polisi

  1. JamiiForums Tanzania Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa? Naomba kuwasilisha...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tajiri Panone mbaroni Moshi kwa kuuza oil feki

    Mfanyabiashara maarufu nchini aliyewekeza kwenye biashara ya kuuuza mafuta, Patrick Ngiloi ametiwa mbaroni na jehsi la polisi nchini akihusishwa na biashara chafu ya kuza oli feki. Ngiloi ambaye amejenga vituo vya mafuta kupitia kampuni yake ya PANONE vilivyoota kama uyoga kila kona sanjari na...
  3. JamiiForums Tanzania Ni haki kufunga mitaa ya umma kwa ibada binafsi?

    Hivi kuna logic gani watu kuwa na haki ya kufunga barabara za umma zilizopigwa lami kwa kodi za umma ili kufanya shughuli binafsi za ibada? Kwani viwanja si vinauzwa... Kwanini mtumie barabara muhimu na kuzifunga? Kama nyumba yenu ya ibada haitoshi, basi changishaneni pesa mumnunue jirani...
  4. JamiiForums Tanzania Exclusive: Uhuni wa CCM uchaguzi Serikali za Mitaa huu hapa

    MKAKATI WA MSIMAMIZI MSAIDIZI KUMHUJUMU MGOMBEA WA CHADEMA KITONGOJI CHA STOONI ULIANZISHWA MAPEMA. Mkakati wa Msimamizi Msaidizi wa Kijiji Cha Nyangoto Kata ya Matongo kuhusu uchaguzi kwenye kituo cha stooni ulianzishwa mapema. Kitongoji cha stooni kilichokuwa kinagombewa na mgombea wa...
  5. JamiiForums Tanzania Iraq: Polisi wawatishia Waandamanaji kwa kutumia Mbwa, Waandamanaji wajibu kwa kuleta Simba

    Tangu Oktoba 01, 2019 Wananchi wa Iraq walianza maandamano ya dhidi ya Wanasiasa wanaoongoza nchi hiyo wakiwashutumu kwa mfumo uliokithiri rushwa na utawala usiokidhi katika kuongoza nchi Taarifa zinadai kuwa siku za hivi karibuni, Polisi wanaopambana na Waandamanaji hao waliwatishia...
  6. JamiiForums Tanzania Hai: Polisi watumika kukomoa raia, siasa zatajwa kuhusika

    Huyu mama ni miongoni mwa waathirika
  7. JamiiForums Tanzania Polisi: Awamu ya 5 makosa ya unyang’anyi kwa kutumia silaha yamepungua kwa asilimia 54.2

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz ameelezea kuhusu hali ya usalama nchini kwa kipindi cha mwaka 2015 hadi Septemba 2019 ikilinganishwa na mwaka 2011 hadi 2015. Amesema “Makosa makubwa ya Jinai yameshuka kwa asilimia 24.7. Makosa makubwa kwa mfano mauaji yameshuka...
  8. JamiiForums Tanzania Taratibu za jeshi la polisi zinaruhusu hii?

    Kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii ukiwa umevaa kombati?
  9. JamiiForums Tanzania IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

    ==== Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake. Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
  10. JamiiForums Tanzania Msanii Idris Sultan afika Kituo cha Polisi Central, ahojiwa aenda, kukaguliwa nyumbani kwake. Aachiwa kwa dhamana

    Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16 UPDATE: Polisi wameelekea...
  11. JamiiForums Tanzania Jambazi sugu ajisalimisha kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa na risasi za Polisi

    Jambazi sugu aitwaye Ali Mtemi amejisalimisha katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa kuuwawa na Askari wa doria mara nne katika Wilaya ya Kigamboni huku baadhi ya wengine katika kikundi chake wakiuwawa na kukamatwa. Polisi wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu ambapo amekuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Lugola amkamata dereva wa basi aliyetaka kusababisha ajali, apelekwa Polisi abiria warudishiwa nauli

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara. Magari hayo ni basi lililokuwa na abiri liitwalo Manoni Safaris lenye namba za usajili...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Mara wawaonya wananchi mkoani humo kuacha kuwapigia simu kutaka wawatafutie wachumba

    Sasa ni rasmi kuwa yawezekana aina ya Bange / Bangi inayolimwa na Kuvutwa Mkoani Mara ( Musoma ) ikawa na ‘ Madhara ‘ kuliko inavyodhaniwa na Watu wengine, hivyo ni Jukumu la Mamlaka husika ( Serikali ) kulivalia njuga Ulimwaji wa hiki ‘ Kilevi Moshi ‘ humo Mkoani kabla hali haijazidi kuwa mbaya...
  14. JamiiForums Tanzania Hii balaa! IGP Siro anavyopuuzwa na viaskari polisi vya chini kwa mwavuli wa ukada

    Nisikuchoshe, usinichoshe. Soma mwenyewe hapa. https://www.mwananchi.co.tz/habari/kitaifa/Mwiba-mwingine-mchungu-kwa-wabunge-wa-upinzani/1597296-5326568-d8lc60z/index.html
  15. JamiiForums Tanzania Masauni aliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa vyama vya msingi waliotoroka na bilioni 1.2 za wakulima wa korosho

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Newala baada ya kuwasili kwa ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Aziza Mangosongo. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Askari Polisi aliyemnywesha sumu mtoto wa dada yake, apandishwa Kizimbani

    Mjomba wa Mtoto Aliyenyweshwa Sumu, Kizimbani. Ashitakiwa Kwa Jaribio la Kuua, RCO Aomba Asidhaminiwe. Christopher Charles (23) ambaye alikuwa askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) cha Mkoa wa Dodoma, jana Oktoba 24, 2019 amefikishwa mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mkoa huo, Lucas Jang’andu...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu wa vituo vya Polisi waitwa Mahakamani kueleza sababu za kukaa na mshtakiwa mahabusu kwa siku 14

    Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewataka wakuu wa kituo cha polisi Kijitonyama na Oysterbay kufika mahakamani hapo leo Ijumaa Oktoba 25, 2019 kueleza sababu za kukaa na mtuhumiwa kwa siku 14 badala ya kumpeleka gereza la Segerea. Mtuhumiwa huyo, Elizabeth Balali alifikishwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa polisi hivi ndivyo walivyo wakirudi majumbani mwao wakisha tekeleza ilani ya chama cha mapinduzi

  19. JamiiForums Tanzania Wajibu wa Jeshi la Polisi katika Chaguzi za Kidemokrasia

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalinda Haki za Binadamu za kila mtu katika nchi hii. Hii inajumuisha haki ya kupiga kura, uhuru wa kujieleza na uhuru wa kujumuika. Chaguzi ni moja ya misingi muhimu ya demokrasia. Wananchi wote bila ubaguzi wana haki ya kuamua na kuchagua viongozi na...
  20. JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi wazuia Mkutano wa Mbunge Mch. Peter Msigwa[CHADEMA]

    Zaidi.soma: https://www.jamiiforums.com/threads/kumekucha-mchungaji-msigwa-kuiteketeza-ccm-iringa-mjini-baadhi-ya-viongozi-wa-ccm-wajiandaa-kukimbia.1642317/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…