Eti inakuwaje kumpa mwenzako Raha iwe dhambi

Eti inakuwaje kumpa mwenzako Raha iwe dhambi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,009
Reaction score
61,257
Eti jamani me nina swali.ninachokijua kumchukiza mtu,kumuumiza,kumkandamiza,kumnyanyasa ndo ilipaswa iwe dhambi ila eti kumpa mtu

Penzi imekuaje ikawa termed kama dhambi?yaani kweli ufurahishe mtu iwe dhambi au tulipigwa na vitabu vya miongozo?
 
Mi mwenyewe najiuliza,

INAKUAJE Nyama tamu Kama kitimoto, eti ikawe HARAMU?

Sio utapeli kweli huu?
 
kuna tofauti.

Dhambi ni kufanya uasherati au Uzinzi.

Na wala sio Kufanya Mapenzi.
tafuta wako , mfunge ndoa .
utamzagamua utakavyo.
na hauhesabiwi dhambi.
 
Eti jamani me nina swali.ninachokijua kumchukiza mtu,kumuumiza,kumkandamiza,kumnyanyasa ndo ilipaswa iwe dhambi ila eti kumpa mtu

Penzi imekuaje ikawa termed kama dhambi?yaani kweli ufurahishe mtu iwe dhambi au tulipigwa na vitabu vya miongozo?
There is NO MAN Dead or Alive that has not fall short from the Glory of God. For All have sinned. The only perfect being to step on earth IS and Was Our Lord and Saviour Jesus Christ. Unapologetically! This world has so many truths and narratives but there can only be 1 Truth!
 
Mfano una kabint kako karembo watu wakawa wanakitomba ovyo mtaani utafurahia kisa kinapewa ma utamu ?
 
Ni dhambi kwasababu huyo mpenzi sio mpenzi wako. Kama ni mpenzi wako sio dhambi. Dhambi maana yake ni kuto kutenda haki kwa kulala mpenzi ambaye sio wako. Maana yake hapo hutendi haki ndio maana inakua dhambi. Umevunja haki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom