Ni virungu vya Polisi ndio vitampeleka Ikulu, kwa kura haendi ng'o!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Tunakoelekea, ni Mungu tu aepushie mbali! Haitafahamika ikiwa watanzania tutakuwa tunaishi kwenye nchi yetu wenyewe ama ni ugenini! Mungu saidia

Na ikitokea kura zinapigwa kesho, wenye kumpa kura kwa sasa ni hao walamba asali tu!

Ni vigumu sana kukubaliana na ukweli huu!

Na bahati mbaya kabisa hata wale wanaomfanyia utafiti mama kwa kiasi gani anakubalika kwa wananchi, wapo tu maofsini wamelewa asali!

Na hata wakienda kufanya utafiti, bado watamletea majibu ya kuongopa ili tu waendelee kulewa asali kama kawaida yao!

Ndugu zangu! Si mkulima wala asiyemkulima anayenufaika na upandaji wa mazao kwa sasa!

Jambo hili limemchukiza kila mtu, siyo mkulima wala mlaji! Wote wanahasira nalo! Baba makini na mwenye uchungu na watoto wake, hakurupuki, akisikia watoto wake kulalamikia jambo fulani, hufuatilia kuona ukweli wa jambo hilo!

Nalimuelewa vema Dkt Bashiru kwenye hoja yake kuhusu bei juu ya mazao, na kwamba serikali ifanye ubunifu wa kukabiliana na hali hii mbaya, na akatoa mfano hai kusema, Ikiwa wananchi wamebuni mbinu zao za kukabiliana na hali hii kwa kupanga upya ratiba ya Milo, iweje serikali ikose ubunifu na mbinu mbadala wa kutatua jambo hili?

Hivi mnajua tsh 5000 haitoshi kula mtu mmoja? Na ndiyo maana kwa kulijuahilo, yeye mwenyewe amewaongezea wanafunzi wa vyuo kufika bajeti ya kujikimu kwa siku, kufikia tsh 10,000 ya kula!

Kwa mantiki hiyo hiyo, pesa ya kula kwa mtu mmoja kwa siku inafikia kiwango hichohicho kwa kila raia na sio kwa wanafunzi wa vyuo pekee, Je ukiangalia katika uhalisia, hicho ndicho kipato kweli cha mtanzania? Kwa haraka haraka ni hakuna!

Sasa wananchi wananchi wanaishije ikiwa hawana uwezo wa kipato cha Tsh 10,000 kwa siku? CCM mmelaka mkiwa mmelewa asali ili hali wananchi wanashinda njaa?

Kwa nini ukweli huitwa uchochezi kwa watu wasiojua machungu ya wananchi kwa wanayoyapitia?

Kwa hali kama hiyo? Ni mpuuzi nani wa kutoa kura yake Ili aendelee kuishi kama digidigi mbugani

Nimeongelea moja tu ambapo wananchi wengi wameweka hasira zao ili kulipiza 2025

Mitaani kumekuwa na vichaa wengi sana wa kiume, na ukiuliza ni vipi imekuwa hivyo! Watu wanaeleza tu kuwa imetokea mtu ameshindwa kuitunza familia yake, maisha yamekuwa ni magumu na hatimaye mtu anaanza tu kuongea mwenyewe njiani kisha kuokota makopo na uchizi tayari unamvamia

Hakuna kipindi chochote kile katika nchi hii ambapo watu wanasafa kuliko hata mbwa wakitafuta malisho

10000 kwa sasa ni sawa na una buku 2000 haitoshi kwa lolote!

Hivi tuambizane ukweli, ni mtu nani jasiri wa kutoa kura yake kurudia mateso kama haya?

Ombi kwa vituo vya afya! Anzeni mapema sasa kupima watoto ikiwa hawana utapia mlo, hali ni mbaya

Na kwa nini mnadhani ni vibaya kuusema ukweli ili kuchukua hatua?
 
Ni vigumu sana kukubaliana na ukweli huu!

Na bahati mbaya kabisa hata ambao huwa wanafanya li search kuangalia ni kwa kiasi gani anakubalika kwa wananchi, wako maofsini wamelewa asali!

Na hata wakienda kufanya li search, bado wanakuja kuongopa ili tu waendelee kuelewa asali kama kawaida yao

Ndugu zangu! Si mkulima wala asiyemkulima anayenufaika na upandaji wa mazao kwa sasa!

Jambo hili limemchukiza kila mtu, siyo mkulima na wala mlaji! Wote wanahasira nalo

Hivi mnajua tsh 5000 haitoshi kula mtu mmoja? Na ndiyo maana kwa kulijuahilo, yeye mwenyewe amewaongezea wanafunzi wa vyuo kufika tsh10000 ya kula tu kwa siku moja!

Kama ni hivyo, je kwa wananchi wengine wanaishije kama siyo kutokula baadhi ya Milo kwa siku?

Mkuu
Umekuwa mwema na mkweli kuliko wanaotumia pesa za Hazina kumhadaa Hangaya kuwa anayo safu ya ushindi.

Wananchi wamejenga chuki kubwa dhidi yake na endapo uchaguzi utafanyika kesho atapata kura za vyombo vya ulinzi na usalama na wastaafu pekee.

Tunaandika haya tukiwa tumeficha majina yetu kwa sababu tatizo siyo yeye bali tatizo ni wale wsnaoratibu anguko lake wanahakikisha haelezwi ukweli wowote anayethubutu kumwambia ukweli atamfuata bwana yule
 
Tatizo lake anawakumbatia failures, na hataki kusikia ushauri wowote anaopewa nje ya wale anaowaamini ambao ndio wanamfelisha, kama Mwigulu ndie anaongoza show, what do you expect?

Hatujafika hapa tulipo kwa bahati mbaya, uzembe unaoanzia juu ndio chanzo cha haya, nikikumbuka yale matamko ya kutuasa tujiandae kwa bei ya vitu kupanda sababu ya vita ya Urusi vs Ukraine, pale wafanyabiashara walifurahi sana.

Rais wa nchi, ambaye ndie kiongozi wa taifa, unaetegemewa na unaowaongoza kwa maamuzi yako, unapokuja na matamko ambayo mwisho wa siku yanaishia kukinufaisha kikundi kidogo cha watu, na kuwaacha wengi unaowaongoza wakitaabika, inaonesha vile haupo tayari, na haukuwa tayari kuliongoza taifa, ile ilikuwa ni ajali tu.

Bahati mbaya mpaka leo karibia miaka miwili kupita, bado anaichukulia kama ajali tu, kutokana na maamuzi anayofanya kwenye serikali yake yanayozidi kufanya hali ya wananchi izidi kuwa ngumu kila kukicha, kwenda ikulu halafu ndio unaanza kufanya majaribio ya kuongoza nchi ni janga, kinachotukuta sasa ni kila mtu na lake, na kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake popote alipo.
 
Ni vigumu sana kukubaliana na ukweli huu!

Na bahati mbaya kabisa hata ambao huwa wanafanya li search kuangalia ni kwa kiasi gani anakubalika kwa wananchi, wako maofsini wamelewa asali!

Na hata wakienda kufanya li search, bado wanakuja kuongopa ili tu waendelee kuelewa asali kama kawaida yao

Ndugu zangu! Si mkulima wala asiyemkulima anayenufaika na upandaji wa mazao kwa sasa!

Jambo hili limemchukiza kila mtu, siyo mkulima na wala mlaji! Wote wanahasira nalo

Hivi mnajua tsh 5000 haitoshi kula mtu mmoja? Na ndiyo maana kwa kulijuahilo, yeye mwenyewe amewaongezea wanafunzi wa vyuo kufika tsh10000 ya kula tu kwa siku moja!

Kama ni hivyo, je kwa wananchi wengine wanaishije kama siyo kutokula baadhi ya Milo kwa siku?

Kwa hali kama hiyo? Ni mpuuzi nani wa kutoa kura yake Ili aendelee kuishi kama digidigi mbugani

Nimeongelea moja tu ambapo wananchi wengi wameweka hasira zao ili kulipiza 2025

Mitaani kumekuwa na vichaa wengi sana wa kiume, na ukiuliza ni vipi imekuwa hivyo! Watu wanaeleza tu kuwa imetokea mtu ameshindwa kuitunza familia yake, maisha yamekuwa ni magumu na hatimaye mtu anaanza tu kuongea mwenyewe njiani kisha kuokota makopo na uchizi tayari unamvamia

Hakuna kipindi chochote kile katika nchi hii ambapo watu wanasafa kuliko hata mbwa wakitafuta malisho

10000 kwa sasa ni sawa na una buku 2000 haitoshi kwa lolote!

Hivi tuambizane ukweli, ni mtu nani jasiri wa kutoa kura yake kurudia mateso kama haya?

Ombi kwa vituo vya afya! Anzeni mapema sasa kupima watoto ikiwa hawana utapia mlo, hali ni mbaya

Na kwa nini mnadhani ni vibaya kuusema ukweli ili kuchukua hatua?
kufa,au hama nchi"
 
Mkuu
Umekuwa mwema na mkweli kuliko wanaotumia pesa za Hazina kumhadaa Hangaya kuwa anayo safu ya ushindi.

Wananchi wamejenga chuki kubwa dhidi yake na endapo uchaguzi utafanyika kesho atapata kura za vyombo vya ulinzi na usalama na wastaafu pekee.

Tunaandika haya tukiwa tumeficha majina yetu kwa sababu tatizo siyo yeye bali tatizo ni wale wsnaoratibu anguko lake wanahakikisha haelezwi ukweli wowote anayethubutu kumwambia ukweli atamfuata bwana yul
Ndo wewe uliyelewa asali siyo? Sawa mkuu,
nyie misukule ya dikteta
 
Ni vigumu sana kukubaliana na ukweli huu!

Na bahati mbaya kabisa hata ambao huwa wanafanya li search kuangalia ni kwa kiasi gani anakubalika kwa wananchi, wako maofsini wamelewa asali!

Na hata wakienda kufanya li search, bado wanakuja kuongopa ili tu waendelee kuelewa asali kama kawaida yao

Ndugu zangu! Si mkulima wala asiyemkulima anayenufaika na upandaji wa mazao kwa sasa!

Jambo hili limemchukiza kila mtu, siyo mkulima na wala mlaji! Wote wanahasira nalo

Hivi mnajua tsh 5000 haitoshi kula mtu mmoja? Na ndiyo maana kwa kulijuahilo, yeye mwenyewe amewaongezea wanafunzi wa vyuo kufika tsh10000 ya kula tu kwa siku moja!

Kama ni hivyo, je kwa wananchi wengine wanaishije kama siyo kutokula baadhi ya Milo kwa siku?

Kwa hali kama hiyo? Ni mpuuzi nani wa kutoa kura yake Ili aendelee kuishi kama digidigi mbugani

Nimeongelea moja tu ambapo wananchi wengi wameweka hasira zao ili kulipiza 2025

Mitaani kumekuwa na vichaa wengi sana wa kiume, na ukiuliza ni vipi imekuwa hivyo! Watu wanaeleza tu kuwa imetokea mtu ameshindwa kuitunza familia yake, maisha yamekuwa ni magumu na hatimaye mtu anaanza tu kuongea mwenyewe njiani kisha kuokota makopo na uchizi tayari unamvamia

Hakuna kipindi chochote kile katika nchi hii ambapo watu wanasafa kuliko hata mbwa wakitafuta malisho

10000 kwa sasa ni sawa na una buku 2000 haitoshi kwa lolote!

Hivi tuambizane ukweli, ni mtu nani jasiri wa kutoa kura yake kurudia mateso kama haya?

Ombi kwa vituo vya afya! Anzeni mapema sasa kupima watoto ikiwa hawana utapia mlo, hali ni mbaya

Na kwa nini mnadhani ni vibaya kuusema ukweli ili kuchukua hatua?
Mjambiani ni mpuuzi sana huyu ....uchumi unakwenda kufa kabisa ajui kitu chochote tegemeo pekee la watz ni bwawa la umeme kama nalo atakuwa na akili ya kujua bei inatakiwa kushuka hadi kufikia sh1000 unit 4.6 hivi ili kuwezesha matumizi ya umeme kwenye kupikia na kuokoa mazingira kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa ..kitendo cha bei kuwa hiyo kutafanya mafisadi wa gesi washushe sana bei ya gesi hiyo ni faida nyingine kubwa kiuchumi
 
nyie misukule ya dikteta
Inawezekana ikawa ndiyo au hapana.

Kikubwa nimeeleza kilichopo na ukweli unaofunikwa kwa nguvu kubwa.

Mnapofikia mahala mnaratibu kila kitu ashukuriwe mama mnamtengenezea comfort zone Hangaya wetu asijue mnachokipanga behind the curtains.

Mimi sitoacha kumuombea rais lakini sitonyamaza kumwambia ukweli kama anakwenda isivyotakiwa.
 
Tatizo lake anawakumbatia failures, na hataki kusikia ushauri wowote anaopewa nje ya wale anaowaamini ambao ndio wanamfelisha, Mwigulu ndie anaongoza show, what do you expect?

Hatujafika hapa tulipo kwa bahati mbaya, uzembe unaoanzia juu ndio chanzo cha haya, nikikumbuka yale matamko ya kutuasa tujiandae kwa bei ya vitu kupanda sababu ya vita ya Urusi vs Ukraine, pale wafanyabiashara walifurahi sana.

Rais wa nchi, ambaye ndie kiongozi wa taifa, unaetegemewa na unaowaongoza kwa maamuzi yako, unapokuja na matamko ambayo mwisho wa siku yanaishia kukinufaisha kikundi kidogo cha watu, na kuwaacha wengi unaowaongoza wakitaabika, inaonesha vile haupo tayari, na haukuwa tayari kuliongoza taifa, ile ilikuwa ni ajali tu.

Bahati mbaya mpaka leo karibia miaka miwili kupita, bado anaichukulia kama ajali tu, kutokana na maamuzi anayofanya kwenye serikali yake yanayozidi kufanya hali ya wananchi izidi kuwa ngumu kila kukicha, kwenda ikulu halafu ndio unaanza kufanya majaribio ya kuongoza nchi ni janga, kinachotukuta sasa ni kila mtu na lake, na kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake popote alipo.
Hiyo ndiyo sifa kuu ya mtu kuitwa mpumbavuu ...mpumbavu ukataa shauri la akili kisa tu limetoka kinywani mwa adui yake yupo ladhi kufuata shauri bovu popote kuliko kufuata la akili
 
Mkuu
Umekuwa mwema na mkweli kuliko wanaotumia pesa za Hazina kumhadaa Hangaya kuwa anayo safu ya ushindi.

Wananchi wamejenga chuki kubwa dhidi yake na endapo uchaguzi utafanyika kesho atapata kura za vyombo vya ulinzi na usalama na wastaafu pekee.

Tunaandika haya tukiwa tumeficha majina yetu kwa sababu tatizo siyo yeye bali tatizo ni wale wsnaoratibu anguko lake wanahakikisha haelezwi ukweli wowote anayethubutu kumwambia ukweli atamfuata bwana yule
Mimi Ni mwananchi wa kawaida kura yangu ntampa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom