pharmacy

  1. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Chacha Pharmacy

    Mwenye contact za Chacha Pharmacy, Nzega au Bariadi naomba anisaidie tafadhali
  2. wa kibondemaji

    JamiiForums Tanzania Kusoma BSc. Phamarcy ukiwa ni Clinical Officer

    Habari wana JF, Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2. Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya Pharmacy na laboratory php automated system

    Nipo kwenye last steps kukamilisha hiyo system ambayo inaweza fanya hivi- 1-create users with different roles and permissions 2-add stock 3-sell stock 4-truck proft and usage 5-view and export reports And more In lab section Track participant from reception to doctor, lab n.k Sina...
  4. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Somo la Pharmaceutical calculations lilinitesa chuo, nauza kitabu chake

    Kipindi nasoma Pharmacy hili somo lilinitesa sana hadi nilipata Sapu (Supplementary). Kwa hasira nikanunua hard copy ya Kitabu chake "Pharmaceutical calculations by Ansel 13th Edition" kwa sh. 50,000/= Basi ilikuwa ni ku solve tu... "Humu tu...😂 Humu tu...😂" Kwa sasa nikiwa nakiona kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina diploma ya pharmacy

    Habarini ndugu..shikamooni wakubwa ! Natafuta kazi nina diploma ya pharmacy na pia nimesajiliwa na baraza la famasi. Mimi ni binti nina umri wa miaka 24,naishi Dar es salaam. 0710293470
  7. S

    JamiiForums Tanzania Short course ya Industrial Pharmacy Teaching hapa Tanzania utai-apply kweli?

    Nimeon tangazo la short course ya industrial pharmacy je hapa tz inasoko?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuchukua digrii tofauti na diploma uliyosoma kuna athari gani?

    Wadau nimesom diploma ya pharmacy now niko chemistry degree najiuliza nikiajiriwa kwa diploma hii degree kada nitabadilishaje? Mshahara utapandaje ushauri please.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Written interview results: Health laboratory technologist & technologist pharmacy

    WRITTEN INTERVIEW RESULTS; HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST & TECHNOLOGIST PHARMACY
  10. Zeddy72

    JamiiForums Tanzania Niko interested kufungua pharmacy/uwakala wa miamala ya pesa kwa simu

    Habari zenu wakuu, Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank). Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji mda wote eneo la kazi? Changamoto na faida zake. Asanteni.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli dawa ambazo pharmacy nauziwa sh8000, nikiwa mwanachama wa NHIF sizipati hospitalini?

    Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi. Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7. Wakati anaandika akadai kuwa itabidi...
  12. Beberu

    JamiiForums Tanzania Anatafuta Pharmacy inayouzwa Dar Es Salaam

    Wakuu, kuna mtu nipo naye hapa, anatafuta pharmacy ya kununua ndani ya jiji la Dar. Iwe na usajili, Iwe na mauzo mazuri (250k na kuendelea kwa siku) Offer yake ipo vizuri tu, Kama unayo au una connection nayo, njoo inbox, Boss yupo straight hana njaa kabisa Mawasiliano 0764 803 515 Normal...
  13. Druggist

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha Partner/Mdau Biashara ya Pharmacy na VifaaTiba Katoro-Geita

    Wakuu Salama?? Nina Eneo ambalo nimepambana Kujenga Kwa ajili ya Biashara ya Pharmacy na Vifaa Tiba. Lipo kwenye Finishing. Nahitaji mbia/Business partners ambaye tunaweza Kuingia Makubaliano ya Kuendesha biashara hii ya Dawa na Vifaa Tiba. Eneo linatazamana na Kituo Cha Afya Katoro. Aidha Nina...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye mitihani ya leseni pharmacy ngazi ya cheti(miaka ya nyuma) naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.

    Wana jf naomba msaada wa pastpapers za mitihani ya leseni ya ufamasia ngazi ya cheti.Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.ASANTENI.
  15. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  16. Jay_255

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

    FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Bachelor of Pharmacy

    Bado sijapata leseni. Experience: 1 month, internship SUN PHARMACEUTICAL INDUSTRIES LTD. (section: Production and quality functions). Looking for any opportunity available especially in industries and pharmacy, including volunteer. Ninapatikana DAR ES SALAAM. Contact: 0675 111 890
  18. politicians

    JamiiForums Tanzania Amesoma clinical medicine/Co anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar

    Habari wakuu! Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar. Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
  19. C

    JamiiForums Tanzania Naomba nifahamu jambo hili kabla sijafungua pharmacy

    Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana. Nilitaka kujua je ninaweza kufungua halafu ni control duka langu kwa kutumia camera ntakazofunga dukani mke...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kijana wa kiume anayeweza kuuza Pharmacy

    Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627...
Back
Top Bottom