pesa

  1. Huu ndio ukweli; ajira zipo ila Serikali haina pesa za kuajiri

    Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara. Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara? Nini maoni yako katika hili. Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
  2. B

    Tigo Pesa mnaudhi, nimenunua umeme juzi mpaka sasa sijapata

    Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja. Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400...
  3. Siasa na Pesa: Wananchi wengi wamechagua Pesa

    Mambo ni zaidi ya moto, Mama anaupiga mwingi sana. Nilijua na najua kuwa Mama Samia ana akili nyingi sana Ila sikujua kwa kiwango hiki. Ana IQ kubwa sana. Kitendo cha kukataa mabaradhuli kuzunguka mtaani kupiga porojo za siasa ikiwa wananchi wake hawana Pesa ni kitendo cha kishujaa na kinapaswa...
  4. Hizi pesa kwenye akaunti zetu za simu, mtoa huduma anaweza kuzitumia?

    Salamu wakuu! Ni huyu mwanangu mkubwa leo kaniuliza swali hilo, ngoja niliweke vizuri ili tuweze kujadili. Ni hizi akaunti zetu za M-Pesa, TigoPesa, Airtel-Money, HaloPesa, T-Pesa itifaki imezingatiwa.[emoji28] Tunaweka kuhifadhi na kutuma kwenda kwa watu wengine, au kulipia huduma...
  5. Pesa yako kwenye wallet ni kwa ajili gani?

    Pesa yako ya kwenye wallet ina matumizi gani? Je ni pesa yako tu ya akiba umeamua utembee nayo ama ni ya dharura,
  6. Q

    Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

    Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda? Zinunue vitendea kazi vya chama...
  7. Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

    SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
  8. Tundu hakuwa msaliti, alitakiwa ajibiwe kwa hoja sio kwa mtutu. Alipwe pesa zake

    Baadhi ya Watanzania wenzetu wana matatizo sana. Wanapenda kushadadia mambo bila kufanya tafakuri. Kama mtu anasema mtapata hasara mkivunja mkataba fulani ndio apigwe risasi? Mtu akisema tutumie akili kudili na masuala ya kisheria ndio apigwe masasi? Serikali hii hii inatakiwa kumlipa Lissu...
  9. Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai

    Wife ananidai laki 7. Take home yangu haifiki hiyo laki 7. Si mnajua jinsi bank wanavyokaba mpaka penalty. Hawana cha kuruka mwezi, wao kila mwezi wanachukua chao mapema. Mkiuona mwezi nishtueni chap nipunguze laki 5 mbili atanisamehe nikimpa chips chumbani.
  10. Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

    Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni. Pesa zikapotea, muda ukapote. Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete...
  11. Mbunge ataka kuwe na utaratibu wa kuchukua fedha M-Pesa, Tigo Pesa kwa watu wanaofariki na kuacha fedha huko

    Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu. Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
  12. E

    Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

    Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku? Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza? Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru...
  13. Kuna tatizo la Miamala kukwama huku pesa zikikatwa na mitandao

    Mtu unaamka unataka kununua umeme au maji kwa kupitia mtandao wa Airtel au VodaCom. Unafanya manunuzi unaambiwa muhamala haujafanikiwa lakini pesa wanakata. Halafu ukiwapigia simu huduma kwa wateja wanasema watarudisha muhamala huo ndani ya masaa 96 ya kazi yaani siku nne. Kipindi cha nyuma...
  14. BBC News: Hivi ndivyo matajiri wakubwa hutumia pesa yao

    https://www.bbc.com/swahili/habari-57510899.amp Pesa ni kitu cha ajabu sana, mtu anazitafuta kwa udi na uvumba na anapozipata anazitumia kwa matumizi yake aliyojipangia au alichokipatia kipaumbele. Lakini kama wanadamu tunatofautiana katika matumizi. Jarida la Business Insider liliwahi...
  15. MCL: DPP kurudisha fedha za 'plea bargain' kwa waliodhulumiwa

    DPP kuachia mabilioni ya fidia Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu akizungumza na waandishi wa habari wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd wakati wa mahojiano maalumu Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Picha Sunday George Wakati baadhi ya wanasheria na wadau mbalimbali...
  16. Fuata haya kulinda mahusiano na watu wenye pesa au hadhi zaidi yako

    1. Ukitaka kuzoeana na watu wenye pesa zao kamwe USIWAZOWEE 2. Usije kumpigia simu kumsalimia kila baada ya siku kadhaa ikawa ndo desturi yako, acha hiyo atakuwa hapokei simu zako. Kumbuka thamani ya salamu ni pale tunapowasalimia watu ambao wanaona umuhimu wetu na sio ambao tunaona umuhimu...
  17. M

    Rais Samia, wananchi tuna haki ya kujua kilichomo kwenye ripoti uliyoiunda kuchunguza pesa za BoT

    Ndugu Rais, Ukifunika ripoti hii unatupa wasiwasi sisi wananchi kuwa unalinda upigaji na ufisadi, na hili litakuandama kisiasa kwa muda mrefu sana. Ndugu Rais, uchunguzi wa hizi pesa uliuagiza hadharani, wananchi tukishuhudia, tukisikia, na kwa hiyo tuna haki ya kujua je pesa zetu ziko salama...
  18. Hivi wenzetu mnawezaje kutunza hela? Tupeane elimu kidogo ya kutunza pesa

    Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani...
  19. Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  20. Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…