polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao mkuu alipotea kwa media kama siku 5 baada ya kutekwa kwa Polepole

    JF Baada ya abduction ya Polepole. Upande wa pili, tukashangaa kiongozi wa wanamtandao ghafla kapotea kwa uso wa Tanzania, mpaka kuzushiwa kuwa kaaga. Tukumbuke mashambulizi ya Polepole yalimlenga zaidi kiongozi mkuu. Anajua ukweli.? Alienda kumwona .? Anajua alipo .? Baada ya kuibuka, ndio...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo hakuna aliyethibitisha au kukanusha, kama kweli Humphrey Polepole ashauawa, nini kitatokea?

    Niseme kwanza. Mie si shabiki wa Humphrey Polepole ambaye ni mwanachama na kiongozi wa CCM. Sipendi CCM. Hivyo, CCM wakitekana na kuuana, huwa hainishughulishi. Kinachonishughulisha ni kelele na maombi nionayo hapa jf juu ya kukamata/kutekwa na sasa kuawa au kutoweka kwa Polepole. Je ikitokea...
  3. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Polepole Mengi yamesemwa kwa Ubaya na Uzuri

    Asalaam Aleikum - Amani iwe juu yenu. Kwa muda nimejaribu sana kujizuia kuandika lolote juu ya MKASA wa Kiongozi balozi mstaafu Humphrey Polepole. Mengi yamesemwa kwa Ubaya na Uzuri ili mradi kuridhisha nafsi na malengo ya wasemaji. Lakini UKWELI wa yote unabakia kuwa fumbo la Mbayuwayu. Mimi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni Nyerere na Mandela wa zama zetu aliyetwaliwa kutoka kwetu na wasiolitakia mema Taifa hili!

    Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge toka? Polepole kama Lissu, Nyerere au Mandela hawakuchagua kuzikimbia nchi zao na eti kwenda...
  6. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ mmeona ya Polepole? Mmeona Wananchi wanavyotekwa na Kuuawa? Mmeona Ufisadi wa Viongozi?

    Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini? Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude? Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

    Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika. Aliandika 👇👇👇 Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu. Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM...
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania JK jitokeze Usema chochote, Polepole ni kijana wako uliyemtengeza Mwenyewe

    JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Polepole alifanya kosa kubwa kutowafichua waliomteka dada yake. Sasa na yeye ametekwa

    ..alidai waliomteka dada yake amewaona. ..na akadai anawajua waliowatuma. ..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake. ..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka. ..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki. ..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
  11. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi kutoka kwa Polepole: Viongozi wote wa CCM tuna V8 unaijua wewe, AC muda wote

    Kila jambo lina wakati wake amini nawaambia tukumbuke kesho yetu ipo mikononi mwa Bwana kuna lakujifunza usikute ametekwa na V8 ya Chama Cha Mapinduzi CCM. Niwatakie Jioni Njema.
  12. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inayo jali Utu wa mtu itoe Tamko kuhusu Polepole

    serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Boniface Jacob asema 'Sakata la Polepole ni mradi wa kutengeneza hofu unaoratibiwa na wanaharakati uchwara nchini'

  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amenikera sana POLEPOLE! Alijiaminisha na nini kuwa hapa nchini! Umesaliti mapambano! Sterling hafi, anadumu movie iendelee. Sasa Umekufa!

    Ni hilo tu! Shujaa mfu! Ilibidi uhakikishe hufi mpaka uone mwisho wa mapambano yako! SHUJAA MFU, HAIJATUSAIDIA
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Sakata la Polepole: Je ni sawa na Edward Snowden, Julian Assange, Alexander Litvinenko?

    Yasemekana Humphrey Polepole amedakwa na watu wa mfumo, kisa ni kauli zake kwenye mitandao ya jamii akiwa mafichoni. Namfananisha na wafuatao:- 1. Edward Snowden Alifichua siri za kimataifa za NSA zinazoonyesha namna Serikali ya USA ilivyokuwa ikiwapeleleza raia wake kinyume na sheria...
  16. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika kwa asilimia 85% kuwa Bwana Polepole hatauliwa, ila huenda tusimuone tena

    Kwanza kwa nafasi alizoshika na hadhi yake, ni vigumu mno kwa mtu kama yeye kuuawa kirahisi, nitafafanua kwa nini hilo ni gumu kutekerezwa, Polepole hakuwa mtu wa kawaida. Ni senior citizen, mwanaccm kindakindaki, na mtu aliyekuwa sehemu ya mfumo wa juu wa chama na serikali. Sio kama wale...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM

    Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM! Yaani mtu ambaye mlikuwa karibu hutaki hata kujua hali yake hata baada ya Mama mzazi wake kuongea hujali hata kuuliza na hata kusema basi unamuombea na kumuombea shinikizo aachaliwe. Yaani muongeaji pekee ni Heche!!!! huko CCM kuna binadamu...
  18. JOANNA

    JamiiForums Tanzania Prayer Alter for Humphrey Polepole

    Calling all the watchman, The intercessors, The chosen one, Prayer warriors, Seers, Teachers of the word, wailing women Let's raise an alter of prayers for Humphrey Polepole at 12 am all time zone. We are sending prayer petition to the court of Heaven. Remove all legal rights that the enemy is...
  19. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  20. Kanali_

    JamiiForums Tanzania Tumekubali kuishi na mchawi ndani?

    Hakuna aliye salama. Kama mzazi wako ni mchawi, usicheke sana unapoona anamaliza majirani. Watakapokwisha ataanza na wewe.
Back
Top Bottom