ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,833
- 39,757
Lugha za mipasho zilitamalaki
Hili limetuvunja moyo na kutuudhi wakatoliki
Siamini kuwa raia namba 1 alishindwa jinsi ya kuwataja Kwa heshima maaskofu catholic na kuwajibu hoja zao kuliko kuwaita wavaa majoho
Yaani maaskofu wanaoongoza zaidi ya robo tatu ya wananchi wote kiroho unawabagaza na kuwaita majina ya ajabu ati ' wavaa majoho '
Hii kauli ingependeza ingetoka Kwa Rayman mwingine lakini siyo kutoka Kwa mheshimiwa sana raia namba 1