pombe

  1. Sauti ya Hayati Magufuli ikisema "Mtanikumbuka" yasikika tena, safari hii kwenye Uviko

    Nimekutana na habari hii hapa jamvini, Ndugu zangu, mabibi na mabwana, vijana na watoto, "Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'sacrifice' maisha yangu kwa ajili ya Watanzania maskini." Hayo yalikuwa maneno ya aliyekuwa Raisi wa Tanzania mpendwa...
  2. Support community ya kupambana na addiction kama kujichua, pombe , bangi , kupata marafiki, betting na others NJOO UNIPE MAWAZO YAKO KAMA SIO KUJIUNG

    Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
  3. Prof. Wajackoyah aomba Rais Samia amruhusu awekeze kwenye bangi

    Mwenyekiti wa chama cha roots na mgombea urais katika uchaguzi uliopita nchini Kenya Profesa George Wajackoyah yupo hapa Tanzania muda mfupi amemaliza kuongea na EATV na kuomba kuonana na Rais Samia ili awekeze katika kilimo cha bangi, profesa Wajackoyah aligombea uchaguzi nchi Kenya kwa sera ya...
  4. T

    DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

    Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana. Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing. Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo...
  5. SI KWELI Pombe ni dawa ya mafua na kikohozi

    Baadhi ya watu hushauri matumizi ya pombe kali ili kutibu mafua na kikohozi. Madai yao yamebeba nadharia nyingi zinazohitaji uthibitisho wa kisayansi ili kuondoa sintohamu kubwa iliyopo. Ikumbukwe pia pombe ni mojawapo ya viambato vinavyotumika kwenye kutengeneza baadhi ya dawa za kutibu...
  6. Makerere University yazuia Pombe, Simu, Vyakula, Camera kwenye Mahafali

    Wakati Wanafunzi zaidi ya 13,000 wakitarajia kuanza Sherehe za Siku 5 za Mahafali leo Februari 13, 2023, Uongozi wa Chuo umepiga marufuku wahudhuriaji kuchukua picha za na Mnato na Mjongeo kwenye tukio hilo. Bila kutaja sababu ya katazo, Chuo kimezuia watu kuingia na Sigara, Vyakula...
  7. G

    Ilitokeaje mpaka makanisa yanaruhusu unywaji pombe wakati inaleta majaribu ya kutenda dhambi zaidi na kukusogeza karibu na ulevi?

    Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu. Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi? Pombe ni dawa ya...
  8. Baada ya Hayati Magufuli ni Hussen Bashe

    Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe ..... Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
  9. Kama tunamuomba Mungu atuepushe na majaribu ni kwanini aliruhusu unywaji wa pombe ambao umefanya wengi kuwa walevi?

    Wasabato mkae pembeni hili haliwahusu Sijawahi kuelewa hata kidog haya mambo ya unywaji na ulevi, huwa naonaga ni kama tiketi tu ya kuhalalisha ulevi. Kama ni mlevi ama uliwahi kuwa mlevi wa sigara, bangi, pombe, ngono zembe, kamali, n.k. basi unajua fika kwamba siku ya kwanza huwa ni kujaribu...
  10. M

    Kiwango salama cha pombe kinachokubalika kiafya kwa siku

    Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku iwe bia, konyagi, wine, whisky nk. Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne...
  11. Lindi: Watu watano wafariki kwa kunywa dawa ya kuacha pombe

    Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, Hassan Ngoma amesema Watu watano wamefariki katika Kijiji cha Nambilanje Wilayani Ruangwa, Lindi baada ya kunywa dawa waliyopewa na Mganga wa tiba asili, Shigela Malehe(39), ili iwasaidie kuacha pombe. Akiongea...
  12. Pombe ni starehe isiyofaa

    Wenyewe husema Ukiinywa kwa taadhari kubwa haina Shida. Tatizo Ni kwamba huwezi kunywa kiasi kidogo kila siku, lazima uongeze gradually kadiri siku zinavyoenda hadi ikuharibu magoti. Kuna fundi ujenzi nilimwomba anifanyie kazi fulani, eti akaogopa kusimama juu ya pipa kisa maungo ya mifupa...
  13. PICHA: Je, Grand Malt ni pombe?

    Moya kwa moya, waungwana nauliza hivi grand malt ni pombe? Au ina asilimia walau kidogo za pombe? Naomba mnijibu kwa uzoefu wako na nitafurahi nikipata analysis ya viungo kitaalam.
  14. T

    Mbowe asirudie kupanda jukwaani akiwa amelewa, atatuaibisha zaidi

    Hotuba ya Mbowe M/kiti wa Chama chetu, niliifuatilia mwanzo mwisho Mbowe, hana tabia ya kuongea vile isipokuwa juzi katika kuwahutubia wananchi wa Mwanza na wanachama wa Chadema, sauti iliyotumika kuhutubia si ile tumeizoea, Kwanza hotuba yake haikuwa na mpangilio, na mwenyewe pindi...
  15. Je, pombe ni madawa ya kulevya?

    Madawa ya kulevya ni nini, kitaalam, na je, pombe inaangukia katika kundi hilo la madawa ya kulevya? If not, why?! Ukizingatia ongezeko la ‘GABA’ mwilini?
  16. J

    Zanzibar turudishe heshima yetu, tuige mfano mzuri wa Qatar, pombe ipigwe marufuku kabisa

    Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa kasi kubwa. Nyimbo na video za uchi, unywaji pombe, kuvaa vivazi vya nusu uchi hadharani n.k. Ni...
  17. Kweli pombe sio chai!

    Asalaam alyeikum ndugu wana jamii ya jamiiforum..? Awali ya yote poleni kwa maswahibu mnayopata sehemu mbalimbali na wale mnaokula raha shikilieni hapohapo. Mwenzenu juzi kati nimeyakanyaga!,mwisho wa mwaka huu nikaamua niende zangu kijijini kusalimu ndugu na jamaa pamoja na majirani.. siku ya...
  18. Taifa halina vipaumbele, linaendeshwa kama biashara ya daladala

    Ukweli utabaki hivyo,tuna tatizo kubwa kwenye vipaumbele vya taifa,hatujui nini tunataka na wakati gani tunahitaji hicho tunachokitaka. Madhara yake ni nchi kuendesha kama biashara ya daladala, kondakta ana nguvu kuliko dereva kwa kuwa tu ndiye mshika fedha. Kipau mbele cha serikali hakikidhi...
  19. Watu 22 wafariki nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu

    Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu. Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na unywaji wa vileo umepigwa marufuku. Katika tukio hilo wanaume katika wilaya ya Saran walianza...
  20. Pombe kali zinaongeza sana uzito, ajabu wengi wanafikiri kinyume chake

    Tanzania ukiifuatilia sana utaona watu wengi wanaangalia mambo kinyumenyume sana. Sijui huwa sababu ni nini? Pombe(Ethanol) ni sukari iliyogeuzwa kwa fermentation. Pombe ina nguvu kama tu chakula chenye wanga. Inasemwa kuwa mtu anapokunywa pombe, mwili unaacha kutumia mafuta na wanga kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…