polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

    Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema? Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli. TANZANIA tuna safari ndefu...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Polepole

    1. Aliingiaje Tanzania? 2. Aliamini mwenye nyumba wake hangemchoma? Kumuhifadhi mtu wa aina hiyo ni sawa na kuunga mkono uhaini kwa serkali je aliamini mwenyenyumba wake asingemchoma? Maana kumpangisha ni sawa na kuhifadhi cocaine bangi au silaha nyumbani kwako. 3. Kwanamna yoyote alikuwa...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Watanzania naomba kwa sasa tumpuuze Polepole, ni mhuni tu

    Kuna maswali mengi kuhusu Polepole na nafasi yake katika siasa za Tanzania, hususan baada ya taarifa kuhusu Captain Tesha kuibuka na kupata umaarufu mkubwa. Polepole ameonekana kuzingatia siasa za kivuli, na hatua zake zimekuwa zikichochea mashaka kuhusu nia yake halisi na ajenda anazozitetea...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Polepole kweli waliomteka ni watu wa serikali au maadui zake ili kukinukisha?

    Najua wengi wanafuatilia tukio chafu na la hovyo la kutekwa Humphrey Polepole mwanaCCM kindakindaki aliyeibuliwa na Magufuli. Hata hivyo, kuna mambo ya kujiuliza. Je, ni kweli kuwa Polepole alikuwa akiishi Tanzania tangu alipojiuzulu ubalozi? Je, licha ya kuwa zoba, alijiamini nini wakati...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kwamba Polepole atapotea na kusahaulika hivihivi? Watanzania tutakuwa wanyonge namna hii mpaka lini?

    Najaribu kuwaza ingekuwa Kenya, ambapo kijana mmoja tu aliuawa na polisi, maelfu ya raia wakajitokeza kuandamana mpaka haki ikatendeka, Najaribu kuwaza tangu alipotekwa Kibao, siku ileile wote walipohusika walitakiwa wawajibishwe ila wasilete tena madhara! Ila cha kushangaza Watanzania...
  6. Lattafa

    JamiiForums Tanzania Je, Polepole ni Honey Pot ya wasiojulikana?

    Ndugu wa Balozi amehojiwa na tumemsikia. Kuna maneno na yanayozungumzwa mitandaoni hasa hili la 'chip' ambayo ndio theory yangu inapokuja. Je, ni kweli Balozi ana bug katika mwili wake au ni scare crow tactic aliyotumia mtoa taarifa kuwatisha watekaji. Je, kama ni kweli Ana bug basi Lazima...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3

    Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz Piganianieni mifumo bora hakuna anayejua kesho yake. Polepole alikuwa anaringishia watu magari leo yeye ni mtekwaji!!!. Alikuwa ana fungia macho...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Damu ya Polepole isipoelezewa nchi imepasuka Rasmi

    Ndani ya masaa 24, kama Serikali haitatoa taarifa kuhusu hali ya Polepole, Tutamobilize vijana kati ya 5000-20,000 nchi nzima, kila mmoja atatumiwa maelekezo ya kujilinda kwa kila hali dhidi ya watekaji kupitia Whatsapp/Telegram na SMS za kawaida, hili tukio litatokea ndani ya dk 10 nchi nzima...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama wamemnasa Polepole, basi RIP

    Japo wote ni chama kimoja, kinachoendelea kinaonyesha kuwa macc siyo binadamu hasa yanapoingiliwmaslahi yao au kufichuliwa uovu wao. Kama kweli kilichotokea kwa Humphrey Polepole kilimhusisha, uwezekano wa kuwa marehemu ni mkubwa. Tujikumbushe walivyommaliza: Edward Sokoine, Horace Kolimba...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Muliro: Tunafuatilia taarifa za Polepole kutekwa ila alisema hayupo nchini amerudi lini?

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha. Ndugu wa Polepole wameambia BBC kuwa tukio hilo la kuvamiwa na kutekwa kwa ndugu yao kumetokea usiku wa kuamkia leo...
  11. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Kama Polepole alikuwa nchini miezi yote hiyo tangu alipojiuzulu, Intelijensia za Polisi na TISS zinanipa mashaka

    Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka. Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!! NB: Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Butiku usipokemea anayopitia Polepole, Umeshiriki kuivunja Tanzania

    Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime. Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa "Gloves are off". We need to...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  14. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Sura ni mwanajeshi ila mawazo ni ya Polepole

    Sura kweli ni mwanajeshi, Sare kweli ni za kijeshi, Ila mawazo (Talking Points) ni ya ndugu Humphrey Polepole. Wale wana-CCM ambao walidhani kwamba Polepole ana ushawishi mdogo hapa nchini, kwamba ni mtu wa kupuuzwa walifanya mahesabu yao vibaya mno. Malalmiko yote ya kuharibika kwa Tanzania...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Polepole alisema polisi siyo kwamba wananyanyasa watu kwa kupenda ila wamejawa shida na msongo wa mawazo, alitaka waongezewe maslahi

    Wakuu leo kwenye pitapita zangu huko nikakutana na video ya Bwana Polepole kipindi hiko akiwa anapambani katiba mpya mwaka 2014. Wakati akizungumza alisema kuwa wakati wanakusanya maoni ya katiba mpya aliambiwa kuwa Polisi wana shida nyingi sana, hali zao za kimaisha si nzuri sana. "Polisi...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Muulizeni Nchimbi ni nani alihuduma kama waziri wa mambo ya ndani aliyetaka kuligawa eneo la polisi line Namanga

    Muulizeni Nchimbi ni nani alihuduma kama waziri wa mambo ya ndani aliyetaka kuligawa eneo la polisi line hapo Namanga Morroco polisi ostabei lile eneo lote kwenda kwa bwana yule ambaye anatubagaza hadi kwenye madini.
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa. Ila ukombozi unakuja

    Polepole: Tunataka kufanya ukombozi wa hatima ya nchi yetu ambayo hatima hiyo imekubikwa na giza nene Watu hawana uhakika na maisha yao, watu wanapotezwa, wanatekwa, wanauwawa
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Humphrey Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025

    Mtaa wa Kajificheni Mazungumzo ya Ndg. Polepole - Kuhusu kutowatisha viongozi wa dini 25 Septemba 2025 https://m.youtube.com/watch?v=DdrvgHstRPw
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Polepole uliahidi kufichua yanayoendelea kwenye usafiri wa mwendokasi, huu ndio muda mwafaka

    Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, aliwahi kusema kupitia njia ya mtandao kwamba atafichua uozo uliopo ndani ya mradi wa mwendokasi. Kauli hiyo bado inabaki vichwani mwa watanzania wengi, hasa wakati huu ambapo huduma za mwendokasi zimekuwa zikilalamikiwa kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege amtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itakuwa chama kama Polepole anavyokisemaga

    Wakuu Bungala anaendelea kupiga kwenye mshono, amemtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itapoteza mvuto wake. Bwege ameunga dots kwa yaliyotukia Kigoma hivi karibuni ambapo Baba Levo na Rais walikuwa wakimuongelea Zitto na kuoenekana kama kijana wa nyumbani (CCM). Soma pia >...
Back
Top Bottom