pharmacy

  1. De Professor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

    Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani. Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na kunyweshwa vitu vya ajabu ajabu na visivtokua na matokea mazuri mwisho wa siku unapoteza pesa na hata...
  2. FedhaBook

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  3. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati vya afya (pharmacy) visivyokuwa na utaratibu wa kuvaa sare

    Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu. Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari. Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili. Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nini kitatokea dawa ikimdhuru mtu aliyeinunua pharmacy bila cheti cha daktari? Majibu haya hapa

    Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo. Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
  6. The introvert

    JamiiForums Tanzania UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

    UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha
  7. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Hiki Kipimo naweza kukipata Pharmacy?

    Eti wakuu hiki Kipimo cha HIV naweza kukipata kwenye Pharmacy shop?
  8. Surveyor_1

    JamiiForums Tanzania Ni vipi vyuo bora kwa diploma ya pharmacy Dar es salaam

    Wakuu habari za jioni. Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo. Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI. Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini...
  9. HEARTZ

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Bachelor of Pharmacy na Master of Chemistry

    Habarini wanajamii, Naomba kufahamishwa kwa mtu mwenye bachelor of pharmacy na master of chemistry specialized in environmental chemistry soko lake lipo vipi hapa nchin Tanzania.
  10. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mwenye mitihani ya leseni pharmacy (miaka ya nyuma anisaidie tafadhali)

    Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu.. Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
  11. Rich Dad

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Pharmacy (duka la dawa) linalouzwa Kigamboni

    Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Pharmacy business consultant required

    Anahitajika hired consultant kwa ajili ya kuendesha biashara ya duka ya pharmacy wholesale na retail Mae so ya Amana
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

    Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo. Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
  14. Jacqueline Rusimbi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za pharmacy kwenye hospital pharmacy au community pharmacy

    Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi. Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift. Napatikana kwa number 0765607650 au email: jaelynebless@gmail.com
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hivi dawa za PEP zinapatikana kwenye pharmacy hapa Tz?

    Oya eeh jana mambo km vile hayakuenda vizuri. Nlikua nasafisha rungu kwa izi dada poa asee si nkashtuka ndomu imetoka na kubaki ndani ya k bila mi kujua, bizee naendelea na kazi. Sasa nina wasiwasi ule mda ilivovuka nilikua na direct contact na fluid zake asee. Em nisaidieni kupata dawa za PEP...
  16. cold water

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye pharmacy Mtwara au Ruvuma

    .
  17. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ipi course nzuri kati ya diploma ya pharmacy na bachela ya land management and evalution

    Za jioni wadau Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu. Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne kwakuwa nilikuwa na cheti cha form six nikajaribu kuombea nacho pale ardhi (nilifanya kama kujaribu tuu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Mfamasia wa Wilaya apewe majukumu ya kusimamia pharmacy kwenye eneo lake. Tuache kubandika vyeti vya wafamasia kwenye maduka, siyo cctv camera

    Nataka kujua cheti cha mfamasia kinaruhusiwa kubandikwa kwenye pharmacy ngapi ndani ya wilaya anakoishi? Maana kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja basi haina maana kabisa. Kama kinaweza kubandikwa ndani ya pharmacy zaidi ya moja kwa maana ya kuzisimamia, kazi hii angepewa...
Back
Top Bottom