pesa

  1. JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza Pesa kwa kutumia Mawazo

    NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI) Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri Na asilimia 15% ya watu wote duniani huwa hawajui kama wanafikiri au hawafikiri. Na asilimia 80% ya wanadamu wote wako tayari KUFA...
  2. JamiiForums Tanzania Tumia Nguvu zako kupata Pesa

    SAFARI YA KUTAFUTA PESA. TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA. Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga. Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono. Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa duniani bila kujishughulisha na chochote wakati Mungu amekupa Uhai, akili, na afya njema UNAKUWA MZIGO...
  3. JamiiForums Tanzania Mtangazaji Abubakary Sadick wa Radio One: Wanawake mnaopenda Pesa zificheni huko 'Kunako' Kwenu tuone kama zitakidhi Haja zenu za Kitandani

    Akizungumza katika Kipindi kizuri, kitamu na Kinachoelimisha, Kuburudisha na Kufariji cha Mazungumzo ya Familia ( kutoka Radio One ) ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wa Kujilazimisha na Kujiteua Mwenyewe wa Kipindi hicho Mtangazaji Mwandamizi Abubakary Sadick ametupa Dongo la aina yake kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Washindi wa michongo pesa

    Habari za muda huu wanajamvi Nikijielekeza kwenye mada, nimekuwa nikisikiliza Clouds na hii bahati nasibu Yao Kwa kila kipindi. Changamoto ninayoiona hapo ni kwenye kupatikana Kwa mshindi na kumtangaza, ambapo mshindi huwa anatajwa Kwa namba chache za mwanzo au za Mwisho. Sasa najiuliza, mbona...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nihifadhi wapi akiba yangu ya fedha ili nipate faida ya angalau asilimia 10 kwa mwaka?

    Habari ndugu zangu, Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka! Naomba msaada kwa anayejua
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio pesa ya mauzo ya gesi yote iliyogundulika Tanzania mpaka leo 16/03/2022..

    Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet). Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at 02:50 PM NY time ni 4.7650 USD. Hii maana yake ni kuwa thamani ya gesi ni: 4.7650 USD x...
  7. JamiiForums Tanzania Mjasiriamali Chato: Alipoingia Magufuli hata afya zetu zilibadilika, sasa pesa imekuwa ngumu. Viwanja vyaporomoka bei

    Wakaazi wa Chato wakihojiwa na BBC mwaka mmoja tangu aondoke Magufuli wametoa hisia zao tangu aondoke mpendwa wao mzawa wa Chato ikiwemo sekta ya biashara na maendeleo. Wakazi hao wamelalamikia mzunguko mgumu wa biashara kwasasa Chato huku viwanja navyo vikiporomoka bei kulinganishwa wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kulaumu wake zetu, Sisi hatuna Pesa za kuwapa wala hatujalogwa

    Assalamu alyekum! Sina maneno mengi leo si mnajua ni weekend. Nijikite kwenye mada. Wazazi nataka kuwaambia kuwa mnawaonea wake zetu(ambao mi wakamwana wenu) Kwa kuwatuhumu wametuloga, wametufumbata, wametuweka kiganjani Kama online business kisa tunashindwa kuwahudumia na kuwatumia pesa huko...
  9. JamiiForums Tanzania Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Habari zenu wakuu, Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. Napokea maoni, ushauri na...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Serikali kila siku inapewa pesa kuboresha elimu. Kwanini haiajiri walimu?

    Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji. Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu. Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe wengi hata ikiajiri walimu laki moja kwa mkupuo hakuna shida.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Thamani ya pesa

    DEFLATION Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka. Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki. Chanzo cha kushuka kwa bei. 1.Economies of scale. Kampuni ikiweza kuzalisha bidhaa nyingi na...
  12. JamiiForums Tanzania Hasira ya kumfumania mume wake na rafiki yake wa karibu mke aamua kuchoma pesa

  13. JamiiForums Tanzania Watu hupenda kunikabidhi pesa zao niwatunzie, Naogopa siku nikizipoteza au zikiibiwa, Niwe natunzaje kwa usalama zaidi?

    Kuna baadhi ya watu wakipata hela za vibarua, faida, mishahara midogo midogo, n.k huwa wanakuja kuzitunza pesa zao kwangu. wengi huwa wanasema wao kama wao hawawezi ku manage pesa zao kwa sababu nyingi zikiwemo uraibu. Nimejaribu kuwaelimisha hata mambo ya benki na mpesa hizi lakini wanakomaa...
  14. JamiiForums Tanzania Washindi wa Mchongo Pesa ni halali au uhuni unafanyika?

    Wakuu habari za majukumu, Nisiwachoshe nidumbukie kwenye mada. Najua wengi hamko tayari kukiri ila ni ukweli kua wengi huwa tunacheza hii michezo ya kubahatisha ukiwemo huu wa mchongo pesa. Sasa tatizo ni kua mbona wanashinda wengine? Mimi nina entries zaidi ya 120 lakini kushinda sishindi...
  15. JamiiForums Tanzania Sites za picha kama Pinterest, stock, flickr zinapataje pesa?

    Eti wakuu, hizi sites za photo zinapata vipi pesa?
  16. JamiiForums Tanzania Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  17. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuifundisha jamii elimu ya uchumi na pesa

    Kwa wanafunzi mashuleni kuwe na mtaala wa kufundisha somo hili. Zamani kuna mada katika somo la Sayansi Kimu au maarifa ya nyumbani lilizungumzia misingi ya uchumi na faida za kuweka akiba. Kwa wale wenye vyeti na hata stashahada za uchumi mnaweza kufundisha jumuia za kanisani I, msikitini au...
  18. JamiiForums Tanzania Pesa za kununua mechi zipo, za kulipa deni hazipo?

    SAKATA LA MTIBWA DHIDI YA YANGA 🔋 Wakati Yanga wanakubaliana uhamisho wa Kinda Abou Msheri kutoka Mtibwa, walitaka kulipa ada ya uhamisho kwa mikupuo miwili (installments) 🔋Mtibwa walisema wazi kuwa wao wanachotaka ni pesa yote kamili kwakuwa hawana haraka nayo, Mtibwa ikaomba ipewe tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania Usiogope tambua heshima Pesa ionekane kwenye wallet yako: Fuatilia mkasa wote

    Habari JF family! Gawiza? Story hii inamixer zote uwe mvumilivu. Way back mwaka 2012-2013, hii miaka sikuwa na gari kabisa ila already nilikuwa na viwanja si haba kimara bonyokwa 40x50, Mapinga bagamoyo eka moja na nusu eka, Mpiji magoe sio mbali na Dr. Mvungi R.I.P mwamba, eka moja, CCM chama...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

    habari wakuu, kampuni tajwa hapo juu ni kampuni ya kubett ijulikanayo kama piga bet ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha, jana jioni nikapata pesa yangu sehemu ,nikasema ngoja niizalishe basi nikaweka kwenye acc,nikabett live matches match zikaisha zimetoa kasoro moja tu. nikasubiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…