rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea

    Unawazoesha askari kuua kwa kuwapa laki mbili mwishoe waje kukuua na wewe wakizoea na watapewa laki mbili na mtu mwengine shetani hana rafiki. Suala la mauaji yanayoendelea na utekaji litakuja kumgharimu na yeye hivi karibuni shetani muuwaji hana rafiki hatukupaswa kupuuzia katiba ya nchi ni...
  2. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Nimekula pilau kwa rafiki zangu wakristo

    Ndio, nimealikwa kwa rafiki zangu wakristo, nami ni mwislamu. Pilau nimekula, nyama za kuchoma, pilipili, kachumbari, samaki, juisi na pombe juu nimekunywa Tunafurahi na hata uzi huu nauandika nipo hapa kwa wakristo ndugu zangu. Siwezi kuacha, eti kwa kuwa kuna shehe karopoka eti tusile...
  3. Lexus SUV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi ishi na rafiki au ndugu mlokole mpenda dini ki ghetto ghetto pindi mkijitafuta?

    Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa.. Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari… Wale wa maombi , full package? 😅 Asubuhi anakuamsha kwa maombi, mchana mnapambanaji na maisha, Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 15 mdogo wangu wa kike ndiyo kaniambia rafiki yake alijua nitamuoa

    Hii ni stori ndefu sana kipindi hicho nilikuwa naishi Mwanza nikifanya biashara ya mavazi nikinunua Dar kwenda kuuza Mwanza,na mdogo wangu wa kike alikuwa anasoma UDSM,mda mwingi nilikuwa nikimsaidia mahitaji madogomadogo si unajua tena mambo yaa chuo,nilikuwa kila nikienda namkuta na rafiki...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na UVCCM, ndio wanaochomesha watu

    UVCCM kimekuwa kikundi hatari sana ndicho kinacho tekeleza operation nyingi za utekaji kikishirikiana na task force. Kikundi cha utekaji kikimtaka mtu huwasiliana na UVCCM wa eneo husika, kwa sababu UVCCM ndio wanaowajua viongozi wa upinzani walio mikoani, wengine ni marafiki zao wa karibu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Simbachawene: Tusirudie kuandamana, tushirikiane na Polisi. “NI RAFIKI ZETU”

    Hawa si rafiki zetu, ni WAUAJI WETU. Chawene unaongea kupalilia ulaji wako, lakini from the innermost chamber of your heart unajua kuwa hawa si rafiki. Untill the whole bloodfucken thing is dismantled, true statements of love can never be said to exist betwee civilians and police killers. Au...
  7. Kazanazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je nisipo hudhuria harusi ya rafiki huyu kuna lawama?

    Ni rafiki wa kushibana kwetu kama kwao na kwao kama kwetu, urafiki wetu ni zaidi ya undugu maana tunasaidiana kuliko hata hao ndugu zetu wanavyo tusaidia Urafiki wetu ulianza na kukua kwa kasi tukiwa school na kwa bahati nzuri kila tukivuka level moja kwenda nyingine tunajikuta tumepangiwa...
  8. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Shetani hana rafiki: Israel yatimua Majenerali wake sababu ya October 7, 2023

    Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe. 1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General...
  9. mamy cute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Umri wangu :33 Location:Dar Jinsia ke Umri wa nimtafutae :25-38 Awe dar No strings attached,sio kwa ajili ya kuoana,just marafiki Karibu pm
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  11. SuperHb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NATAFUTA RAFIKI WA KIKE

    Mimi ni kijana mtanashati,,,Sina mambo mengi,,mpole,muelewa,mcheshi... Nahitaji RAFIKI WA kike umri wowote,,,KARIBU PM...tuyajenge
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mtag rafiki yako alikuwa anaandika "AKUMBUKWE"kwenye Kuta za Shule

    Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule, Ukiiingia toilet 🚽 mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana🤣😂
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Changamoto gani ulikutana nayo baada ya kumpokea ndugu au rafiki kutoka mkoani

    Hi Wakazi wa dar ni changamoto Gani ulikutana nayo baada ya kumpokea rafiki, ndugu, jamaa na kukuomba umsindikize au umtembeze mjini Wa mkoani wengi wakifika dar wanataka kwenda kitambaa cheupe na kariakooo Tuje kwa hawa wanaomba kwenda kariakoo wana kuwaga wajuaji sana huyu aliomba...
  15. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  16. Desierto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

    Kuna wakati inatokeaga kama ajali mtu usiye mtarajia akaja kuwa rafiki wa muhimu kwenye maisha yako. Mm nilikutana na huyu jamaa kama kmteja tu na huu ni mwaka wa 5 amekuwa rafiki wa faida kwetu sote wawili.
  17. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jirani yangu kanunua gari kali kwa biashara ya kuunganisha wachumba hewa instagram. Wadada wanalipia hela instagram ili watafutiwe wachumba wenye hela

    Wabongo ni Watu wanaojua sana kucheza na fursa. Wamegundua wanawake wengi sana wanatafuta wachumba wa kuwaoa. Hivyo wajanja wameanzisha page instagram za kuunganishiwa mwenza kwa malipo kiasi kazaa. Na page hizo pia zinakuwa zinatoa ushauri wa mambo ya mahusiano ili kuvutia followers wajae...
  18. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Ndugu zangu. Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake. Kwenye maisha tunakutana na malaika na shetani walio vaa mwili wa mwanadamu na kamwe huwezi kuja...
  19. Godoro la kioo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii imekaaje demu kuja geto na rafiki yake

    Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki zao Basi wakifika utadhani wamekuja kuandamana maana sio kwa msululu huo Sasa mi nashindwa kuelewa...
  20. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kumtafuta rafiki yako, kipindi ukiwa na shida tu ni sahihi?

    Wakati mambo yanaenda vizuri kwako; kiajira, kibiashara au kimahusiano, hukuweza kumtafuta rafiki yako. Ila baada ya mambo kukwama; kwenye ajira, biashara, mahusiano n.k ndio unaanza kumtafuta rafiki yako akupige jeki; Je hii ni sahihi?
Back
Top Bottom