pesa

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Bank Mkononi: Pesa inatumika kama upepo, najuta kujiunga

    Sitakuwa na maneno Mengi! Hii ni ile huduma ya bank mkononi! Nilivyotaka kujiunga kale ka kahudumu ka benki kaliunganisha fasta fasta kwa bashasha! Kumbe wanajua inavyowalipa vizuri huduma hiyo! Nilifurahi sana kuunganisha bank mkononi ili kuepusha usumbufu wa kwenda bank/ATM. Lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana kama hamna pesa msilazimishe mapenzi

    Leo niko mkoani kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuuanza mwaka, ingawa nishaona wazi kabisa mama yetu Samiah keshazidiwa kete na watoto wa mjini na madume ya Magufuli. Tukirudi kwenye kichwa cha habari kama kawaida yangu sikutaka kulaza damu nikasema ngoja nijichanganye katika moja wapo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

    Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja. Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine. Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

    Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu Nigeria ametupia screenshot ya hamisho la pesa hizo Wawili hao walifunga ndoa 2019 na wana mtoto mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Tafadhari leo Xmas kwa wale wapenda sifa kutumia akiba ya pesa kwa pupa

    Tafadhari kaa mbali na simu usijekutumia simbanking kaa mbali na atmcard leo siyo siku nzuri kwa wale wapenda masifa 😎😎 January school fees
  8. I

    JamiiForums Tanzania Waamuzi ligi Kuu wadhulumiwa PESA zao tangu mzunguko WA nne,Tff,azam,bodi ya ligi,nbc,gsm mko wapi?

    Hali ya waamuzi wa ligi kuu Tanzania ni mbaya, hawajapewa malipo yao tangu mzunguko WA nne WA ligi Kuu,licha ya uwepo wa wadhamini wengi. Si haki hata kidogo watu wanaenda vituoni wanachezesha mechi wengine wanazaidi ya mechi tatu hadi nne bila kupewa pesa yao. Kwa mazingira haya kweli tutapata...
  9. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  10. JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe elimu ya pesa kuanzia awali

    HABARI
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: tafsiri ya ndoto ya kuokota pesa na biashara ndogo.

    Habari zenu wakuu. Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja. Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

    Hii ni special kwa all internet money hustlers! (Read more....) Kama umekuwa interested au umefanya research kuhusiana na freelancing then utakuwa umekutana na platforms za freelancing kama vile Upwork, Fiverr, Freelancer na zaidi. Lakini, swali linalokujia akilini at the beginning ni namna...
  13. JamiiForums Tanzania Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

    Hello guys, good morning! Ukosefu wa nguvu za kiume na ukosefu wa fedha vyote ni tatizo. Je, yupi ni mchawi mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza niliijua maana halisi ya "Mtoto wa kishua" kupitia huyu dogo. Kuna watoto wamezikuta pesa aisee!

    Nilikuwa nimeripoti chuoni mwaka 2011 kwa mara ya kwanza baada ya kuhihitimu form 6, Nilifikia hostel mnakaa watu wawili kwenye chumba, nilimkuta dogo flani yeye kamaliza form 4, alikuwa ameshaanza form 5 lakini aliachana nayo ili asome chuo. kwa haraka haraka tu nilijua kwamba huyu dogo...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini ukizikamata pesa za kutosha tu matatizo yanakujia.

    Habari! Hii mada nimeileta kutokana na uzi aliouandika bwana mmoja hapa jf akilalamika jinsi simu za ndugu na marafiki zinavyomiminika kuomba msaada pindi tu anapopata fedha. Kuna watu mpaka kanisani wanashuhudia jinsi Mungu alivyowavusha walipopata tatizo, wakisema kuwa tatizo lilipokuja...
  16. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Hivi pesa za kupambana na Covid-19 zinahusikaje na ujenzi wa madarasa?

    Habari! Sina maneno mengi nakwenda kwenye mada. Hivi pesa za msaada sijui mkopo zilizotolewa na wazungu kupambana na UVIKO 19 zinatumikaje kujengea madarasa? Tumeshindwa kujenga madarasa kwa fefha zetu wenyewe huku tukithubutu kununua ndege ambazo ni gharama kuliko hayo madarasa? Je, elimu...
  17. JamiiForums Tanzania nina kifurushi cha data (MBs) na dakika nyingi kwenye simu yangu, jinsi ya kuvitumia kuniingizia pesa

    wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
  18. JamiiForums Tanzania Pesa za UVIKO ziende hadi vyuoni

    Hata vyuo viliathirika sana Na covid 19, vyuo binafsi ndio kabisaaa! Pesa tulizopata za kupunguza athali za corona zisiishie kupanua madarasa shule za msingi Na secondary tu, Bali ziende hadi kwenye vyuo vya kati Na vyuo vikuu ili kusaidia kuweka mazingira ya kupokea wanafunzi wwngi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

    Wakati huna pesa yametulia tuli,pata pesa Sasa utasikia Bibi kameza chemli huko kijijini😥 Hii sayari yetu yatatu hii imekaa kimichongo Sana😬
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia fahamu kwamba Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa elimu, Wakuu wa wilaya na walimu wakuu wana mtandao wa wizi wa pesa za madarasa

    Mimi ni mwalimu wa miaka mingi. Nina mates wangu wengi ktk taaluma ya ualimu mikoa mingi ya nchi hii. Hii siyo mara ya kwanza kuwa na ujenzi wa madarasa, tatizo ni ubora duni unaotokana na wizi wa watendaji wakuu wilayani na halmashauri. Wizi mkubwa ni wa Sementi, mbao na mabati kiasi kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…