polisi

  1. Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Hizi bunduki za Automatiki zenye risasi nyingi kama 30+ ni silaha mahususi za Kivita sio za kulinda Raia au Kupigia Doria Ukiangalia Nchi za wenzetu Police wanatumia Hand Gun kama Pistol ndogo kama Bereta na Glock kwasababu hizi hazina Impact kubwa ukipigwa katika mwili. Ila hizi Mashine Gun...
  2. PreGE2025 Watanganyika wanaogopa maandamano: Virungu vya polisi ni vikali

    Famchezo nini!! Ukinyukwa kirungu cha ugoko lazima utoe gesi kwa mkupuo. Historia inaonesha watanganyika wanaogopa matokeo ya maandamano kuliko maandamano yenyewe. Mwaka 2018, Bwana Mbowe aliitisha maandamano lakini akaambulia patupu. Hakuna mtanganyika aliyejitokeza. Baadaye dada uchwara wa...
  3. Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  4. Serikali yaahidi kuendelea kuimarisha Ulinzi Kwa kutoa vitendea kazi Kwa Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Benno Malisa ameahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kuhakikisha linapata vitendea kazi ikiwemo magari kwa ajili ya kufanya kazi kwa ufanisi. Ametoa kauli hiyo Januari 12, 2024 wakati akikabidhi magari mapya matatu kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  5. Jumla ya Askari Polisi 15 watunukiwa Vyeti vya Heshima Mkoani Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amewataka Wakaguzi wa Polisi, Askari wa vyeo mbalimbali na watumishi raia ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kufanya kazi kwa kuzingatia haki, weledi na uadilifu katika kutoa huduma bora kwa wananchi ili...
  6. PreGE2025 Mbunge Tarimo Akabidhi Pikipiki Nne kwa Jeshi la Polisi

    Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linapata vitendea kazi vitakavyo tumika katika kutimiza majukumu yao,Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus tarimo amewezesha Jeshi hilo kwa kukabidhi Pikipiki nne ili kuongeza urahisi wa kusimamia ulinzi na usalama . Akikabidhi Pikipiki...
  7. J

    Polisi watatu wafungwa miaka 20 jela kwa Rushwa

    Askari hawa walikuwa wakifanya mambo aliyokuwa anayependa Magufuli kipindi chake . ================================================= Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu Askari Polisi watatu wa...
  8. IGP hili la kifo Bariadi wahusika wawajibike, tukatae vifo vya kufia polisi

    Kufuatia kifo cha Limbu Kazilo (41), Mkazi wa Mtaa wa Kilulu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, familia yake imegoma kuuzika mwili wa ndugu yao huyo wakidai kuna mazingira ya utata kwenye kifo chake na hivyo wanataka kujua chanzo. Mama mzazi wa marehemu, Nyahoga Nandi amesema mwanaye...
  9. DOKEZO Responded Simiyu: Askari Polisi Bariadi watuhumiwa kumpiga mtuhumiwa na kusababisha kifo chake

    Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na hatumaye kusababisha kifo chake. Matukio ya Jeshi la Polisi kupiga au kujeruhi watuhumiwa na...
  10. Mbeya: Wamiliki wa Shule watakiwa kuhakikisha 'School Buses' zikakaguliwa na Polisi kabla ya kubeba Wanafunzi

    Mkuu wa Kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Mbeya, Mrakibu wa Polisi SP Hussein Gawile amewataka wamiliki wa Shule za Awali, Msingi na Sekondari kuhakikisha magari yao (School Buses) yanakaguliwa na wakaguzi wa magari wa Jeshi la Polisi kabla ya kuanza kufanya kazi ya kubeba wanafunzi. Rai...
  11. DOKEZO Polisi tunaomba msaada. Tunahisi dada yetu ameuawa na mume wake ambaye ni Polisi, inasikitisha sana!

    Kutoka kwenye mtandao wa X, Akaunti ya Lisa Ildephonce (@LIldephoce) “Tarehe 23/1/2023 Tulipata msiba wa dada angu alifariki katika mazingira ya kutatanisha aliolewa na kijana anaitwa Josephat Aron ambaye ni Police pale Ufundi (Kilwa Road) cheo Kopro Kifo chake kilitupa mashaka kutokana na...
  12. Asanteni Jeshi la Polisi Wanawake Mkoa wa Manyara

    Pongezi nyingi ziwafikie Polisi wote wanawake Mkoa wa Manyara. Mmefanya jambo la utu. Kuwemo kwenye magwanda ya kijeshi hakujawaondolea moyo wa huruma. Asanteni sana. Nimeguswa mno na hilo mlilomfanyia huyo mama mjane. Najua mliwashirikisha askari wa vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama...
  13. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  14. Arusha: Jeshi la Polisi lawafutia madaraja Madereva 776 kwa kukosa sifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. limeendela kuimarisha ulinzi na usalama hali iliyopelekea kupunguza vitendo vya uhalifu katika Mkoa huu. Sambamba na hilo katika kuhakikisha lina dhibiti ajali za barabarani, hivi karibuni Jeshi la Polisi...
  15. Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
  16. Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwapiga risasi zilizopelekea vifo vyao Vijana wawili Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) Wakazi wa Vingunguti Jijini Dar es salaam ambapo wamesema Vijana hao walikuwa Wahalifu (Panya Road) na kwamba mwenzao wa...
  17. Mbeya: Polisi wamsaka Dereva aliyesababisha ajali ya kugonga gari kadhaa ikiwemo Daladala

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamsaka Dereva aliyekuwa akiendesha Gari lenye namba za usajili T.428 DXD/T.860 BWM aina ya FAW mali ya Kampuni ya Cedars Investment Limited ya Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa majina ya Msafiri Mohamed @ Mwawila ambaye amekimbia muda mfupi baada ya...
  18. Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

    Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
  19. Mbeya: Mtuhumiwa mmoja ashikiliwa na Dawa za Kulevya, Polisi yasema imeimarisha ulinzi kuelekea Mwaka mpya 2024

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Kelvin Amanyisye [19] Mkazi wa Lubele- boda ya Kasumulu kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 13. Akizungumza na waandishi wa habari Desemba 30, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi wa Polisi...
  20. Arusha: Jeshi la Polisi laendelea na ukaguzi wa mabasi ya Shule ili kubaini magari mabovu na kuyazuia

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limesema linaendelea na ukaguzi wa magari ya Shule ikiwa ni utaratibu wao wa kila mwaka kabla ya muhula wa masomo kuanza ambapo imekuwa ikifanya ukaguzi wa magari hayo ili kubaini changamoto na kutoa maelekezo ya matengenezo ya vyombo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…