Mashabiki wa Taifa stars mnakumbuka nini mkitazama hii picha?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
images (3).jpeg

Sie mashabiki wa Mali hatuna hofu nyie mashabiki wa stars mnakumbuka nini mkiiona hii picha?
 
Mpira ni burudani na sio msiba
Mpira ni furaha na Maximo alileta furah
Mpira ni hamasa na jamaa aliweza sana tu
Basi tuunde timu za burudani na hamasa na zilete furaha.
Umeona duniani kote kuna kamati ya hamasa?
Huwezi kushinda kila mara lakini ushiriki uwe kwa ushindani sio bora kushiriki.
Tuwe serious na mpira wetu na tuwekeze kwenye Timu za Taifa.
Uwekezaji unaleta tija.
 
Stars ya maximo na ya Kim 2013/14 ni stars Bora zaidi tangu 2000
Kuliko Stars ya Jan Poulsen iliyotwaa kombe la CECAFA ?

Kuliko Taifa stars ya Emanuel Amunike iliyokwenda AFCON kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30?

Kuliko Stars ya Salum Mayanga iliyofika semi final ya Mashindano ya COSAFA kule South Africa?

Kuliko stars ya Amrouche ambayo imeenda AFCON tena kwenye kundi lenye Algeria, Uganda na Niger?

Sisi watanzania ni wepesi wa kusahau sana na hatuheshimu kabisa taaluma na kazi za watu
 
Back
Top Bottom