Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali.
☝🏾Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo.
☝🏾Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa...