PIKIPIKI YA SIMORAY 250 ADV

PIKIPIKI YA SIMORAY 250 ADV

Jay_wa_tz

New Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2
Reaction score
1
Wadau naomba kujua hivi ni kwanini pikipiki ya sinoray 250 ADV watu wananunua sana na kuuza sana maana namba F zinazouzwa used ni nyingi sana.... Zinashida gani hasa?
 
Usije kujichanganya mkuu.ni mara10 ukanunua Honda XL 250 Used
 
Back
Top Bottom