The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.
Niaje waungwana
Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon.
Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
Juzi nilienda hospital moja ya serikali. Baada ya mlolongo mrefu wa huduma za hapa na pale, hatimae nikaelekezwa ilipo duka la dawa la hospital nkaenda kununua hapo.
Nikiwa hapo katika foleni ya kununua dawa Kuna wagonjwa waliokuwa mbele yangu na wengine pembeni yangu ambao walishindwa kumudu...
Fremu za Tegeta Nyuki zilijengwa na wananchi wakaambiwa wachukue kodi kwa miaka 10, kisha fremu zirudishwe Halmashauri wapewe wananchi wanaohitaji kupanga. Lakini mpaka sasa miaka 10 imeisha muda mrefu. Kwa nini mpaka leo hawajarudisha fremu hizo?
Nasema hivi kwa sababu wapangaji wanaumizwa...
Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu.
Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
Jeshi la polisi lifanye uchunguzi mapema ,tuwahakikishe usalama wawekezaji.
Suala la mchina aliyeuawa mabibo Dar ni suala ambalo linaweza kuwapa hofu wawekezaji juu ya usalama wao nchini kwetu na kufanya tukose wawekezaji hasa wa nchi kubwa kama china.
Lakini kampuni hizi zisimamiwe kampuni...
LHRC: KUREJEA KWA KASI KWA MATUKIO YA UTEKAJI NI TISHIO KWA UHURU WA RAIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI
Tarehe 22 Mei 2026, Dar es Salaam
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani na kupinga vikali kurejea kwa kasi matukio yenye sura ya utekaji nchini. Katika siku za hivi karibuni...
Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa:
• kuporomoka kwa tawala,
• majeraha ya kizazi kwa kizazi,
• migawanyiko ya kitaifa,
• hukumu za kimataifa,
• au viongozi...
Tanzania, nchi yenye mamlaka kamili iliyosaini mikataba mbalimbali ya Kimataifa hususani mikataba ya kulinda haki za binadamu na ulinzi wa rasilimali za umma imeacha misingi hiyo,na sasa inajinadi kuwa na Demokrasia yake na tamaduni zake.
Kwa kuwa lengo ni kukuza aina mpya ya Demokrasia ya...
Serikali ya Ghana imetangaza kuwahamisha raia wake 300 kutoka Afrika Kusini, kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni nchini humo katika wiki za hivi karibuni.
Katika ujumbe aliochapisha kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mambo ya Nje, Samuel Okudzeto Ablakwa, alisema Rais John...
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa...
Hii mambo ni moto! Raia wa Haiti wamechachamaa baada ya kuskia Kenyan police wako under MSS wanapack bags kurudi home. Badala ya kushangilia, watu wameingia streets wakisema “msituache kwa mikono ya gangs!”
Kwa video imeleak online, wananchi waliblock roads kabisa kuelekea St. Marks na Pont...
Hamjambo!
Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli hii haikutegemewa kabiss.
Iran amejitahidi kuonyesha uwezo alionao kupinga dhulma ya Mayahudi na...
Baada Irgc kushindwa vita wameamua kuwatoa na kuwalazimisha wananchi wao kuwa kafara.
Hii inaonyesha hili jeshi ni la kigaidi kabisa, inakuwaje. Wao wabaki kwenye mahandaki wajikinge watangulize wananchi mbele.
Hii ni aibu kubwa bahati mbaya hao wananchi watahesabiwa kama magaidi na wanajeshi .
Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu
Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo.
Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita.
Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
Kwanza ieleweke wazi kuwa mambo haya utekaji na kudhibiti wapinzani hata kwq kuwaua yalianza hata awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere. Wapinzani wengi wa Mwalimu Nyerere walipotezwa na hata kuwekwa ndani bila kufikishwa Mahakamani .
Kumsingizia hayati JPM ku2a ndio muasisi wa haya ya utekaji na...
Warundi wengi wana background ya Ukimbizi wa nchi mbalimbali ikiwemo hapa Tanzania.
Serikali ya Tanzania iliingia makubaliano na Serikali ya Burundi kuwarejesha warundi wote wanaoishi kwenye makambi ya wakimbizi Nduta na Nyarugusu.
Sasa baada ya kurejea makwao, Warundi kwa kushirikiana na...
Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.