Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe.
Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nauliza ni kesi zipi unaweza kufunguwa mahakamani direct bila kupitia Polisi kulikojaa rushwa na mtuhumiwa kuwa ndio mwenye haki?
Morogoro. Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Paschal Elias (18) kwa tuhuma za kutaka kuwauwa ndugu zake watatu baada ya kuwamwagia kimiminika kinachodhaniwa kuwa cha mlipuko na kuwasababishia majeraha makubwa ikiwemo yeye mwenyewe.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Mei 20, 2024...
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!
Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania TPF net Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Pili Mande amewataka Askari wa kike Mkoa wa Arusha kujiepusha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya Jeshi hilo.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akitoa mafunzo yaliyoandaliwa na mtandao huo...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao nawakubali hasa Kiutendaji wao basi wale wa Tabora, Kigoma, Arusha, Rukwa, Morogoro, Lindi na Kwetu...
Uwekaji wa jiwe la Msingi katika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara.
Ujenzi wa ofisi hii hadi kukamilika kwake kutagharimu kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni moja , ikiwa hadi sasa immeshagharimu kiasi cha Shilingi milioni 800,000,000 zimekwisha kutolewa kwa ajili ya ujenzi.Haya ni...
Katika harakati za kuwatumia madogo application za polisi leo nimegundua kuwa kuna tatizo upande wa database za hawa jamaa(www.polisi.go.tz) kwani ukiupload document za user huyu zinaenda kwa user mwingine pia hauwezi ku preview muda wote SERVER ERROR, kwa nchi kama hii na ukubwa wake ninasikitika.
Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka uchunguzi wa Kamati ya Kibunge juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na magereza. Kimetaja vitendo vya utekaji, uteswaji wa watuhumiwa na ushirika wa Jeshi la Polisi kwenye matukio ya mauaji ya rai vimerudi kwa kasi...
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo.
Pia soma:
LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024
Akikabidhi pikipiki...
Habari wanajukwaa,
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi wetu.
Mimi ni kijana nipo chuo fulani nikiwa najihusisha kuuza...
Kuna Barabara ni tokea alivyojenga MWALIMU NYERERE, je mnategemea zitakuwa ni bora kwa maisha ya sasa?
Mfano barabara ya kutoka Morogoro mpaka dodoma yaan kila mita 100 kuna shimo! njia nzima ni mashimo tuuu je hizi ajali mnalaumu Askari wa usalama.barabarani?
nimeona barabara ya bagamoyo hasa...
Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne.
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
b) Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2018 hadi 2023.
c) Kwa...
Kuna tukio la hivi karibuni la Kibaha, ambapo wazazi wa mtoto wa kike wa miaka 8, Angel, mwanafunzi wa darasa la 2, walienda Polisi kuripoti kupotelewa mtoto, wakaambiwa Polisi hawawezi kupokea taarifa yao ya kupotelewa mtoto na inabidi wasubiri kwanza masaa 24 ndio wakaripoti kupotelewa mtoto...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya wakachanga milioni 3. Zile mbili zilizopungua mke wangu alikuja kuniomba nitoe hizo hela ili...
Hii Tabia Inabidi Polisi waiache. Polisi wetu wanatabia ya Kutembea Gari lisilokuwa na Plate namba yaani (PT......)
HII Tabia ni ya Kihalifu.
Kuwa Polisi haikufanyi kuvunja Sheria. Kwa Kutembea Bila Plate namba inaashiria wanaweza kufanya Tukio la uhalifu na wasijulikane. Kwa maana plate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.