picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

    Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo. Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana. Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
  2. M

    Picha za mwisho za Yevgeny Prigozhin Bangui CAR

    Mzuka wanajamvi, Hizi picha ndio za mwisho Boss wa Wagner kupigwa huko Bangui Central Africa Republic na baadaye siku chache kuuawa. Cha kushangaza hao wamatumbi pembeni yake wanakenua mimeno tu huku jamaa akiwaibia rasilmali zao Kwa wingi dhahabu, magogo na almasi.
  3. Picha: James Lembeli, kada wa CCM anayeungana na CHADEMA kupinga ufisadi wa CCM

  4. M

    Chawa wa Mama wakiwa wamevaa sare za jeshi zilizopigwa marufuku

  5. PICHA: Maisha miji mingi ni ghali bila sababu za msingi

    Hapa ni Mpemba Tunduma hii ni room ya 35,000 very classic na wifi juu. Dar au Arusha hii utasikia 60 au 80 kabisa. Msikompliketi maisha. MY TAKE: Weka bei chee kwenye bidhaa au huduma uza zaidi, Bakhresim theory of doing business.
  6. K

    Wanawake mnaopenda kuwapiga picha waume zenu muwapo faragha, uwa mnazipeleke wapi au mnazifanyia nini

    Niaje mabibi na mabwana Kuna manzi angu imezoea sana kunipiga picha tukiwa faragha licha ya kuikataza na kuionya mara kadhaa ila imekuwa ikirudia sana iko kitendo kiasi cha kunifanya nishtuke. Kama ni zinaweza kutumika kwa mambo ya kishirikina nataka kujua Mshana Jr na wataalamu wa haya...
  7. Picha: Rais Samia Afanya Mazungumzo na Rais wa China, Xi Jinping Kwenye Mkutano wa BRICS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.
  8. Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
  9. D

    Onyo: Kama una Moyo mwepesi usiifungue hii picha.

  10. Tupeane location za studio za Picha nzuri (HD) mkoani DSM

    Labda ukawa unafahamu studio inayopiga picha kali, kubwa na zenye ubora wa kiwango cha juu kwa ajili ya biashara ama mitandao ya kijamii mkoani DSM Tupeane Location, gharama pamoja na picha ya mfano wakuu N.B: Usiweke mawasiliano ya aina yoyote ya photographer kwenye huu uzi. Sio maalumu kwa...
  11. Nyota yako imeibwa lakini ulitakiwa utembelee VX

    Huwa namkubali sana Daniel Mgogo. ********** “Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements. “Unarudisha nyota hewa...
  12. W

    Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

    Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike. Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
  13. Aliyemuua, kumtupa mwanafunzi UDOM ahukumiwa kunyongwa

    "Ni kweli nilimuua Happiness na nilimuua Kigamboni mji mpya nyumbani kwetu kwenye chumba ninacholala,” hii ni sehemu ya maungamo ya muuaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Happiness Fredrick. Idrisa Mwangobola ambaye Ijumaa iliyopita alihukumiwa kunyongwa alieleza hayo katika maelezo...
  14. Picha: Ualimu ni Wito

  15. Picha: Ulikuwa Wapi Enzi za Shujaa Huyu?

  16. Picha: Fabrice Ngoma Simba Sc akikaba kikundi

    Taarifa za huyu mtu huko Uturuki zinadhihirisha Yanga walikuwa sahihi kulia kuibiwa mchezaji.
  17. N

    Unaona nini katika hii picha?

    Habari wakuu naomba mnisaidie wewe unaona nini kwenye hii picha? Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita. Ufunuo 13:18
  18. Picha: Huku ng'o kule ng'o ndio hii sasa

  19. Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  20. BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

    Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kuja. Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…