For the province in Kenya known as "पानी" in Swahili, see Coast Province.Pwani Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the town of Kibaha. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,098,668, which was slightly lower than the pre-census projection of 1,110,917. From 2002 to 2012, the region's 2.2 percent average annual population growth rate was the seventeenth-highest in the country. It was also the 21st most densely populated region with 34 people per square kilometre. With a size of 32,407 square kilometres (12,512 sq mi), the region is slightly larger than the U.S. state of Maryland (32,133 square kilometres (12,407 sq mi)).
The region is bordered to the north by the Tanga Region, to the east by the Dar es Salaam Region and the Indian Ocean, to the south by the Lindi Region, and to the west by the Morogoro Region. The word "पानी" (pānī) in Kiswahili means "coast".
Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, kupitia kwa Kamanda wake ACP Salim Morcase limekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Mkuu wa Kituo kidogo cha Polisi Kongowe alishirikiana na askari Mgambo kumkamata kijana Hussein Abdallah Mkwame (26), ambaye kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani halipo...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze.
Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti...
Maofisa wa Maliasili wilayani Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake haraka kupoteza ushahidi, nduguze wamelalamika.
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph Kolombo ameagiza wahusika wawekwe ndani na wananchi wawe watulivu wakati suala hilo likifanyiwa kazi...
BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari
https://www.youtube.com/live/C8UctgnFAbg?si=i1BRJLq9o2CFiX0x
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule
Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia...
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limepokea magari saba ikiwemo matatu aina ya Toyota Land cruiser mpya (Zero kilomita ) hatua inayolenga kuongeza kasi na ufanisi wa Jeshi hilo katika kukabiliana na uhalifu , kuhakikisha usalama wa raia na mali zao pamoja na kuimarisha utendaji kazi kwenye Wilaya za...
Katika harakati za hapa na pale nilifanikiwa kuiona DSM kwa mbali aisee ni kajiji kadogo sana. Yaan magorofa vya posta kwanza yanayoonekana ni kama matatu tu, mengine kama ya kkoo yanaonekana ni mrundikano mdogo sana tena kwenye kaeneo kadogo sana.
Badala ya kufuga mapori nashauri jiji hili...
Jamii yoyote inayojali "mimi" badala ya "sisi" hujenga mazingira ya mgawanyiko, kutoaminiana, na kurudisha nyuma juhudi za pamoja hasa kwa wale wanaohamia maeneo mageni ili kuazisha maisha mapya.
. Ni wazi kuwa kila jamii ina tabia na hulka zake. Lakini kwa muda niliokaa hapa Mafia, nimegundua...
GHOROFA LINAUZWA GHOROFA LIPO VIKINDU MKOA WA PWANI
GHOROFA NI LA VYUMBA V5
CHINI KUNA VYUMBA V3 VYOYE SELF SITTING ROOM DAINING ROOM
JIKO STOO PUBLIC MAJI ELECTRIC FENCED
JUU VYUMBA V2 ZOTE MASTER NA SITTING ROOM BALCONY
ENEO SQM 1000
UMILIKI TITTLE DEED
BEI MIL 280
KARIBU SANA MTEJA...
▪️Kiwanda kuzalisha tani 22,000 za baruti na vilipuzi milioni 15 kwa mwaka
▪️Ni matokeo ya kazi ya Rais Samia mazingira kuvutia uwekezaji
▪️ Zaidi ya ajira 300 za moja kwa moja na 1000 zisizo za moja kwa moja kuzalishwa
KISARAWE, PWANI
Serikali inaendelea na utekelezaji wa mkakati wake wa...
Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
Mkoa wa Pwani ugawanywe
Kibaha, Bagamoyo, Kisarawe na Mkuranga ziunde jiji la Dar Es Salaam.
Rufiji, Kilwa, Mafia na Kibiti ziunde Mkoa wa Pwani/Rufiji/Kilwa.
Mikoa miwili ya Tanzania bara yaani Morogoro na Tabora iwe mikoa ya Viwanda vikubwa/vizito zaidi na technologia ya majeshi yetu na...
Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo.
Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
Mbio za Mwenge 2025 zitahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, amesema maandalizi ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2025 yamekamilika, huku kauli mbiu ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za hivi punde za motomoto zinasema IDF wamefanya shambulizi kali la anga huko Syria
Mlengwa hajajulikana bado ila naahidi kuwa nitawajuza nani kaliwa kichwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
The Syrian National News Agency...
22 MARCH 2025
Dar es Salaam, Tanzania
MWENYEKITI WA KANDA YA CHADEMA PWANI AFANYA JAMBO KWA WANANCHI WA DAR ES SALAAM
Hotuba nzito za tolewa kuhusu umoja wa waTanzani katika Iftari iliyofanyika leo huku wageni wakitoka Kibaha, Tanga na Kaskazini..
https://m.youtube.com/watch?v=4FXNwtlkcHA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.