pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunafunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki

    Habari Kampuni mpya Toka china JAHA inapenda kuwatangazia watanzania wote wenye vyombo vya usafiri kuwa WANAOTAKA huduma ya kufunga mfumo wa umeme kwenye magari bajaji na pikipiki na kuwezeaha gari bajaji na pikipiki kuweza kutembea Kwa nishati ya umeme. Huduma ya kufunga mfumo wa umeme...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Biashara ya Spea za pikipiki na bajaji

    HABARI WANA JF. Watu wengi wameulizia kuhusu huduma zetu za consultation kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji. Huduma hii inalipiwa, ukitaka kuwasiliana namimi kwaajili ya kukupa elimu, kukushauri na au hata kuku mentor sio bure. Ni garama. Kwa wale wanaotaka huduma za bure karibuni...
  3. Saad30

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa biashara ya spare parts za pikipiki

    Habari wakuu. Moja Kwa moja kwenye Mada. Mtaji wa milion ngapi unaweza kuanzia kuchukuwa China kwa biashara ya vipuri Vya pikipiki alafu uje uuzwe hapa Nyumbani Kwa mikoani Tu sio jijini daslam. Kwajili ya kuuza rejareja hapa Home. Fekon King lion Haojue Huoniao Naomba majibu wakuu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Pikipiki kwa Miaka 39 ya Utumishi, hii sio heshima bali Kejeli

    Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki Yamaha 300k

    Wakuu nauza pikipiki yangu kwa 300k tu, nimepata dharura na mfukoni siko vizuri. Pikipiki ni Yamaha tatizo lake ni kabuleta tu, njoo uichukue kwa hiyo bei mwenyewe nimeridhia kwa moyo mkunjufu. CONTACT: 0659 918 194
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na Bajaji sehemu ya nane Inaendelea

    KUNA FAIDA GANI YA KUWEKEZA MTAJI MKUBWA KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI? ⚙Watu wengi wamekua wakijiuliza swali hili, kwanini nisiwekeza kiasi kidogo kama inawezekana kijiendeshe hakafu kiasi kingine nifanye mambo mengine? 👉Si vibaya kuwekeza/kufanya biashara ya spea kwa mtaji mdogo...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baba Levo awakabidhi pikipiki vijana waliojiandika jina lake kwa rangi wakati wa kampeni

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametimiza ahadi yake ya kuwakabidhi pikipiki vijana wawili waliojitolea kumsaidia kwenye kampeni kwa kujipaka rangi kama ishara ya sapoti. Ahadi hiyo imetekelezwa rasmi jana wakati wa Mkutano wake wa Shukrani, ambapo vijana hao walipokea...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki (sehemu ya 6)

    Je, naweza kuanza biashara ya spea za pikipiki na bajaji kwa kufunga mzigo kutoka China moja kwa moja? Jibu ni ndio. Unaweza kuanza biashara hii kwa kwenda China kufunga mzigo Kisha kuja kuuza. Hata hivyo ni muhimu sana kabla ya kufunga safari kwenda China kujiridhisha na kufahamu mambo kadhaa...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hii pikipiki “Mecha 200” mnaionaje wazee kwa Million 3.5 max?

    Nimemiss thrills za pikipiki, ila sahivi nataka niende cheap. Kuna hii Mecha model naona inauzwa kwa brand ya King Lion au kwa Dayun ina cc 200, 4 stroke, air cooled, single cylinder, gear 5, top speed 100 km/h, dual disc brakes, monoshock suspension, LED lights, digital cluster nk. Bei yake...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya honda maji inauzwa Tsh600,000. Chombo haina shida

    Salam wadau. Nauza pikipiki aina ya Honda Ace 125 almaarufu kama honda manji. 1).Pikipiki ni nzima ina engine yake original. 2.)Kadi ipo 3).Bei inazungumzika 4).Mahali-ipo Ifakara Mjini. Niweka picha,kwa maulizo zaidi nicheki DM tufanye biashara.
  13. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inazima baada ya kusimama au ninapotaka kusimama

    Wataalam wa kuendesha pikipiki hebu nisaidieni hapa.. Huwa naendesha gear namba 3 na sio speed kubwa kulingana na jiogrofia ya maeneo ninayoishi. Ila Shida inakuja nikitaka kusima hata kidogo pikipiki huwa inajizima na kunitaka hadi niiwashe tena.. hivi ninafeli wapi hapa wajuzi wangu..? Na...
  14. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  15. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Mati Foundation yagusa maisha ya walemavu, zawadi pikipiki 2000 za Umeme

    Na Mwandishi Wetu. Babati, Septemba 2025: Kampuni ya Mati Super Brands Ltd kupitia taasisi yake ya kijamii, Mati Foundation, imezindua rasmi mradi mkubwa wa ugawaji wa pikipiki za magurudumu matatu zinazotumia nishati ya umeme kwa watu wenye ulemavu nchini, ili kuwawezesha kufanya shughuli zao...
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hóla Diamondhead Superbike: Pikipiki ya umeme ya ki-futuristic kutoka India

    Kampuni la pikipiki kutoka India, Holaciudad wamezindua official superbike ya umeme inayoenda kwa jina la Diamondhead. Imeitwa Diamondhead kwasababu ya muonekano wake wa mbele, kua na shape kama ya diamond. Pia ni e-Superbike inaweza kutoka 0-100kph kwa sec 2 tu. Hola wamesema, body yake...
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kama unamiliki Pikipiki jifunze namna nzuri ya kuitumia hapa.

    Pakia abiria na mizigo mingi kwa kutumia maarifa haya https://www.youtube.com/shorts/82dihdK1Fuw
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la fedheha uwe na gari au pikipiki lakini mtoto anafika miaka 14 hajui kuendesha

    Sio kwa kujisifia lakini kama unamiliki chombo cha moto na unaweza kumfundisha mtoto, sioni kama kuna cha kukuzuia. Elimu sio darasani tu, kumfundisha mtoto kitu chohote kinachoweza kuwa na faida ni elimu. Mwaka una wiki 52 na siku 365. Je, umeshindwa kutenga muda kwa mtoto wako, hasa wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

    Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu! Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe; 1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za...
  20. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi pikipiki aina boxer za bm 125 hd 150

    Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
Back
Top Bottom