Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote.
Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri kwa majamba konki ambao inatakiwa tu watangulizwe.
Hamis Kichwa mtu wa Tanga, alikuwa anasifika...
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa Goba center.
Taarifa ya Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP. Muliro Jumanne imeeleza...
Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024.
Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili?
Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua mchakato mzima huwa unaendaje: usaili lini, majibu baada ya muda gani, mafunzo ya jeshi ni mda gani, na...
Mamlaka Kusini mwa California Alhamisi ilimkamata mwimbaji Sean Kingston, ambaye jina lake halisi ni Kisean Anderson, kwa makosa mengi ya ulaghai na wizi kwa hati ya kutoka Florida. Kukamatwa kwake kulifuatia uvamizi katika nyumba yake ya Kusini mwa Florida mapema siku ambayo pia ilishuhudia...
TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUOMBA AJIRA
Mei 15, 2024 lilitolewa tangazo la kuongezwa kwa muda wa kuomba ajira na mwisho wa kutuma maombi hayo ilikuwa ni leo Mei 21, 2024.
Kutokana na changamoto ya mtandao iliyoendelea kujitokeza, mnatangaziwa kuwa vijana wenye sifa na nia ya kujiunga na Jeshi...
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe.
Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
Morogoro. Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Paschal Elias (18) kwa tuhuma za kutaka kuwauwa ndugu zake watatu baada ya kuwamwagia kimiminika kinachodhaniwa kuwa cha mlipuko na kuwasababishia majeraha makubwa ikiwemo yeye mwenyewe.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mei 20, 2024...
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!
Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania TPF net Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Pili Mande amewataka Askari wa kike Mkoa wa Arusha kujiepusha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya Jeshi hilo.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akitoa mafunzo yaliyoandaliwa na mtandao huo...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka uchunguzi wa Kamati ya Kibunge juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na magereza. Kimetaja vitendo vya utekaji, uteswaji wa watuhumiwa na ushirika wa Jeshi la Polisi kwenye matukio ya mauaji ya rai vimerudi kwa kasi...
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo.
Pia soma:
LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024
Akikabidhi pikipiki...
Habari wanajukwaa,
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi wetu.
Mimi ni kijana nipo chuo fulani nikiwa najihusisha kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.