raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa Kenya wanaoishi Tanzania wahakikishiwa Usalama na kuhimizwa kufuata Sheria za nchi

    Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu Kupitia taarifa iliyotolewa Novemba 5, 2025, Ubalozi huo ulisema kuwa ustawi wa Wakenya walioko Tanzania unabaki kuwa kipaumbele...
  2. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya sana na imetuacha pabaya zaidi kama raia

    Habarini ndugu watanzania wenzangu. Huu ni uzi wangu wa kwanza tokea niweke uzi wa mwisho hapa kwasababu niliacha kuandika kwa muda ili kupisha harakati na purukushani za uchaguzi kupita. Nawasalimia nikiwa na huzuni kubwa sana moyoni kutokana na misiba mingi ya ndugu,jamaa, marafiki na...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?

    Mauwaji ya watu 1000 yalitokea kiholela holela jeshi tujiulize sisi tunalinda nini sasa inakuwaje raia wafe kwa kiwango kikubwa hivi na sisi tupo tu?. Hili wala aio suala la mkuu wa majeshi hili ni suala la kila askari wa JWTZ sasa mnalinda nini watu wameuwawa na nyinyi mlikuwa mitaani sasa...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29

    Watekaji wamekuwa wakitekeleza uhalifu kwa gari aina ya cruiser nyeupe na ndio wale wale tuliowaona kwenye video wakiuwa raia October 29 Hii inaonesha kuwa watekaji ni vyombo vinavyoaminika kama vya usalama ndio wahusika
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji ya raia 1000 na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania hayana mashiko

    Hoja za polisi za kushtumiwa kwa mauwaji na kuja na majibu ya waandamanaji sio watanzania sasa ni wa nchi gani je sheria zetu zinataka wauliwe? Sijasikia nchi yoyote ikilalamika raia wake 1000 wameuliwa Tanzania inamaana hao wasio watanzania ni wa taifa gani ? waulizeni vizuri hao mapolisi...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mauaji ya raia hayakuwa vitisho na yatakuwa na matokeo mabaya katika siku zijazo

    Mauaji ya raia hayakuwa vitisho bali ni kuwajaza chuki wananchi na visasi dhidi ya vyombo vya usalama. Tutarajie nini baada ya watanzania kupoteza ndugu zao kama sio machafuko zaidi
  7. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Wahuni na Raia wa Kigeni waliotoka na walichofanywa?

    Tuliambiwa ivyo naomba kuuliza je WALICHOFANYWA mbona kimefanyika kwa ustadi mkubwa utafikiri wafanyaji wana experience ya kufanyanyiwa ivyo then wakarudi Binadamu kumbe wanaweza fanya ivyo na isiwe ata dhambi kwa Mungu ?
  8. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Je, Damu za Raia Ndiyo Ufunguo wa Kimamlaka Uongozi?

    Kama Unavielewa Vile Vyama Vya Siri na Wanaoiiendesha Dunia Karibu Tujadili kwa Undani. Niendelee kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopotezwa kwa kuuliwa kupitia askali waajiliwa wa government yetu. Nimejiuliza kimya kimya ila jibu linakosekana ila matukio mengi huko nyuma na sehemu...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Raia wamekosa imani na magari ya serikali, ikibidi yasiwe tinted

    Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote wakaitolea macho ile gari kuangalia nani anashuka. Na wengine wakawa wanasema ni magari kama hayo...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Utawatala vipi raia wasiokutaka uwe mtawala wao?

    Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao. Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili. Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Novemba 3 - Nimepokea SMS ya Polisi: Wanatisha raia kutosambaza picha na video

    Nani mwingine amepata hii SMS ???
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  13. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pendekezo: TLS Watusaidie Kukusanya Taarifa Za Raia Waliouawa au Kujeruhiwa Kwa Risasi Za Moto Tangu 29 October 2025.

    Naamini kuna haja ya kuwa na kumbukumbu sahihi za raia wenzetu ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu 29 October 2025. Hivyo, ninapendekeza familia za wahanga ziwasilishe kwa TLS taarifa za ndugu zao ambao wameuawa au kujeruhiwa kwa risasi za moto tangu maandamano ya 29 October...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

    Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenerali Ulimwengu aonya vikali mauaji ya raia wema wanaopambania nchi yao

    Namnukuu "Hakuna kabisa msamaha au sababu zinazoweza kuhalalisha kile kinachotokea Tanzania sasa hivi — uuaji wa watu wetu; kabisa hakuna! Acha wazimu huu wa kudhani kwamba watu wetu ni watumwa wenu na hawawezi kujiondoa chini ya mnyororo wa utumwa wenu. Ndiyo, wanaweza na watafanya hivyo, na...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  17. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  18. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna sehemu (hasa za uswazi) maandamano yakiwepo raia wataibiwa sana

    Raia wakiwa wanapanga namna ya kuandamana , wapi pa kuanzia, Panya road nao bila shaka watakuwa wamejipanga kuiba kwa kigezo cha maandamano. Umakini uwepo.
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
Back
Top Bottom