polisi

  1. JamiiForums Tanzania Maputo: Polisi watumia Mabomu ya Machozi na Kujeruhi Waandamanaji wanaopinga Matokeo ya Serikali za Mitaa

    Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura. Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda, polisi wakamata mabomu ya magaidi yenye mlengo wa kiislamu yaliyokuwa yamepangwa kulipua makanisa

    Matukio kama haya ndio hufanya mapagan wasioabudu katika Mungu wanatushangaa sisi tunaoabudu maana mtu anakuja kabisa kupanga kuwalipua mabomu wakati mnaabudu ili mfe, huku akijiaminisha anachokifanya ni ibada kabisa kwa 'mungu' wake. ========================== Ugandan police foiled a bomb...
  3. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Viongozi wa Dini CPCT watakiwa kutangaza amani na umuhimu wa kufuata Sheria za Nchi kwa waumini wao

    Viongozi wa Dini zote Mkoani Ruvuma wanatakiwa kuwa mstari wa mbele Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutangaza umuhimu wa amani na kusaidia kutoa elimu kwenye maeneo tofauti tofauti ya nyumba za ibada kupitia mahubiri yao ili wananchi waweze kufuta sheria za Nchi na kuepukana na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa 5 wa Polisi wakamatwa kwa kuomba Rushwa ya Tsh. Milioni 8.4 kwa Madereva

    Kwa mujibu wa Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa (EACC), maafisa waliokamatwa akiwemo Inspekta wa Polisi walikuwa wakiomba Rushwa kutoka kwa Madereva katika Barabara Kuu ya Thinka - Garissa. Kukamatwa kwao kunafuatia Malalamiko yaliyowasilishwa na mmoja wa Madereva kupitia (EACC) na kueleza...
  5. JamiiForums Tanzania Inspekta wa Polisi Morogoro apewa "Toto" la Kiarabu na Sheikh Kishki

    Katika matukio yasiyo ya kawaida Tanzania mojawapo ni kama hili lililotokea Morogoro. Nakuwachia mwenyewe ujionee nisitie yangu:
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajitetea kinafiki. Yadai kuwa haikuwachongea akina Mwambukusi na wenzake mkutano ili Polisi wawazuie

  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  8. JamiiForums Tanzania Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

    Kuna kijana yupo hapo kituo Cha polisi Chang'ombe temeke, anaitwa Kadoda, yeye si askari ila anashirikiana na maaskari wa hapo kubambikizia watu kesi na wakishindwa kutoa hongo ili waachiwe mwisho wa siku wanaishia jera. Kwa kifupi huyu kijana alikuwa ni jambazi na alikaa jela kwa miaka...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali huko Busokelo Rungwe

    Mwambata wa 'SAUTI YA WATANZANIA' na Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa, ameshindwa kufanya mkutano wake na waandishi wa habari uliotakiwa kufanyika mapema Jumatatu hii (Oktoba 09.2023) jijini Mbeya baada ya kuchukuliwa na maofisa wa Jeshi la Polisi kutoka hotelini alipofikia kwenda Ofisi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura alivyofanya mabadiliko ya Makamanda wa Mikoa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa mikoa kwa lengo la kuboresha ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
  11. JamiiForums Tanzania Kushindwa kusalimisha silaha kwa hiari Jela miaka 15 au Faini Milioni 10 au vyote kwa pamoja

    Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
  12. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Muhimbili, Jeshi la Polisi na RRH za Dar es Salaam wakutana Dar es Salaam

    Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), leo Oktoba 4, 2023 umekutana na Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa ya Temeke, Amana, Mwananyamala, Waganga Wakuu wa Manispaa hizo, Kamishna Msaidizi wa Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi Jinai (Forensic Bureau), Msaidizi wa Kamishna...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mdude: Tutafanyia kongamano kituo cha polisi

    Wakikabiliwa na mashinikizo yenye kufanana kutokea kwa walamba asali na vibaraka zao, lile kongamano la kina Mwabukusi linazidi kutumbukiziwa nyongo. Hakuna ukumbi unaopatikana kufanyia shghuli hii. Kwamba heri kwenda kufanyia kongamano hili polisi kwa sababu vyama vya upinzani vimewakomalia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatumia nguvu kubwa ya Polisi kutaka kuzuia kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari

    Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo. Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji...
  15. JamiiForums Tanzania Mbeya: Askari Polisi afariki kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga ametoa taarifa za tukio la Askari kujiua kwa kujipiga risasi kisa mgogoro wa mapenzi. Amesema tukio la kujiua kwa kujipiga risasi kwa aliyekuwa Askari J.2596 Konstebo wa Polisi Samwel Feston Kaziyote [24] wa kituo kikuu cha Polisi Mbeya...
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Moro na mazoezi ya kufa mtu, ni yale Maandamano yetu?

    Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4 Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo...
  18. JamiiForums Tanzania IGP: Barabara za kuingia ndani ya Chuo cha Polisi Moshi Kilimanjaro,wajawazito wanashindwa kwenda kujifungulia zahanati ya chuo barabara ni mbovu.

    Kuna kila sababu ya kupeleka lawama Kwa IGP Tanzania kuhusiana ba barabara za kuingia chuo cha polisi Moshi, ikiwa ni pamoja a barabara zilizopi ndani ya chuo hicho. Barabara zote ni mashimo na gari yakiingia chuo ni hapo yanakuwayanavunjakila kifaa Kwa sababu ya mashimo na viraka vya lami...
  19. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa CWT wapata hekaheka kufanya kikao, Polisi waingilia kati

    Wajumbe wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), leo Septemba 25, 2023 wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kuzuiliwa kufanya kikao chao cha dharura cha Baraza la Taifa la CWT Wakizungumza nje ya geti la makao makuu ya chama hicho Jijini Dodoma wamesema wameshangazwa na kitendo hicho kwani wao...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, je jeshi la Polisi, TAKUKURU wanatimiza wajibu wao?

    Mdhibiti na mkaguzi wa fedha za umma amekuwa anatoa ripoti za ukaguzi wa matumizi na mapato ya serikali na matumizi ya serikali. Kila ripoti imejaa ushahidi tena wa kitaalam namna ambavyo fedha ya umma imetumika ama kuchezewa kupitia vote mbalimbali zilizopitishwa na Bunge. Jambo la kushangza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…