pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 691
- 878
Zaidi.soma:
Kumekucha: Mchungaji Msigwa kuiteketeza CCM Iringa Mjini , baadhi ya viongozi wa CCM wajiandaa kukimbia
MSIGWA TENA! Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha kwenye mkutano mkubwa wa Kibunge katika viwanja vya Mwembetogwa tarehe 26/10/2019. Kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni Kama mbunge wako , nitasikiliza kero, maoni na ushauri kabla ya kwenda kwenye mkutano wa bunge, litakalo anza...
www.jamiiforums.com