MAC Pharmacy ni nani?

MAC Pharmacy ni nani?

Huyo n mkerewe mmoja wa nansio lakn makaz yake yapo hapa songea mpitimbi analima nyanya chungu lakn ndio hvyo anamiki famas Kila Kona ya mjn daslam
 
Sio rahisi kuwatambua wawekezaji wote

Ukute huyo jamaa ni Mtanzania mwenzetu aliyeona fursa kwenye upande huo wa madawa (pharmacy)
 
Huwezi jua kila kitu.
Fata Yako ,hii nchi Kwa Sasa hutoiweza
 
Back
Top Bottom