polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Polepole angeokotwa kabla Octoba 29 akiwa na kimfuko chake cha karanga na taulo akiwa dhaifu mwenye depression tungefurahi

    Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu. Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana msongo wa mawazo (depression) taifa lingepona. Chuki na hasira zingepoa. Visasi visingetarajiwa siku...
  2. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Tujichoreni tatoo ya Polepole kumuenzi

    Wakubwa na wadogo, vijana na wazee, watoto na wakubwa na wanawake kwa wanaume inakuaje asee watu wangu wa nguvu. Moja kwa moja kwenye mada. Kama kwicha cha mada hapo juu tujichoreni tatoo mwilini kama kumuenzi balozi Humphrey Polepole. Popote mwilini. Mimi tayari niko kwenye maandalizi ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lema GodBless, usiwe kama Polepole, if needs to be , kimbia nchi for your safety!

    Usiwe shujaa aliyekufa. Usiwe kama Polepole. Unaweza kuleta mabadiriko tarajiwa ukiwa nje ya nchi! All angles of "independence" struggle are acceptable depending on the prevailing security situations in the country . DO THE NEEDFUL Epuka kuwa kama Polepole!
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Jana niliionea huruma sana familia ya Polepole

    Jana kuna barua ilikuwa ina-surface mtandaoni iliongelea mambo mengi ila sehemu iliyonifikirisha sana ni pale waliposema mazingira ya siasa nchini yapo vizuri nikaachia kusoma pale sikuendelea tena sababu nilisikia uchungu mkubwa sana Nikajiuliza familia ya polepole inajisikiaje inaposoma ile...
  5. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Polepole na wengine yananikumbusha A Grain of Wheat, novel iliyoandikwa na Ngũgĩ wa Thiong’o,

    Ni suala la muda tu mbegu itamea na tutavuna tusichoke
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA / MISS SARUNGI anzisheni Mfuko wa Harambee Kwa MAMA POLEPOLE , Ndani yake ubebe na Wahanga wengineo ! Mlifanyeni hili haraka kabla ya MO29

    Palipo na Hazina ya MTU ndio Moyo wake ulipo Nafaham tunao Wahanga wengi sana mamia Kwa maelfu. Lakini ni lazima tuweke UPEKEE katika Uchaguzi wa Jina la Mfuko. Mh Polepole alikua Mwana CCM, Mbunge, Mjumbe wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba, Katibu Muenezi wa CCM, na BALOZI Nchini Cuba...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya kutoweka kwa Polepole kutolewa Oktoba 24, 2025

    Kesi ya jinai namba 24514 ya mwaka 2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Malawi na Cuba Humphrey Polepole dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) na wenzake wanane imeendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 16.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Leo ilikua Nyerere day Je tunayaishi yale Nyerere alikua anatamani yafanyike hakashidwa akasema Tujisahihishe

    Nyerere day leo lakini ni kweli tunaishi yale Nyerere alitamani? Huyu mzee alitamani kuona nchi ina kizazi Jeuri cha kuhoji sio kizazi cha bwana ndio mkubwa. Tunataka vijana waasi dhidi ya Mifumo kandamizi Ubwana na Ufisadi. Wanaogopa mabadiliko ni wale walioshiba wezi mafisadi lakini Maskini...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Serikali haijui alipo Humphrey Polepole, ndio maana Polisi inafanya uchunguzi

    Mahojiano ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa alipozungumza na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kuhusu Polepole nini kauli ya Serikali Jeshi la Polisi limeshatangaza kutaka aende akatoe maelezo juu ya kauli...
  10. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao mkuu alipotea kwa media kama siku 5 baada ya kutekwa kwa Polepole

    JF Baada ya abduction ya Polepole. Upande wa pili, tukashangaa kiongozi wa wanamtandao ghafla kapotea kwa uso wa Tanzania, mpaka kuzushiwa kuwa kaaga. Tukumbuke mashambulizi ya Polepole yalimlenga zaidi kiongozi mkuu. Anajua ukweli.? Alienda kumwona .? Anajua alipo .? Baada ya kuibuka, ndio...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo hakuna aliyethibitisha au kukanusha, kama kweli Humphrey Polepole ashauawa, nini kitatokea?

    Niseme kwanza. Mie si shabiki wa Humphrey Polepole ambaye ni mwanachama na kiongozi wa CCM. Sipendi CCM. Hivyo, CCM wakitekana na kuuana, huwa hainishughulishi. Kinachonishughulisha ni kelele na maombi nionayo hapa jf juu ya kukamata/kutekwa na sasa kuawa au kutoweka kwa Polepole. Je ikitokea...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Polepole Mengi yamesemwa kwa Ubaya na Uzuri

    Asalaam Aleikum - Amani iwe juu yenu. Kwa muda nimejaribu sana kujizuia kuandika lolote juu ya MKASA wa Kiongozi balozi mstaafu Humphrey Polepole. Mengi yamesemwa kwa Ubaya na Uzuri ili mradi kuridhisha nafsi na malengo ya wasemaji. Lakini UKWELI wa yote unabakia kuwa fumbo la Mbayuwayu. Mimi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni Nyerere na Mandela wa zama zetu aliyetwaliwa kutoka kwetu na wasiolitakia mema Taifa hili!

    Inasikitikisha kuona Humphrey Polepole katwaliwa kikatili vile kutoka kwetu. Kwani watesi wake hata kama wangemwomba tu atoke mwenyewe kwenye nyumba ile na kuongozana nao kokote walikotaka asinge toka? Polepole kama Lissu, Nyerere au Mandela hawakuchagua kuzikimbia nchi zao na eti kwenda...
  16. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ mmeona ya Polepole? Mmeona Wananchi wanavyotekwa na Kuuawa? Mmeona Ufisadi wa Viongozi?

    Jeshi la Wananchi mmeona yanayoendelea nchini? Mmeona wananchi wanavyotekwa na kupotezwa? Mmeona kina Polepole? Soka? Mdude? Mmeona Viongozi wanavyojinufaisha na Ufisadi? Mmemuona Mombo? Mmemuona Abdul na Mchengerwa? Mmuona Waziri Salum Katibu wa Rais? Mmemuona Mwana FA? Mmewaona watoto wa...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Kataa Wahuni - Official Song 🎵

    Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika. Aliandika 👇👇👇 Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu. Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania JK jitokeze Usema chochote, Polepole ni kijana wako uliyemtengeza Mwenyewe

    JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Polepole alifanya kosa kubwa kutowafichua waliomteka dada yake. Sasa na yeye ametekwa

    ..alidai waliomteka dada yake amewaona. ..na akadai anawajua waliowatuma. ..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake. ..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka. ..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki. ..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Back
Top Bottom