picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kutawala kwa picha ya Rais Samia uwanjani ni ishara ya mafanikio katika kujenga umoja wa kitaifa na kukubalika kwake

    Ndugu zangu Rais Samia hakika amefanikiwa kujenga umoja wa kitaifa, amefanikiwa kuliunganisha Taifa, amefanikiwa kuwaweka watanzania pamoja, amefanikiwa kuishi katika mioyo ya watanzania , Amefanikiwa kupanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania Sasa picha ya Rais Samia inashangiliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akiwa na mgeni wake Rais wa DRC mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam

  3. JamiiForums Tanzania Hii picha inatoa ujumbe gani?

    Mshike sana elimu usimuache aende zake.
  4. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  5. JamiiForums Tanzania Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

    Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga... Maustadh mnalo...
  6. JamiiForums Tanzania Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
  7. JamiiForums Tanzania Funga macho, vita picha katika fikra kwamba umeweza kuishi mpaka 2100, ni kitu gani unakiona ?

    Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100 1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani. 2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao 3.Smartphone zitakuwa kama...
  8. JamiiForums Tanzania Iran: Televisheni ya taifa yadukuliwa wakati wa taarifa ya habari

    Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi karibuni. Wadukuaji wanajiita Adalat Ali au Watetezi wa Ali wakihusishwa na waandamanaji wanaopinga...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kutengeneza logo kama hiyo kwenye picha

  10. JamiiForums Tanzania Hatufanyi vizuri kwenye Utalii wa Picha

    Sijui kama kuna mtu hapa amewahi kuombea Mgeni (mtalii) kibali cha kupiga picha akaona ugumu uliopo? Kiujumla taratibu zilizopo sio rafiki (hazipo wazi) yaani kuna wizara sijui ngapi zinahusika hivyo kupata kibali bila maarifa ni ndoto ya mchana kwani unaweza kutumia miezi nk hivyo mgeni hawezi...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya leo? Basi Yanga na Al Hilal wanachezeana michezo ya kitapeli

    Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted. Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi Mulamula alikuwa anaonekana smart sana na kuheshimika huko Ugenini?

    Nimeshangaa sana yeye ni kwanini alikuwa anapafa fursa hizi? Jamaa yangu mmoja yupo USA. Anasema huyu dada alikuwa anaheshimika sana na walikuwa wanamwona very smart hata katika maongezi. Anasema ni nadra sana kwa mtu ambaye haheshimiki kuonana na akina Obama na Biden namna hii. Kuna watu tena...
  14. JamiiForums Tanzania Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

    Aisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena. Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana toto na sikuwa najali kitu, pesa iliongea na ikanipa kiburi. Huyu mrembo alikuwa ni afisa mikopo...
  15. JamiiForums Tanzania Kilichomkuta MBATIA katika picha

    Funguka tafsiri yako kuhusu hizi Katuni tuone nani ana tafsiri sahihi iliyolengwa na mchoraji Said Michael
  16. JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

    Aiseeh kuna watu wanajua kutesa.
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

    Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake.... ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to...
  18. JamiiForums Tanzania Tukumbushane maneno, misemo ya mtaalamu "Julio" picha yake IPO kama humjui

    'Ukiongea na Mimi hakikisha akili yako imekaa vizuri.' sio maneno yangu Julio Kwa wanaomfahamu ni mtaalamu wa soka na maneno yake makali
  19. JamiiForums Tanzania Weka 'caption' kwenye picha hii

  20. JamiiForums Tanzania Kamwe Mwanaume hupaswi kujikombakomba

    KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA! Anaandika, Robert Heriel Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…