Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.
Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake.
Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote.
Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
Ndio Furaha yako ?! .
Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia.
Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili.
Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni ...
Polepole Angeleta hoja zake 2014-2015
Kipindi vijana walikuwa active na siasa nahisi CCM kingekuwa ni chama cha upinzani .
Ila sioni ajenda yoyote ikifanikiwa kwa generation ya sasa ambayo imekuwa Kama akili unde .
Hata hiyo 29/10 sioni chochote
Shida sio Watanzania Ila ni wakati unaweza...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ukiachana na maumivu makali sana niliyo nayo lakin swali la kiranga bado linaniumiza kichwa na linanifunza mengi na linanifanya nisimuelewe kabisa polepole
Nakuombea polepole MUNGU MWENYEZI akulinde sana
Nakuombea Tanzania ukomboz wako...
BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa...
‼️🔥BREAKING NEWS‼️
Habeas corpus case filed to demand Humphrey Polepole to be presented in court!
Asante wakili @PKibatala. Huu ndo mwendo sahihi wa kumdai ndugu yetu Polepole!
Madhulmat hamjui kuwa tunawaweka kwenye record ili kimataifa tuhangaike na ninyi vizuri!
@judiciarytz pokeeni na...
Kuweni na amani 🙌🏽
Tuneweka akaunti za Humphrey Polepole salama ili wahuni wasiweze kuzifikia! 😀
Hakuna aliyezifuta zimehifadhiwa until Polepole arudi uraianj!
Tunashukuru kampuni za mitandao zime react fasta!
Mwambieni Mafwele sasa wamwachie hawapati kitu hapo!
#FreePolepole
Nimefurahi kiasi.
Yaani alikuwa kila siku anaongea kwa kuficha ficha anaacha kumwaga Kila kitu hadharani sijui alikuwa anaficha ficha nini mwisho wa siku wamemnyakua kabla hata mengine hajaongea
Kapata alichokuwa anakitafuta. Kama umeamua kumwaga mambo Yao wewe nyooka tu kama Kapteni Tesha sio unaongea kwa...
Ndg watanzania, mtanzania mwenzetu ambaye alitekwa jana ameshaafikisha takriban masaa 27 tangu tulipopata taarifa hapo jana saa 3 asubuhi sawa na dakika 1,620, sekunde 97,200, mamalaka zipo kimya ndo umeshaakuwa utaratibu wa kawaida sasa watu kupotea ipi solution kama sio IGP Wambura kujiuzulu...
"Polepole si yupo nje ya nchi Canada sasa ametekwaje Tanzania?" Ni kweli kauli hii imetolewa na Mwenyekiti wa zamani na mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe?
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake.
Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.
Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
Vyombo vya habari tangu jana vimeripoti aliyekuwa balozi nchini CUBA hampfrey polepole kutekwa na kupelekwa. kusipojulikana na shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la augustino polepole alimtaja waziwazi mhusika mkuu wa utekaji kuwa ni mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la MAFWELE hata hivo...
Ni swali ninalo jiuliza kwa kiasi cha kutosha haja jamii imeamka na imefahamu ukweli na lipi ni lipi na na wakina nani wanahusika.
Tumeseme wameweza kuwanyamazisha wote wanaoweza kuongea, vipi jamii ambayo imekua na ufahamu wakutosha watawambia nini wakiwa kwenye majukwa yao?
Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu.
Polepole anaipenda Tanzania.
Polepole anaipigania Tanzania.
Polepole sio mwizi.
Polepole sio mroho wa madaraka.
Polepole ana nia njema na ya dhati kwa Tanzania.
Nilipoona damu yako inachuruzika kwa ajili ya...
Baada ya kutekwa kwa Balozi Polepole natoa tahadhari kwa watu wengine ambao wapo kwenye hatari ya kutekwa kwanza Askofu Josephat Gwajima, pili Joh Heche na tatu Mkurugenzi wa JF Melo yupo hatarini sana kwa namna alivyokuwa akizungumza inaweza kuwa hatari kwake.
Hawapaswi kabisa kuwa nchini...
Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye.
Ni mawazo tu.
Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema.
Aliyekushauri alikupoteza sana.
Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa!
Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.