rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna kitu rahisi kama kumtongoza demu mbaya

    Kumtongoza demu mbaya ni rahisi kinoma ani unampeleka unavyotaka hata akikataa unamcheka tu
  2. Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

    Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim. Lakini ukweli ni zaidi ya hapo. Unajua hizi pia ni sifa za masikini? 1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali. 2/uvivu 3/kuridhika na ulichonacho 4/kushindwa kua tofauti na wengine. 5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi...
  3. Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  4. Hela Rahisi kupata pasipo jasho ni hizi hapa

    Kama mtu angenunua hisa za Amazon mwaka 2001 Octoba hisa moja iliuzwa $5.5 kufika mwaka 2021 July. Hisa moja ilikuwa ina thamani ya $3700. Laiti ungenunua hisa 1000. Kama uliwekeza $5500 mwaka huo Leo hii mwaka huu ungekuwa na $3.7M, Ina Mana 12.65M TZS leo hii ungekuwa na bilioni 8.51 TZS...
  5. A

    Maisha ya Mwanadamu katika dunia ya digitali yamekua usanii na rahisi sana

  6. Kwa Picha: Mfundishe mwanao njia rahisi kabisa ya kuchora ndege

    🤗🤗🤗
  7. M

    Msidanganywe eti sasa hivi hali ya maisha ughaibuni ni rahisi

    Mzuka wanajamvi! Nitasema tu ukweli. Hali ya maisha sasa hivi ughaibuni / ulaya ama mamtoni ni ngumu sana. Maisha yamekuwa Magumu sana hasa kwaanzia mwezi wa tatu mwaka jana baadaya hii Corona. Maelfu na Maelfu wamepoteza kazi zao na kujiandikisha kwenye employment benefits. Kazi za kubeba...
  8. C

    House4Sale Pata nyumba za bei rahisi

    Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha). Vilevile kuna viwanja vya kuanzia Milioni 2 kwa mita kumi kwa kumi na unakatiwa kulingana na hela yako...
  9. Powertools aina zote zinapatikana kwa bei rahisi sana

    *Bei Rahisi *Vifaa vyenye ubora *BRAND TOFAUTI TOFAUTI Cordless drill Jigsaws, circular saws. Generators and grinders pamoja na drill bits na misasa. TUPO KKOO MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU Piga 0788622610
  10. C

    Nyumba kwa bei rahisi

    Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu. Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi milioni 10 tu. Nyumba zote zipo mbezi malamba eneo linaitwa mzalendo. Nauli kwa bajaji ni buku tu...
  11. Hivi kuna njia rahisi ya kuepuka kelele za nje kwenye recording?

    Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani. Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2. Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na mic inanasa kila kitu. Hivi kuna njia ambayo mtu unaweza fanya kuondoa tatizo. Nimejaribu google na...
  12. M

    CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

    1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za hovyo 8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno 9. Punguzeni kuwa na Viherehere 10. Punguzeni kulalamika...
  13. INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

    Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana. Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi. Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
  14. Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
  15. Kama huna kiwanda ndani, umeme wa jua ni rahisi na wa uhakika?

    Hello! Umeme wa jua ni bora na ninatamani Watanzania wote wangekuwa nao. Ukinunua system ya umeme wa jua kwa sh.laki nane unaweza kutumia kwa matumizi ya friji dogo la nyumbani, ukawasha TV, redio, ukanyoosha nguo and so. Hakuna kulipa kila mwezi kama zamani au kukosa umeme kwakuwa luku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…