polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Msisahau Prof Tibaijuka alisema Kutekana huzaa Ugaidi. Kwako Kanali Polepole

    Alichosema Kanali Polepole leo kwa maoni yangu ni kuwa ametangaza kuanza matendo ya Kigaidi dhidi ya wote waliohusika kumteka ndugu yake. Akiachwa akaanza atapata wa kumuunga mkono. Tuwe makini tunaweza kuzalisha kundi la waasi siku sio nyingi
  2. Watu wa Sirari watoa ombi wa Kanali Polepole

    Kunazidi kuchangamka 😂
  3. Everyone deserves a brother like Augustino Polepole

    Jamaa ni Mfano halisi wa ndugu wa damu .Ukiwa na kaka au dada kama huyu unapaswa kutembea kifua mbele, hakika una malaika wako duniani..Sisi wengine tulishawahi kuingia kwenye misala mizito afu mabraza wakachimba kama filbert bayi.
  4. Polepole alikua Mbele ya mda Sana CCM kwa sasa tunaongea Lugha moja Chama Kimekufa kwa Wananchi maskini kimebaki kwa Mabwanyenye

    Polepole alipambania chama kurudi kwenye misingi ya Huanzishwaji wake chama cha wafanyakazi na wakulima kiwatumikie wananchi lakini mkaona mkikabizi chama wakini Seth IPTL na na mabwanyenye wengine...
  5. Video: Spika Mstaafu, Tulia ajichanganya; amtaja Polepole Badala Ya MC Pilipili Je, Hii ina maana Gani?

    Pitia video hii https://www.instagram.com/reel/DRWg3AgAN-6/?igsh=dTkzMzhlcDE4cHV2
  6. PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

    Mambo yameanza kuchangamka! Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
  7. Mpaka sasa Polepole hajulikani alipo na waliomuua Mzee Kibao hawajachukuliwa hatua, Unadiriki kuzungumza Maridhiano? Tukutane Barabarani DEC 9

    Serikali ILIYOMWAGA DAMU za watanganyika, Serikali iliyoua maelfu ya Watanganyika, ili tu kulazimisha mtu mmoja na chama kimoja kisalie madarakani, LEO wanajitokeza hadharani wakijifanya hawajui chanzo cha ndugu, jamaa zetu na wapendwa wetu kuuawa! hii ni DHARAU KUBWA SANA. Haijawahi kutokea...
  8. Hivi 'chip' ya Polepole tuloambwa anayo imeishia wapi na imemsaidiaje?

    Tangu atekwe na kupotezwa, Humphrey Polepole ameanza kusahaulika. Kaka yake alitufunga kamba kuwa ana chip. Je imeishia wapi au alikuwa akitishia?
  9. PostGE2025 Kwa hiyo ndio tumeshamsahau ndugu yetu Humphrey Polepole?

    Eti ndugu zangu ndio tumeshamsahau na kumbe ukitaka kukomboa taifa unasahaulika mapema hivi?
  10. PostGE2025 Akimaliza Hotuba yake bila kusema yuko wapi Polepole, Soka, Mdude na wengine hotuba yake ni batili

    Anajifanya anarudi nyuma baada ya kuuwa wananchi sababu ameshikwa pabaya. Dunia imemshika pabaya. Yuko kwenye maji ya moto sasa hivi. Dunia imegoma kutambua Urasi wake. So now anajaribu kucheza na akili zetu.
  11. Hivi kaka yake Humphrey Polepole ni mwanajeshi kweli wa NATO? Mbona mikwara imekuwa mingi

    Asubuhi hii nimeona video ya huyu jamaa anasema yupo Tanzania na tarehe 9 wataanzia Masaki mpaka Mikocheni Sasa najiuliza huyu jamaa ni mwanajeshi kweli wa NATO maana hata sijawahi kumuona na gwanda tena anajitambulisha Kwa cheo Cha canal au mkwara mbuzi tu maana maneno yamekuwa mengi sana...
  12. Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  13. "General Mkunda wewe ndio uliyebakia" - Augustino Polepole

    Augustino Polepole ambaye katika jumbe zilizopita amejiwakilisha kama Kanali wa NATO, amemtumia ujumbe General Mkunda. Katika taarifa yake amezungumza mambo mengi ya binafsi na yamkini mengine ni codes ambazo hatuwezi kuzielewa. Lakini ninafikiri sauti yake ni muhimu katika kipindi hichi kigumu...
  14. GE2025 Kama ulikuwa hujamuelewa Polepole kuhusu uhuni

    Nyerere alisema mtu yeyote anayetaka kwenda ikulu kwa kutoa pesa anataka kwenda kufanya biashara ikulu. Tuliona Mbowe mwenyekiti wa chadema akiingia ikulu kukutana na rais Samia akiwa mifuko ya gwanda lake la chadema bapa. Kutoka picha zikaonesha mifuko ya gwanda la chadema limetuna. Mara...
  15. Polepole ni mzima ila anaumwa

    Kaka wa Polepole kadai kwamba Polepole ni Mzima ila anaumwa. Kwangu Mimi kusikia Polepole ni mzima hata kama anaumwa ni faraja kubwa. Uchaguzi umeisha. Namuomba Samia Amuachie huru. Baddo naamini Balozi Humphrey Herson Polepole soon atakuwa Uraiani
  16. Hatutanyamaza mpaka wakina Polepole waachiliwe

    Kesho tutakinukisha mpaka wakina Polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyuma
  17. Nina wasiwasi na usalama wa watu waliotekwa kama Polepole

    Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja. Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
  18. M

    KUMBUKIZI: Ushauri alioutoa Humphrey Polepole kwa Samia ukapuuzwa

    Hebu tujikumbushe:
  19. JE KATIBA MPYA IKIPATIKANA, LISSU, HECHE NA POLEPOLE WAKIACHIWA, MAANDAMANO YATAKOMA?

    Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025. Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
  20. Maandamano yaliyoanza leo ni mwanzo tu hayatakuwa na kikomo mpaka haki itendeke na waliopotea wapatikane

    Huu ni mwanzo tu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…