The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa.
Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano.
Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
Bi chura ajiandae. Salamu zishatumwa.
Trump katuma meseji ya wazi bila kumung’unya maneno kwa serikali ya kiislamu ya Iran akitoa tahadhari kuwa ataingia kuwanusuru raia wa Iran kama serikali itaendelea kuwauwa waandamanaji. Ujumbe huu umfikie bi chura. Siku zake zinahesabika.
Chawa na wenye...
Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo.
Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Justine Masejo, kijana huyo apatikanae na ikiwezekana ukoo...
Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania.
Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja za chuki dhidi ya wakosoaji na watoa maoni mbadala kwa Viongozi (waliohaini Oktoba 29)
Wanajua...
Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania
Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu 2025, lilikuwa ni tangazo la maandalizi ya vita dhidi ya raia.
Kitendo cha kutoa...
Vyombo kadhaa vya habari barani Ulaya na Marekani vimeuandika raisi Samia vibaya sana kuhusu azma yake ya kung'ang'ania madaraka ambayo ilimpelekea kuamuru raia wake wauawe na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Lakini gazeti la The Sun la nchini Uingereza toleo la tarehe 6 Disemba nalo...
Mimi kama mtanzania mzalendo nasikitishwa sana na taasi za umma ambazo zinatumia fedha za umma katika kazi zinazotekelezwa kwa viwango vya chini hatimaye kutumia fedha nyingi za wananchi katika jambo moja mara kwa mara wakati pesa inayopotea ingeweza kufanikisha utekelezaji wa masuala ya msingi...
Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo.
Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye alikuwa mbunge wa Peramiho amekufa katika mazingira tatanishi...
Credit to Hilda Newton (X)
1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186.
Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake.
Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi.
Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
Nimeona taarifa ya tozo ya HIV katika ununuzi wa magari, sijui hii tozo kama ilipitishwa na linaloitwa bunge la JMT au hata kama ilipitishwa sijui ni lini kwa sababu nimeacha kabisa kufuatilia mambo ya bunge tangu mwaka 2021 Hata hivyo pamoja na kutawaliwa na watu waliojipachika wenyewe...
Kupitia page ya Instagram ya kado media imeonyesha tukio la kushangaza, msanii MKUBWA Arusha na diwani dogo JANJA akipiga show ya Vodacom ya wazi isiyo na kiingolio, kichekesho hakuna raia hata mmoko aliesogea, mzee KAIMBA mwenyewe na watu wa Vodacom walio andaa hio hafla aisee watu hawana...
Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama,
Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule,
Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
Hii ni relini Unga Limited huyo hapo wameweka barrier wanataka vitambulisho na maswali kibao hadi ndui wanataka kuona kufika hapo huyo boda akawaambia anaenda mount meru hospital mkewe kaenda kujifungua et wamemzuia kupita na wamempiga mbaya then wamemuingiza kwenye gari kama unavyo ona hapo...
Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio kadhaa ya aina hiyo kuendelea.
Hali hii inanigusa kwa kuwa inavunja misingi ya haki, uhuru wa...
Hivi mnajua siyo lazima ifanyike "Physical Demonstrations" ndiyo tuyaite maandamano! Maandamano yapo ya aina nyingi ikiwemo "Non Physical Demonstrations" mfano hii "Civil Disobedience" inayoendelea kwa sasa ni maandamano tosha!.
Dalili za kwamba tayari maandamano yameshanikiwa hata kabla ya...
GT
Sikilizeni watawala huko waliko wana bet hawajui kesho itakuwaje. Siri kubwa ni kwamba you can't defeat the mass.
Nguvu ya umma ni hatari sana. Ikumbukwe M029 waliua na kuuwawa sana. Swali ni je wataua tena? Jibu ni Hapana wamechanyikiwa mkandamizo ni mkubwa sana. .
Kwa sasa wamebaki...
CCM imeifikisha nchi sehemu mbaya sana, kwa sasa raia unawindwa kama paka na ukipatikana unapigwa kama mbwa mwizi na kuteswa ikiwezekana uuwawe kabisa.
Why ? Ni hawa matajiri wanafanya haya? Au vigogo wanaopora haki za raia wa kawaida ? Inahitaji kuandamana hadi viongozi watusikie?
Lugha za mipasho zilitamalaki
Hili limetuvunja moyo na kutuudhi wakatoliki
Siamini kuwa raia namba 1 alishindwa jinsi ya kuwataja Kwa heshima maaskofu catholic na kuwajibu hoja zao kuliko kuwaita wavaa majoho
Yaani maaskofu wanaoongoza zaidi ya robo tatu ya wananchi wote kiroho unawabagaza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.