rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. F

    JamiiForums Tanzania Samahani Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama Samia Wengi watatoa maoni yao kuhusu hotuba yako na wahariri wa vyombo vya habari lakini leo sitajiunga nao bali nitakupa zawadi ya kutimiza siku 100 kwa Post hii ya kukuomba msamaha. Sio kwa post zangu ambazo zimekuwa critical bali kwa "Kutokukupa Muda". Mheshimiwa Rais wote walio na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

    Nawaza na kuwazua sipati jibu. Ndani ya siku 100. Tanzania yametokea mambo ambayo sijui "_aliyekuwa na nchi akiamka atasemaje. Hebu ona hii orodha: 1) CHADEMA wameshinda kesi hivyo 350 miilion zirudishwe 2) Barakoa mpaka viunga vya ikulu 3) Sabaya yupo jela 4) Mdude kaachiwa 5) Kufundisha...
  3. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia kwa kasi na viwango

    Kimya kina mshindo, Watu wanasema Mlimwengu huoni? Mbona husemi? Mlimwengu nilichagua kutumia milango yangu ya fahamu vizuri kutathmini yanayofanyika. Baada ya dhiki ni faraja. Tulipata msiba wote, tukahuzunika wote na ikawa hakuna wa kumfuta machozi mwenzake.Baba yetu Hayati Magufuli...
  4. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bagamoyo ulitakiwa uanze kabla ya Bwawa la Nyerere, Rais Samia umetuheshimisha

    NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA Na Yericko Nyerere Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi huu kwa hoja dhaifudhaifu na za uongo wa kiwango cha rami. Nikampinga baada ya kufariki baada ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hatua zaidi zinahitajika kukabiliana na COVID-19

    Mama Samia rais wetu, umetufahamisha rasmi uwepo wa ugonjwa huu mbaya hapa nchini. Umetaka maelekezo yote yanayotolewa na wataalamu kufuatwa. Kwa mioyo mikunjufu yote tumeyakubali na tutayazingatia. Tunaamini maelekezo yako ndiyo ulio msimamo rasmi wa Serikali na kuwa hayatakuwa maneno matupu...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tuna wagonjwa wa Wimbi la Tatu la Corona

    “Tanzania tuna wagonjwa wa wimbi la Tatu la Corona. Hili jambo bado lipo, tuchukue hadhari zote na tunawaomba viongozi wa dini mseme hili kwa sauti kubwa" Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza na baraza la maaskofu katoliki (TEC) #Tanzania #COVID19 ========= Rais Samia Suluhu...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajengewe mnara wa kumbukumbu

    Habarini, Kama katiba yetu inavyosema kuwa 'kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake kwa uhuru', Mimi pia nina maoni yangu. Pale posta kwenye mnara maarufu wa Askari ninashauri mnara wa Askari utolewe na uwekwe mnara wa Samia Suluhu (Rais wa Jamhuri ya Muungano). Maana wengi hatujui maana...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

    Mama katimiza siku 100 madarakani baada ya kifo cha Magufuli Ukiachana na kicheko kwa wafanyakazi weka tathmini yako ya haki hapa Alikopatia Alikokosea Alikochapia Alikozembea Alikokurupuka Weka projection yako na ushauri wako kwake. Anatusoma a ametuasa tusikosoe tu na kujibishana mitandaoni...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Heri Rais Samia akaruhusu mchakato, asisubiri mashinikizo

    Suala la kuwapo au kutokuwapo kwa katiba mpya kwa sasa halina mbadala tena. Ni wazi kuwa watanzania walio wengi tunahitaji katiba mpya na iliyopo haitufai tena. Tofauti iliyopo ni kwenye viwango (extent) tu. Ni dhahiri kuwa mchakato huu usiporuhusiwa kwa hiari, mashinikizo yatafuata. Huu ndiyo...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri na wosia wangu kwa Wakuu wa Wilaya walioteuliwa na Rais Samia

    Kwanza napenda kuwapa hongera, hongereni sana kwa wote mlioteuliwa kuwa maDC nendeni mkachape kazi. Wote mlioteuliwa mimi nawafahamu vizuri ni vijana mnaojituma sana kwenye jamii. Jamii inawafahamu jinsi mnavyotumia akili na uwezo wenu kwa weledi katika utafutaji na ujasiliamali mbalimbali...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Ummy Mwalimu sio mtu wa haki; haendani na wewe

    Kama ambavyo imeonekana Mh. Rais amekua akihubiri watu kutendewa haki,ameonekana kuwa kivutio kwa makundi yote ya kijamii. Amekubalika hata na wanasiasa wa upinzani na sasa ajenda yao imebakiatu kuwa ni katiba mpya. Mh. Rais amemuweka waziri wa TAMISEMI ambaye ni mzugaji hamaanishi juu ya yale...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Balozi Hussein Katanga msaidie Rais ipasavyo, teuzi za Wakuu wa Wilaya kuna dosari kubwa

    Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa. Kuna uwezekano makundi fulani yenye maslahi yanapenyeza ajenda zao katika teuzi hizo na yanakushinda nguvu wewe kama...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Suluhu kwa kuwakumbuka vijana lakini baadhi ya wazee uliowaacha ni wachapa kazi na waadilifu sana. Naomba usiwasahau

    Mhe. Rais, nakushukuru na kukupongeza kwa kutekeleza ahadi uliyotoa ukiwa ziarani mkoani Mwanza juu ya kuteua vijana tu kwenye nafasi ya U-Dc. Mhe. Rais kwa hakika umedhamiria kwa dhati ya moyo wako kuleta mabadiliko makubwa kupitia vijana. Naamini vijana ni jeshi muhimu La mabadiliko kwenye...
  15. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

    Habari wakuu, Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas. Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nitamwamini na kumuunga mkono Rais Samia atakapotatua suala la fao la kujitoa

    Habari! Sasa ni awamu ya 6 kwa mujibu wa Rais mwenyewe na serikali yake. Rais Samia Suluhu nitakuunga mkono kama utaondoa dhuluma hii kwa vijana. Kumnyima kijana asichukue fedha yake kwenye mfuko wa kijamii mara baada ya ajira yake kukoma ni dhulma isiyovumilika. Hebu vuta picha kijana...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Samia mpaka 2030 wanajua maana ya demokrasia? Je, somo la Awamu ya Tano halikueleweka?

    Wakuu wameanza tena, Wanasema mama mpaka 2030 na atakayempinga atakiona. Najaribu kuwaza hawa watu tunaposema "Kila amtegemeae mwanadamu amelaaniwa" hawaelewi? Awamu ya Tano walianza hivihivi, wakamtia kibri JPM wakakufuru na mwisho laana ikawa juu yao. Ameanza Kigwangala, jana tukamsikia tena...
  18. Leak

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mara asema Rais Samia ataongoza nchi hadi mwaka 2030, awaonya wanaompinga

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali. Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
  19. tpaul

    JamiiForums Tanzania MATAGA wadhibitiwe, wanamkwamisha Rais Samia Suluhu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe. Baada ya mwendazake kufanikiwa kuiharibu hii nchi kwa kubaka Uchaguzi Mkuu wa 2020, sasa CCM inaongoza nchi nzima kuanzia Balozi hadi Rais. Mwendazake aliwahi kusema kwamba CHADEMA ndio wanamkwamisha kuwaletea wananchi maendeleo, hivyo akaamua hata...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mawaziri acheni kumsifia Mama Samia kupitiliza, chapeni kazi!

    Leo huko Misungwi kulikuwa na tukio la kitaifa mbashara karibu vyombo vyote. Inasikitisha sana mnatumia muda mwingi kumpamba Rais katika hotuba zenu. Kazi tunajua mnafanya vizuri lakini mnaboa sana kumpamba mkubwa hadi mnatoka nje ya tukio. Aweso punguza mbwembwe na kuinua misuli na mifano ya...
Back
Top Bottom