Tupia picha ya mbuga uliyotembelea Tanzania

Roy Logan

JF-Expert Member
Jan 22, 2021
780
3,158
Habari za majukumu wadau, katika kukuza utalii wa ndani na kuhamasishana mara moja moja kwenda kutembelea mbuga zetu, tafadhali tupia picha ulizopiga mwenyewe ukiwa mbugani. Mimi naanza na hizo nikiwa Tarangire National Park.

IMG_20220820_195935_356.jpg
 
Asante sana ndugu umetushirikisha utalii wa ndani, samahani kama hautojali tusaidie gharama za kwenda huko Tarangire ktk utalii.
 
Simba jike ukali wake wote ule KACHUchuMALISHwa yaleyale jenerali wa KIKe tendo la maisha achana nalo
Hilo tendo halina mbabe chief, tulisimama hapo wakarudia kama mara sita hivi tukawaacha, nikajisemea ningekuwa na huo uwezo wa goli sita😁!
 
Back
Top Bottom