polisi

  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mivutano na migawanyiko ndani ya Chadema, viongozi watofautiana kuhusu maandamano yao yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia.. Hata namna maandamano hayo...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete, alishawaonya CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi kuwafanya wao waendelee kukaa madarakani

    Nakumbuka katika kikao Cha mkutano Mkuu wa CCM, iliofanyika jijini Dodoma mwaka 2012, Jakaya Kikwete, akiwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Taifa na wakati huo huo akiwa ni Rais wa Tanzania wa awamu ya 4 aliwaonya vikali CCM kuwa wasilitegemee Jeshi la Polisi, kuwafanyia siasa na badala yake wapambane...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kuingia Polisi ni bure ila kutoka ni hela

    Huo usemi una ukweli kiasi gani kwa Jeshi letu la Polisi?
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi waliohamishwa hivi karibuni bila kupewa fedha ya uhamisho

    Dear Mama Samia, Pole na majukumu ya kulitumikia taifa letu. Kwa heshima na taadhima, naomba kukufikishia kilio cha askari kadhaa wa Jeshi la Polisi ambao wamehamishwa hivi karibuni lakini bila kupewa senti tano ya uhamisho. Kwa upande mmoja, uhamisho huo wa ghafla na usio na posho za uhamisho...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania CCM: Kamati ya siasa ya CCM mkoa wa Kilimanjaro kagueni ujenzi wa geti jipya la Chuo cha Polisi Moshi, kabla Rais hajalifungua tar 17.9.2024

    Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro inapaswa kukagua mradi wa ujenzi wa geti jipya la kuingia chuo cha polisi Moshi, na kujiridhisha kabla ya Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa hawajafika kuufungua. Hadi sasa, vyombo vya ndani vimefanya uchambuzi wa eneo hilo, lakini mradi huo haujakamilika...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA: Mbona Jeshi la Polisi halijajibu maswali ya msingi waliiyoulizwa na CHADEMA, badala yake wanaendeleza vitisho vyao?

    Nimeisikia taarifa iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi, afande ACP Misime, ambayo alidai kuwa maandamano ya CHADEMAni ni haramu, Kwa hivyo wameyapiga marufuku. Lakini katika taarifa hiyo ya Afande Misime, hajaongelea kabisa, madai ya CHADEMA waliyoyatoa katika taarifa yao ya kuitisha...
  7. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isitishe maandamano, isiingie kwenye mtego wa Polisi. Umma una maswali mengi kwa Polisi tunataka majibu

    Kwa watu wanaoujua mchezo wa chase huu mchezo uchezwa na watu wenye akili tu. CHADEMA isikubali kufungwa chase na watu wenye akili ndogo kama hawa, iko hivi; umma wa Tanzania tuna maswali lukuki kwa jeshi lililofeli la Polisi na tunataka majibu ya kueleweka akiwemo huyo muuaji wao killing...
  8. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Bado nawaza ni kwanini Polisi wamezuia maandamano ya CHADEMA?

    Wanajamvi za muda huu?, https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya...
  9. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

    Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu. Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni...
  10. Full charge

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kukabiliana na hawa polisi nje ya utaratibu wa sheria?

    Habari wakuu. Kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria kwa upande wa Polisi ambapo tumeshuhudia na kuskia matukio mengi yanayofanywa na polisi kama vile kumpiga mtu risasi badala ya kumkamata na kumfikisha kwenye sheria. Kuteka watu na kuwapoteza au kuwaua,kupokea rushwa na kukwepa uwajibiakaji...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Sheria ikoje pale Polisi anapoua pasipo kukusudia?

    Leo nimeona niulize hapa JF inapotokea risasi iliyopigwa na polisi imeua bila kukusudia. Sheria ikoje? Kwa hali inavyokuwa mara nyingi hapa nchini, polisi anakuwa amekusudia kuua ila inatokea siyo mlengwa moja kwa moja. Kozi risasi inayopigwa kwa lengo la kuwatawanya watu inapigwa juu na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wahofia kukamatwa na Polisi walipouawa wananchi wawili Geita

    Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi. Mzizi wa hofu hiyo ni vurugu zilitokea jana baina ya wananchi na polisi na kusababisha watu wawili...
  14. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
  15. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama barabarani mko wapi?

    Kwanini jeshi la polisi hamzishuhulikii daladala zinazosimana katikati ya barabara kwenye kushusha ama kupakia abiria? Ninyi polisi mmelizika kuchua viaftano tano ndio mmeshalizika kila dalalada isimame hata sehemu zisizo salama na kusababisha foleni ambayo huleta kero kwa watumiaji wengine wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Sio polisi tu wanabeba silaha, hata majambazi

    Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo cha mauaji ya kiongozi huyo na wanaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuundwa kwa tume huru...
  17. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Kutokomeza Utekaji, mabadiliko yafanyike utumbuzi wa Polisi wakamataji

    Nimeona teknolojia ya mtandao ikitumika kuwatambua mawakili kama wamesajiliwa kutoa huduma ya uwakili. Nashauri Police wakamataji wote taarifa zao ziwekwe mtandaoni kwa maana ya Force Number, picha, Majina, Kituo anachofanyia kazi na kadhalika. Hii itasaidia wakija kukamata mtu, watu wa karibu...
  18. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Magari ya Maji taka yamwaga maji kwenye Makazi ya Polisi Oysterbay

    Hali ni mbaya sana kwetu Askari Polisi tunaokaa kwenye nyumba za kesho hapa maeneo ya kituoni. OCD karuhusu magari ya maji taka yamwage kinyesi kwenye makazi ya Askari. Simu yangu ina tatizo la camera, lakini nathibitisha kesho nitapata picha nzuri zaidi. Dereva wa Gari la majitaka anatamba...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mwenye ushahidi apeleke polisi inanikera mno

    Yaani police na idara zake Bado Zinataka taarifa Gani mpya kuhusu kutekwa Kwa Mzee Kibao 1. Mzee Kibao katekwa mchana mbele ya abiria zaidi ya 60 Fuatilia abiria wawape ushahidi 3 Akipanda bus la Tashrif kampuni inajulikana Wafateni dereva na kondakta wawape ushahidi 3.Gari zilizo block njia...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inawezekana watu wasiyojulikana ni kitendawili kwa serikali na polisi lakini ukimya na uzito wao kwenye matukio haya usema vingine!

    Wakuu salam, Inawezekana matukio haya hasa kwa wapinzani kutekwa na kuuliwa ikawa kitendawili kwa serikali, bado ikawa fumbo kubwa kwao kung'amua nani anahusika na maatukio haya dhalimu, lakini ukimya wao unasema vingine. Walitakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea na kuchukua hatua haraka pindi...
Back
Top Bottom