picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali za Ihefu dhidi ya Yanga, zipe maneno

  2. JamiiForums Tanzania Tunga sentesi moja kwa kutumia hii picha.

  3. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua ni kwa kiasi watu wanawaamini Makamba na Tanesco angalia hii picha!

  4. JamiiForums Tanzania KWELI Picha inayoonesha watu wakinywa maji machafu pembeni ya dimbwi imepigwa nchini Tanzania

    Oicha hii inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya watu wanadai imepigwa nchini Tanzania, lakini kutokana na uwekezaji mkubwa ambao Serikali yetu imefanya mimi siamini kama ni kweli imepigwa nchini kwetu. Je, hii picha ni Tanzania?
  5. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Picha maarufu ya Ronaldo na Messi ilikuwa edited bila wao kukutana, kutokuwa marafiki ndio chanzo kikuu

    Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
  6. JamiiForums Tanzania Tupia picha ukiwa unaangalia Kombe la Dunia

    cc: Stress Challenger
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

    Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama. Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

    Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi tafsiri ya picha hii?

  10. JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

  11. JamiiForums Tanzania Picha ya kuanzia weekend

  12. JamiiForums Tanzania Tupia picha ya mbuga uliyotembelea Tanzania

    Habari za majukumu wadau, katika kukuza utalii wa ndani na kuhamasishana mara moja moja kwenda kutembelea mbuga zetu, tafadhali tupia picha ulizopiga mwenyewe ukiwa mbugani. Mimi naanza na hizo nikiwa Tarangire National Park.
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Ally Salum Hapi mkulima bora wa mwaka 2022

  14. JamiiForums Tanzania Wazanzibari tambueni Mwalimu Nyerere alikuwa Rais wa kwanza, kwanini Benki ya Watu wa Zanzibari haina picha ya Nyerere, ina ya Mwinyi na Samia?

    Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa akaunti baada ya kukuta picha ya Samia Suluhu Hassani na Dkt. Mwinyi kwenye Benki ya Zanzibari. Hii ina maana nyie hamtambui ya kuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na Zanzibar?
  15. JamiiForums Tanzania Ile picha nimeipata sasa mjiandae kisaikolojia Wakuu

    waungwana, wastaarabu, jamani ile picha niliyokuwa naitafuta usiku na mchana humu JF hatimaye nimeipata, hii hapa.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Sasa muwe makini sana wakati mnaandika uongo wenu. 😁😁😁
  16. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwenye picha za decorations ya sebule naomba utupie hapa

    Wakuu mambo vipi nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
  17. JamiiForums Tanzania Kwa picha: Hali JKIA baada ya marubani wa Kenya Airways kutangaza mgomo

    Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Picha za Polisi watano waliosafilisha wahamiaji haramu zimehifadhiwa! Lakini watu wengine wanaanikwa wazi

    Double standard kwenye kuripoti matukio! Waharifu wengine wanaanikwa picha zao hata kama uchunguzi unaendelea inakuwaje hawa picha hazijawekwa wazi? Wakiwa wanaripoti Waharifu wengine huwaonesha kwa mbwembwe wakiwa wanawapigapiga mabegani watuhumiwa kuonesha msisitizo! Lakini wakikosea wao...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama China, hii hapa picha akiwa Uwanja wa Ndege Beijing

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022. ================ Kufahamu ziara nyingine za rais Samia tangu aingie madarakani soma...
  20. JamiiForums Tanzania Pozi Mbalimbali Katika Picha Fb

    Hii ni kutoka Nrb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…