Picha za kuhamasisha ukombozi wa Mwafrika

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,394
Walianza kama wapigania uhuru lakini baada ya kupewa huo uhuru wamebadirika na kuwa wakoloni wa kiafrika wenye kujirimbikizia mali kwaajili ya familia zao na siyo Afrika.

Picha.jpg
 
Hizo ni baadhi ya nchi za kiafrika kama Kenya ambapo wapigania uhuru na familia zao wamejilimbikizia mamali na wamepeana zamu na familia zao za kutawala nchi huku wananchi wengi wakiwa ni maskini.

Lakini kwa Tz bhn tuna madhaifu yetu ila wapigania uhuru wetu uongo dhambi walifanya mengine ila masuala ya kujilimbikizia mali na kugawana madaraka waliyaepuka ndio maana leo Watoto wa Nyerere wana maisha ya kawaida sana tofauti na wa Kenyatta.
 
Mkuu, natamani kukujibu ila nikikumbuka mwanasheria wangu amezuiwa kuingia nchini, basi nasita mara mbilimbili. haha
 
Hizo ni baadhi ya nchi za kiafrika kama Kenya ambapo wapigania uhuru na familia zao wamejilimbikizia mamali na wamepeana zamu na familia zao za kutawala nchi huku wananchi wengi wakiwa ni maskini.

Lakini kwa Tz bhn tuna madhaifu yetu ila wapigania uhuru wetu uongo dhambi walifanya mengine ila masuala ya kujilimbikizia mali na kugawana madaraka waliyaepuka ndio maana leo Watoto wa Nyerere wana maisha ya kawaida sana tofauti na wa Kenyatta.

TZ CCM wamejimilikisha nchi
 
Back
Top Bottom