pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya pili kwa kuuza mafuta bei Rahisi

    Tanzania ni ya pili kwa unafuu wa bei ya mafuta Afrika Mashariki, ahueni iliyotokana na ruzuku, TZS bilioni 100, inayotolewa kila mwezi Na Mhe. Rais Samia Suluhu. Kushuka kwa bei ya mafuta kunapelekea kushuka kwa gharama nyingine za maisha. Rais Samia Suluhu alisema lengo lake sio kuwadidimiza...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge la 12: Mkutano wa 8 kikao cha pili, Septemba 14, 2022

    TUME YA KUCHUNGUZA MAUAJI YAKAMILISHA KAZI YAKABIDHI MAJIBU SERIKALINI Tume iliyoundwa kuchunguza ongezeko la mauaji Nchini na kutoa mapendekezo imekamilisha kazi na imewasilisha majibu Serikalini. Imeelezwa majibu yanafanyiwa kazi na kukiwa na umuhimu wa kufikisha kwa Wananchi Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. Je, ni mfumo unaotufaa?

    Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania? Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi...
  4. JamiiForums Tanzania Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

    Moja kwa moja.. Nilizoea bando likikata kuingia Freebasic kupitia line yangu ya Halotel kucheki habari BBC na kuperuzi Jf lakini halo umebadilika sasa sio kwa kutumia app wala browser inagoma shida ni nini wakuu hii huduma bado ipo kweli ? #UziTayari
  5. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huu ni ugonjwa au madhara tu ya pilipili?

    Vipi hali zenu wakuu, kuna tatizo limemtokea brother, so nimeona nije hapa nitafute ufumbuzi wa tatizo kwa wale wanaofahamu aina hii ya tatizo. Ipo hivi, brother wangu ni mlaji wa pili pili, japo sio ile ya ukali wa sana maana huwa anaogopa usipate huko baadae. Juzi aliporudi nyumban alikuta...
  6. JamiiForums Tanzania Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
  7. JamiiForums Tanzania Man United yaipiga Southampton goli 1-0, ni ushindi wa pili mfululizo

    Manchester United imefanikiwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Premier League, leo Agosti 27, 2022 ukiwa ni ushindi wa pili mfululizo. Bruno Fernandez ndiye aliyefunga goli la Man United katika dakika ya 55. United ilipoteza mechi mbili za kwanza msimu huu kabla...
  8. JamiiForums Tanzania Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

    Naweza kuliita hili sakata la tozo kama kaa la moto! Wakati watawala wakijaribu kwa kila namna kutetea tozo hizo zilizoidhinishwa na waheshimiwa wabunge wetu, upande wa pili wa wananchi wanazipinga vikali tozo hizo na hata kudiriki kuziita kuwa ni "day robbery". Wakati huo huo wale...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyesema SIMBA inaanzia raundi ya pili akamatwa

  10. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Mshahara wa Mhandisi daraja la pili (engineer II) Wizara ya Ujenzi

    Anaefahamu Mshahara wa mhandisi daraja la pili (engineer ii) wizara ya ujenzi
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Angel Kagame Binti wa Rais Kagame apata Mtoto wa pili

    Hongera sana kwa Rais Paul Kagame wa Rwanda Kupata Mjukuu wa pili Nimeambatanisha picha ya Mjukuu mkubwa wa Rais Kagame akimbeba kwa furaha mdogowe Angel ndiye Binti pekee wa Rais Kagame President Paul Kagame on Wednesday announced the birth of his second grandchild, born to Ange I. Kagame...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mhandisi II (civil daraja la pili) wizara ya ujenzi na uchukuzi ni shillingi ngapi kwa anae fahamu

    Kwa anaefahamu mshahara wa mhandisi II civil wizara ya ujenzi na uchukuzi anisaidie hapa. Nashukuru
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rwanda kuwa ya pili EAC kurusha satellite baada ya Kenya

    Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo. Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli sikukuu za wenzetu Waislamu siku karibu zote huangukia siku ya pili ya matarajio au huwa kuna namna?

    Habari Wakuu! Kwa muda mrefu sasa, nime-observe hii trend ambapo sikukuu za hawa wenzetu mara nyingi(kama sio karibu mara zote) zimekuwa zikiangukia siku ya pili ya matarajio. Swali ni je, hii trend imekuwa ni hivi hivi hata kwa siku za nyuma au ni siku hizi tu? Je, BAKWATA huwa wako sahihi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya pili ya ziara ya Mwenezi Shaka Hamdu Shaka katika vyombo vya habari

    SIKU YA PILI YA ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI. Leo Jumanne Julai 05, 2022, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka atatembelea katika Vyombo vya Habari mbalimbali kwa Kuanzia TBC, Raia Mwema na Mwanahalisi Online...
  17. JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu amuombea dua Waziri Mkuu aoe mke wa pili

    Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amemuombea dua Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aoe mke wa pili ilia pate utulivu zaidi katika mizunguko yake. Ameyasema hayo wakati Waziri Mkuu alipokuwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa eneo la kufanyia field kuanzia Oktoba - Machi

    Msaada wa eneo la kufanyia field nipo mwaka wa pili Mzumbe course ya ujasiliamali kuanzia kuanzia Oktoba - Machi.
  19. JamiiForums Tanzania Siri ya kupendelea kula pili pili kwa wingi

    Bila shaka pili pili ni moja wapo ya kiungo kwenye chakula. Siku moja nilipata mualiko wa familia kwenda kubadikishana mawazo. Sasa adi kuandika huu uzi, yaliyo nikuta ni kwenye upande wa chakula yaan kilikuwa kimeshamili pili pili kupita maelezo adi nilishidwa kula . Lakin familila nzima adi...
  20. JamiiForums Tanzania Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…