polisi

  1. J

    JamiiForums Tanzania kenya Polisi yatangulia fainali Cecafa Simba Queens yaaga

    Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), Simba Queens wameshindwa kufua dafu mbele ya Kenya Police Bullets wakikubali kichapo cha mabao 3-2. Pambano hilo la nusu fainali lililopigwa kwenye Uwanja wa Abebe Bikila nchini Ethiopia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawashikilia watu watatu akiwemo mtoto anayedaiwa kuiba watoto sita

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha jongefu zilizosambaa katika mitandao ya kijamii. Pia, Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Miili mingine yakutwa shimoni kwenye Sakata la Samwaja kuuawa

  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

    Gerald Ibrahim maarufu kama SERIKALI ni mkulima na mfanyabiashara pia ni mkazi wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma. Mwaka 2018 yalitokea mapigano baina ya wananchi na Jeshi la polisi wakati kuwaondoa wananchi katika ardhi ya Kijiji cha Mwanduhubandu, Mpeta Magharibi kiasi cha...
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

    Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti. Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana. Mbaya zaidi ni mita 30...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Inafikirisha, Polisi alimtumaje KAZI Mjeshi?

    Salaam, shalom!! Zamani tuliaminishwa kuwa wajeda ni wazalendo, wenye Maadili, wapenda Nchi, Na haikuwa Rahisi mjeda kuhongwa Ili kupotoa HAKI. Sasa tukio la uswahilini hapo Nchi Jirani ,limerudi kutufikirisha upya kuwa, iweje mkuu wa police kukaa meza Moja na mjeda Kisha kumtuma KAZI chafu...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Aliyepotea Singida abainika kuuawa kwa mganga wa kienyeji

    Haya mambo yanahitaji uchunguzi, na subira, huyu naye chadema walisema katekwa na polisi ===== Jeshi la polisi mkoani Singida linawashikilia watu watatu akiwemo mganga wa kienyeji ambaye hajaweza kufahamika jina lake baada ya kutuhumiwa kumuua kijana samwaja na kumnyofoa baadhi ya viungo na...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa. Tunajuwa kuwa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wadhihakiwa nchini Haiti

    Wahaiti wajue kwamba, mambo yanaenda kwa mipango! Au wanataka waone polisi wa Kenya wamekufa kwa wingi ndio waamini kama wanafanya kazi! Habari kamili; Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa polisi wa Kenya kutekeleza ahadi yao ya kusaidia kudhibiti magenge yaliyokithiri nchini Haiti, wiki sita...
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi kama Serikali kutumia polisi wanataka matatizo ya wananchi wasikilizwe wapi?

    Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma. wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo. ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anti-ROBBERY , ya polisi Zimbabwe imepata tuhuma za utekaji wa wananchi wa zimbabwe, wachunguzi wameeleza

    Lawama zimeanza kua nyingi kuanzia bulawayo hadi harare, Wachunguzi na watafiti mbalimbali wametupia lawama Kwa polisi wa zimbabwe hasa wa kitengo maalumu cha kuzuia uhalifu Kwa utekaji na utesaji wa wananchi. Rushwa imetajwa pia kua ukikamatwa wakiomba pesa wakanyimwa, au wakakosa utapigwa...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuvunjwa mguu na kigogo wa Polisi Arusha, adai kutishiwa maisha

    My Take Yule RC wenu wa Taifa anaejiita mtetezi wa Wanyonge Ajitokeze kusimamaia Haki ya huyu mnyonge anaedai kutendewa unyama na kigogo wa Polisi huko Mkoani kwake Arusha. Kipimo sahihi Kwa hao watu wanaojigamba ni kutetea watu walioumizwa na wale wanaowalinda au kuwatuma ndio tutajua...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

    Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo. Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yadai Viongozi wake Wilayani Temeke wameshikiliwa, Polisi wakana

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kikidai kukamatwa na Jeshi la Polisi na kuendelea kushikiliwa kusikojulikana watu watatu wakiwamo viongozi wa wawili wa chama hicho wilayani Temeke kinyume cha sheria, Jeshi hilo limesema halina taarifa kuhusu madai hayo. Kwa mujibu wa Chadema...
  15. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hili la Polisi kupitia hotuba za wanasiasa kabla ya kuwahutubia wananchi ni udikteta au kulinda 4R?

    Hii habari ambayo inawataka wanasiasa wapeleke hotuba zao wazipitie kabla ya kuzitoa kwenye majukwaa, inania ya kukomaza demokrasia au kuifuta demokrasia?
  16. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Hatua ya jeshi la Polisi kumchukulia hatua RPC wa Dodoma kwa kauli yake inaacha maswali mengi sana.

    Habari wana Jamvi, Nimetafakari sana baada ya jesh la polisi kumchukulia hatua RPC Dodoma kufuatia kauli yake dhidi ya sakata la binti aliebakwa.Hakika niwapongeze kwa uharaka na weredi huu. Laki i. Kama kijana nilie kamilika kichwani siachwi bila kujiuliza maswali kadhaa. 1.Mbona hatukusikia...
  17. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  18. Zed

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Jeshi la Polisi Iundwe Upya!

    Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua...
  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na Serikali kwa ujumla imepoteza weledi na imani kwa wananchi

    Kwa jinsi wanavyoshughulikia mambo na kuyapa uzito usio sawa, hii ni aibu na inatia mashaka sana. kwa mfano, jinsi wanavyoliendesha suala la binti aliebakwa, je kama ingekua hakuna ushahidi hali ingekuaje? Pia soma: Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma atumbuliwa baada ya kutoa taarifa tata ya binti kulawitiwa anaweza kuwa anajiuza

    Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
Back
Top Bottom