Tajiri Panone mbaroni Moshi kwa kuuza oil feki

fred mwakitundu

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Messages
123
Points
250

fred mwakitundu

Senior Member
Joined Dec 31, 2018
123 250
Mfanyabiashara maarufu nchini aliyewekeza kwenye biashara ya kuuuza mafuta, Patrick Ngiloi ametiwa mbaroni na jehsi la polisi nchini akihusishwa na biashara chafu ya kuza oli feki.

Ngiloi ambaye amejenga vituo vya mafuta kupitia kampuni yake ya PANONE vilivyoota kama uyoga kila kona sanjari na majengo makubwa pembezoni mwa barabara, amekamatwa na jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro na kusafrishwa kwenda Jijini Dar es salaam ambako tukio lnadaiwa kutokea.

Taarifa kutoka ofisi ya RCO Kilimanjaro zimedhibitisha kukamatwa kwa Ngiloi ambaye anatuhumiwa kuuza oil hiyo chafu kutoka kampuni Moja ya wachina iliyoko eneo la Bagamoyo mkoani Pwani.

Hata hivyo Panone kwa sasa yuko mtaaani baada ya kuachiwa kwa 'dhamana' ,tunaendelea kufuatilia kinachoendelea katika sakata hilo.
 

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
10,205
Points
2,000

mwasu

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
10,205 2,000
Kuna upepo umewakumba wafanyabiashara wa KICHAGA, Arusha kila mmoja kaangushiwa msahala wake wamejikunyata, Mfanyabiashara alifanya harusi ya kijana wake wiki chache zilizopita ilikuwa harusi kubwa kila mfanyabiashara aliekuwepo hapo amekubwa na sekeseke, inategemea ulitoa mchango wa shilingi ngapi, muhisika account zake zote zimefungiwa " kuna uchunguzi"... haki tena wachaga sijui wamemkosea nini mkuu wallah.
 

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
2,572
Points
2,000

Deceiver

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
2,572 2,000
Mbinu chafu za DC hai sabaya zinajulikana.Hilo ni kosa la TBS au kiwanda cha hao wachina
Kumbe mtengeneza oil mbovu anajulikana. Si tungeanza naye ili atuambie amegawa oil kwa nani na nani? Labda watuambie Ngiloi ndio distributor nchi nzima peke yake.
Let's wait and see.
 

Forum statistics

Threads 1,382,261
Members 526,314
Posts 33,823,424
Top