police

The police are a constituted body of persons empowered by a state to enforce the law, to protect the lives, liberty and possessions of citizens, and to prevent crime and civil disorder. Their lawful powers include arrest and the legitimized use of force. The term is most commonly associated with the police forces of a sovereign state that are authorized to exercise the police power of that state within a defined legal or territorial area of responsibility. Police forces are often defined as being separate from the military and other organizations involved in the defense of the state against foreign aggressors; however, gendarmerie are military units charged with civil policing. Police forces are usually public sector services, funded through taxes.
Law enforcement is only part of policing activity. Policing has included an array of activities in different situations, but the predominant ones are concerned with the preservation of order. In some societies, in the late 18th and early 19th centuries, these developed within the context of maintaining the class system and the protection of private property. Police forces have become ubiquitous in modern societies. Nevertheless, their role can be controversial, as some are involved to varying degrees in corruption, police brutality and the enforcement of authoritarian rule.
A police force may also be referred to as a police department, police service, constabulary, gendarmerie, crime prevention, protective services, law enforcement agency, civil guard or civic guard. Members may be referred to as police officers, troopers, sheriffs, constables, rangers, peace officers or civic/civil guards. Ireland differs from other English-speaking countries by using the Irish language terms Garda (singular) and Gardaí (plural), for both the national police force and its members. The word "police" is the most universal and similar terms can be seen in many non-English speaking countries.Numerous slang terms exist for the police. Many slang terms for police officers are decades or centuries old with lost etymology. One of the oldest, "cop", has largely lost its slang connotations and become a common colloquial term used both by the public and police officers to refer to their profession.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaruhusiwa kupokea kesi za madai?

    Nilikopa pesa kwa maandishi nikarejesha kiasi cha pesa muda ukapita sikurejesha kiasi kilichobaki kulingana na tulivyoahidiana. Mdai akaja nyumbani na Police kunikamata nikalala kituo cha police hadi kesho yake. Nikatolewa kwa kudhaminiwa, police wakagoma kunipa simu yangu kwa madai mara...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ni virungu vya Polisi ndio vitampeleka Ikulu, kwa kura haendi ng'o!

    Tunakoelekea, ni Mungu tu aepushie mbali! Haitafahamika ikiwa watanzania tutakuwa tunaishi kwenye nchi yetu wenyewe ama ni ugenini! Mungu saidia Na ikitokea kura zinapigwa kesho, wenye kumpa kura kwa sasa ni hao walamba asali tu! Ni vigumu sana kukubaliana na ukweli huu! Na bahati mbaya...
  3. JamiiForums Tanzania Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

    Wana JF Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini. Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa...
  4. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

    Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi). Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
  5. JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke mjamzito kuomba police wamwambie mume asimpige tena sababu anampenda sana, hii ni baada ya kupewa kipigo kizito!

    Mama mwenye ujauzito wa miezi minne Jamila Hamisi (34) mkazi wa mtaa wa Remtula kata ya Elerai Jijini Arusha, amedai amejeruhiwa macho yake kwa kupigwa ngumi za uso na mume wake baada ya kutokea mzozano kati yao desemba 27, 2022. Jamila ameliomba Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limkanye mwanaume...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Full meaning of the word POLICE..

    Most of us, including me, consider "police" to be a self-contained word. However, POLICE is actually an acronym, and each letter stands for something distinct from the term's overall meaning. Even in the classroom, we learn that the police are a special force charged with the sacred duty of...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Polisi Temeke imarisheni ulinzi muda huu katika tamasha la Vuka na Chako kwani walioshindwa kuingia Wanaporwa na Vibaka

    Mbele ya Msikiti unaotizamana na Petro Station iliyo Jirani na Mgulani Barracks kuna Vibaka hapo na wakipora wanakimbilia kule Makaburini. Kwingineko ni huku kama unakuja ilipokuwa TCC kuelekea Kona ya Keko kuna Kipande hapo kina Giza Watu Wanaporwa. Tafadhali kwakuwa Uwanja umejaa mpaka...
  8. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP Wambura amrisha upesi Askari wako wa Kawe Police wamkamate upesi huyu Mfanyabiashara Cherehani wa Soko la Kawe

    Anaitwa Cherehani ni Mfanyabiashara pekee wa Kuuza Mihogo katika Soko la Kawe na maarufu pia. Tukio Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani wa Soko la Kawe alipanga njama kwa Kushirikiana na Mkewe ya Kumkamatisha Mwanaume aliyehisi anatoka na Mkewe ambaye kwa sasa ni Mjamzito. Siku ya Alhamisi...
  9. JamiiForums Tanzania RC Mwanza, RPC, Brela, TRA Mwanza. Hawa Matapeli wanapatikana hapa. Wakitumia vielelezo vyenu

    Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao. Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanafunzi apasuliwa korodani na polisi, ubongo umeyumba. Alikuwa akiteswa

    Kila siku ni kilio na majonzi dhidi ya polisi. Haya mambo yataisha lini jamani. ======== MWANACHUO wa Chuo Kikuu cha SAUT mkoani Mwanza, Warren Lyimo anayedaiwa kupigwa na kuteswa na Polisi hadi kupasuka korodani, amesimulia mambo mazito na yakutisha katika mkasa huo. Tukio la Warren kupigwa...
  11. JamiiForums Tanzania NEMC Ikiwapendeza Fanyeni Kama Traffic Police

    Kiukweli hali imekuwa mbaya sana mtaani, vyombo vya entertainment majumbani na sehemu za starehe vinazidi kuongezeka kwa kasi na sasa imefikia familia na wenye bar pamoja na makanisa wananunua maspika makubwa yanayotakiwa kufungwa kwenye kumbi za muziki yanawekwa majumbani na kwenye sehemu za...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wa 'Puerto Rico' wamenituma nifikishe huu 'Ujumbe' kwa 'London Mourner' naamini utamfikia....

    "Mwambieni tumechoka sasa na tabia yake ya kila mara tu Kutusema vibaya tena katika Public kuwa tunabambikia Watu Kesi, tunawaonea na Kuua hovyo wakati si kweli" "Anatulaumu kuwa tupambane na Wahalifu wa hapa Jiji Kuu la San Juan nchini Puerto Rico wakati hata Yeye pia hatujali Kimaslahi kama...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Askari Police wa hapa Puerto Rico 'Wanavyoua' Wahalifu ili Kumridhisha Rais baada ya kutokea Tukio baya ambalo Wamelishindwa

    Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao. Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
  15. JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 15 auawa na Jeshi la Police Mkoani Mwanza

    Kijana Yahaya Aboubakar mwenye umri wa miaka 15 anadaiwa kukamatwa na askari polisi nyumbani kwa bibi yake mtaa wa Juhudi, Kata ya Mabatini wilaya ya Nyamagana Septemba 2, 2022, akiwa mzima, kisha polisi hao waliondoka nae na kumfungia ndani bibi yake Yahaya ambapo baada ya kufanikiwa kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Police fikirieni upya maamuzi yenu before mkamate mtu

    Jamani sasa kama mmefika huku basi mnataka vijana wote wawe wezi ili ijulikane tu kila kitu atakachofanya ni uharifu. Haya huko pwani kijana wa watu tena msanii katengeneza mfano wa bunduki(matoi) ambayo anatumia kwaajili ya sanaa hajafanya uharifu wowote lakini anaenda jera #je mnadhani...
  17. JamiiForums Tanzania Uteuzi Polisi Trafiki ufanywe na kitengo maalum kati ya TISS , TAKUKURU na Polisi Makao Makuu badala ya RPC wa mikoani

    Sasa ni wakati wa kupindua meza trafic police wachaguliwe na kitengo maalum badala ya kuteuliwa na maRPC wa mikoa kwenda kuwakusanyia fedha barabarani. Iwapo MaRPC Watson dolerà jukumu hilo Jeshi la polisi litaluwa Jeshi la kisasa lisilo na rushwa barabarani. RPC akimteua trafic lazima...
  18. JamiiForums Tanzania Msanii wa Nigeria, Kizz Daniel akamatwa na Polisi Jijini Dar

    Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Next Door Arena msanii huyo kutoka Nigeria amekamatwa na Polisi. ========= Baada ya kushindwa kutoa burudani usiku wa kuamkia leo Agosti 8, 2022 katika Ukumbi wa Next Door Arena, msanii Kizz Daniel kutoka Nigeria...
  19. JamiiForums Tanzania Traffic police ni janga la kitaifa, wanazidisha ugumu wa maisha kwa wananchi

    Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic. Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta makosa kwa wenye magari na wasafirishaji wa abiria na mizigo, hali inayosababisha gharama kubwa za...
  20. JamiiForums Tanzania Traffic Police wa Tanzania wanasababisha ajali kuliko kupunguza

    Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu. 1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya Usalama kwanza imegeuka Mapato kwanza. Ndio maana hushangai kusikia taarifa ya Jeshi la Police...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…