Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza.
https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
Hii ni baada ya mh CHASHA FARMING kunitoa usingizi na ndipo nilipo kumbuka kwenye miaka ya 2004 tuliikata sana Ile miti lakini Bado nikakumbuka Kuna poli kama heka2-3 tulibakiza Kwa ajiri ya miti ya matumizi pamoja na dawa.
Jtatu asubhi sana nikaenda huko Kwa lengo Hilo Hilo kuangalia hiyo...
Iwapo wewe hutumii kitu basi usipande mibarini na kuanza kuhubiri watu kuwa pombe ni dhambi.
Kila mtu kashajiwekea mipaka yake wapo wapagani kabisa hawajawahi kuambiwa na kiongozi yeyote wa dini kuwa pombe ni dhambi lakin automatic tu hawanywi hiyo ni mipaka yao wamesha jiwekea wenyewe mfano...
Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi kinachoitwa Maranile Group Ltd kinachozalisha Pombe kali, kwani muda wote eneo zima la Mleleguo...
Habarini wakuu
Nimeona hii habari ikieleza sababu za wengi kushindwa Usaili wa ajira mbalimbali zinazotangazwa serikali
Sababu hizo zilizotajwa ni pombe, uvaaji usiofaa na mitindo ya nywele kwa wale wanaoitwa hasa kwa usaili wa mahojiano
Nukuu kutoka kwa Waziri Simbachawene "Mwalimu anakuja...
Kwa sisi tuliokunywa pombe zaidi ya mara moja inatakiwa tupigwe viboko Hadi tufe. "Enyi mlioamini msiingie katika swala mkiwa mmelewa" .. " hakika pombe, na kamari na kupiga ramli ni miongoni mwa amali au matendo ya sheitani..Hizi ni baadhi ya Aya nilizozinukuu kutoka kwenye kitabu kitukufu Cha...
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini amesema pombe aina ya gongo, machozi ya simba, moshi au umeme, inaweza kutengenezwa ikiwa mtengenezaji ana leseni inayotolewa kwa mujibu wa kifungu cha 19 cha Sheria ya Kudhibiti Pombe za Asili.
Aidha, amesema mtu yeyote anayekusudia kutengeneza...
Hii hali huwa inanitokea tena sio mara moja, yaani nikinywa pombe kesho yake nashinda na huzuni sana, mpaka muda mwingine najihisi kutaka kulia .
Nilihisi ni hangover lakini hali hii sio hangover...kwanini? Au roho yangu haitaki mambo Haya nafanya kumlazimisha Tu.
Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart.
Pamoja na...
Uliwahi kufanya kituko gani ulipokunywa Pombe hutosahau?
Niliwahi kunywa na kuanza kuropoka kuwa siwezi kusema siri zangu na hizo siri nikawa nazitaja😁😁
Cc: holoholo
Nomadix
Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe
Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi
Je nitafanyaje...
Msaada tutani nilikuwa nauliza gharama ya kununua na upatikaji wa mitambo ya kuanziasha kiwanda cha kutengeneza pombe Kali jamii ya double kick, strong etc.
Kwa yoyote mwenye ABC karibu.
Ahsante
Ilikuwa hivi.
Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba.
Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa.
Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
Tulipata Rais ambaye ni SCIENTIST first time in History. Sifa kubwa ya Scientist ni kuona mambo yanatokea.
Kuna Nadharia mbili juu ya Kifo cha JPM inayopelekea kila mtanzania anaongea lake. Hizi Hapa ;
1. Rais JPM Uhai wake ulikatishwa Madhuluma
2. Kifo cha Dkt. JPM( PhD holder ya Darasani)...
Hakika Tanzania,Afrika na Dunia haitoacha kukumbuka mazuri yako.
Leo hii Marekani inapiga vita dhidi ya ushoga,vita visivyo na tija,NGO s uchwara zinazoneemesha wachache kwa kisingizio cha huduma.
Uliondoa wafanyakazi feki leo hii marekani wameanzisha kitengo maalumu cha kuangazia ufanisi wa...
Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
Wapo watu huwa wanapenda kuficha tabia zao hadi kwa wake zao.
Wapo hata humu ni walevi wanakunywa pombe ila wake zao hawajui kabisa wameshawadanganya wameokoka.
Niliwahi msindikiza rafiki yangu ukweni kwakwe ambae huwa tunapiga nae vyombo kama kawaida
Mke wake alikuwa amemwambia huwa hanywi...
Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk.
Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.