picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii yenye huzuni iliyojaa picha za furaha na ufahari katika mitandao ya kijamii

    Utambulisho Habari Wana jamii Forum,kwa majina naitwa Lenny Godfrey mkazi wa wilaya ya kinondoni jijini Dar-Es-Salaam.Na pia Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu Cha Sayansi na Teknologia Cha mtakatifu Joseph Mbezi jijini Dar-Es-Salaam katika ngazi ya Uhandisi. Kutokana na ukuaji wa Sayansi na...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  3. JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha mbalimbali za Sensa 2022

    CEO wangu amehesabiwa
  4. JamiiForums Tanzania Mlipa tozo Vs Mtunga tozo

  5. JamiiForums Tanzania Ruto Alikuwa Ni Mchungaji VIDEO | PICHA

    Picha za zamani za Ruto akiwa katika kazi ya kutangazwa Injili
  6. JamiiForums Tanzania Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  7. JamiiForums Tanzania Tusio na muonekano mzuri kwenye picha tunanyanyasika mtandaoni

    Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika hachat vizuri kama mwanzoni alipokua hajaona sura yako, na anaweza aka ku ghost kabisa Social media are...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

    Kwa anayejua!!!
  9. JamiiForums Tanzania Mje mnishauri kuhusu kuweka picha ya mpenzi wangu homescreen ya simu yangu

    Wajuba Kuna Pisi Hua Naielewa Sana, Sasa Kuna Picha Nimepiga Nae Nimeweka Kwenye HomeScreen & LockScreen Ya Simu Yangu. Kila Nikibonyeza Kutoa Lock Naona Tabasamu Lake na Lina Nipa Furaha Kila Mara, Nimtazamapo. Swali: Je Wakuu Tunaweka Picha Ya HomeScreen Za Mademu tunao wapenda Kama Bado...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya ku upload picha JF

    Wakuu habarini za asubuhi, Ninaomba maelekezo namna ya Ku upload picha. Natanguliza shukrani
  11. L

    JamiiForums Tanzania Handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga lageuzwa uwanja wa sanaa na kuwavutia watu kupiga picha mjini Chongqing, China

    Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk. Hali...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwafrika ameshindikana, angalia picha hii

    Huu ndio uafrika per se!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  14. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

    Wakuu, ni miaka mitatu now tangu nimemaliza huko mavumbini. Infact katika safari ya maisha yangu UDOM ndio sehemu ninayoikumbuka zaidi. Marafiki, routes za town, ujasi, hostel life e.t.c. Sikujua zile shida kama course work, kumiss test, kugombania venues, foleni za kusain book na ada Leo...
  15. JamiiForums Tanzania Hali ya vyama vya Siasa Tanzania katika Picha

    Toa maoni yako kuhusu tafsiri ya Mchoro huu
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Jamaa anaswa akichinja mbwa kwa ajili ya kuwauzia watu mishikaki

    Habari zenu wana JF. Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki. Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.
  17. JamiiForums Tanzania Walipa 2.35M Kusalimiana na Kupiga Picha na Chris Brown

    Picha inajieleza Sasa wale kuwa toa hela ndio muone hapa. Nishawaambia hata Ronaldo christiano akimtaka mkeo anambeba fasta. Mademu Ni wa kuangalia value uliyo nayo. Mana value yako na yeye anakuwa sehemu yako. Wewe fukuza ndoto zako halafu wao watakufukuza kwa gharama zozote jamani. Haya twende...
  18. JamiiForums Tanzania Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
  19. JamiiForums Tanzania Picha Adimu za TANU Kutoka Maktaba ya Marehemu Ally Sykes

    Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes. Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini. Kulia ni Haruna Iddi Taratibu (Central Province), Saadan Abdu Kandoro (Lake Province), Julius Nyerere (Eastern Province)...
  20. JamiiForums Tanzania Flat Screen Tv yangu haionyeshi Picha ila taa ya power ina wakaa tu

    Wajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…