia matibabu ya majeruhi ya Oktoba 29. Wafanyabiashara tutaangalia namna 'tutawafariji'

    Wakuu, Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
Back
Top Bottom