pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji pikipiki aina ya Honda au yamaha kwa Bei nzuri

    Tangazo juu hapo inajitosheleza,nahitaji piki piki aina ya Honda au yamaha,kwa ajili ya folen i ya hapa na pale ndani hili jiji
  2. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dereva pikipiki afariki baada ya kugonga Bundi Tanga

    Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
  4. JamiiForums Tanzania Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Benki yatoa pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi, RC Makonda awakabidhi

    Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Pia soma: LGE2024 - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha - Novemba 27, 2024 Akikabidhi pikipiki...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, ufundi wa pikipiki unalipa?

    Wakuu Kuna kijana wangu nataka nimpeleke ajifunze ufundi wa pikipiki je unalipa?
  7. JamiiForums Tanzania Muuzaji wa pikipiki

    Kama mada tajwa hapo juu ilivyo Kama kuna muuzaji wa pikipiki hizi za kichina anitajie orodha ya aina ya pikipiki alizonazo awake na bei nikielewa nitamfuata mwenyewe pm
  8. JamiiForums Tanzania Nauza Pikipiki Honda Ace 125 Individual

    Ninauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 Individual. Bei milioni mbili laki moja tu. Imekimbia kilometa 601,bado mpya, ni pikipiki nzuri kwa matumizi ya usafiri binafsi zaidi. Ipo Kigamboni na kadi yake ipo. Karibuni tufanye biashara
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza kadi yangu ya pikipiki, nifanyeje?

    Wana JF, Kwanza kabisa wasalam. Wakuu nna shida kadi yangu ya pikipiki imepotea kwenye mazingira ambavyo sikumbuki hata mara ya mwisho nilikua nayo wapi. Pikipiki yenyewe nilinunua Kwa mtu hivyo jina pia sio langu lakini Kwa usalama zaidi naamini pamoja na hili ningekua nayo mkononi usalama...
  10. JamiiForums Tanzania Pikipiki za angani zingalipo Tanzania?

    Zinaitwa HANG GLIDERS. Miaka ya nyuma nilikuwa nikiziona zikikatiza anga la Arusha. Inasemekana zilikuwa za Mzungu, nafikiri, wa Gomba Estate. Tokea nihamie mikoani, sijafanikiwa kuziona tena. 1. Bado zipo Tanzania? 2. Utaratibu ukoje kwa mtu anayetaka kuwa nayo? 3. Gharama ya kununulia na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha

    Makonda aanzisha mchezo wa mashindano ya pikipiki Arusha. Binafsi nimependa sana ni moja ya michezo ninayo ipenda.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Elimika na uburudike kwa misemo inayoandikwa kwenye Malori, Daladala, pikipiki, bajaji, baiskeli

  13. M

    JamiiForums Tanzania Nina pikipiki binafsi naomba mchongo

    Habari ndugu zangu poleni na majukumu ya kilasiku Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume umri 22 ni mwanachuo wa chuo x hapa Dar kutokana na changamoto za usafiri plus Nauli nikijichanga nkawa na usafiri wangu. Nimekuja ndugu zanguni mnisaidie kupata mishe yoyote iwe ya kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi pikipiki za CCM zilivyowagawa wanaccm majimboni

    Siku za hivi karibuni tumeona makatibu wa chama kwenye kata wakipewa pikipiki maeneo mbalimbali Tanzania Hata hivyo mgao huo umejenga chuki na makundi kwa wanaccm wenyewe kwa wenyewe Madai ya chuki Wengi wanadai kuwa kitendo cha kuwapa baadhi yao pikipiki ni cha ubaguzi kwani na wao ni wanaccm...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya kuchaji inauzwa

    Habari ndugu, nauza pikipiki ya kuchaji aina ya linkall . Bado iko imara bei 550k (maingezi yapo) nicheki kwa 0783150130 chapu uchukue mali
  16. JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer mpya inauzwa njoo ibebe

    Habarini za Asubuhi wakuu. Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana. Model: TVS 125 Plate number: DQF Bei yake: 2,000,000 Fixed Nicheki WhatsApp: 0683535699 NB: Nimekosea kwenye headline siyo Boxer ni TVS
  17. JamiiForums Tanzania Mbaraza Kachebonaho akabidhi pikipiki tatu kwa UVCCM Temeke

    Mjumbe wa baraza Kuu Taifa Ndugu Leodger Kachebonaho Mapema Leo amekabidhi Pikipiki tatu zenye thamani ya shilingi 9,900,000 (Milioni tisa na laki tisa) Kama mradi wa UVCCM WILAYA YA TEMEKE. Katika Hafla ya makabidhiano hayo yaliyofanyika Aprili 14, 2024 katika Ofisi za CCM (W) TEMEKE , Ndugu...
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki boxer BM 125 inauzwa

    kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea ianze kufanya kazi. nilikuwa naitumia kwendea kazini tu. na vijisafari vidogo vidogo. hivyo sijawahi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

    MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu...
  20. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

    Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…