pesa

  1. JamiiForums Tanzania Vijana pambana uwezavo ukitoka kwenye starehe utumie pesa yako

    Kwa ufupi hakuna pesa nzuri kama ya kwako binafsi, najua starehe inahitaji pesa ila ukiwa ukiwa na pesa yako mkononi mambo yote safi..
  2. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume. Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana...
  3. JamiiForums Tanzania Pesa ni Mfalme wa watu wote

    Najua mada hii inaweza kuwa nyeti kwa baadhi ya watu, hivyo basi samahani sana kwa mtu atakayekereka. Katika vitu vinavyojulikana sana duniani, Pesa inashika nafasi ya kwanza, sababu hadi watoto wa chekechea wanajua umuhimu na matumizi ya pesa kuridhisha hamu zao kununua vitu vya kumung'unya na...
  4. JamiiForums Tanzania Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

    Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama. Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni. Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
  5. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

    “Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc. Chanzo: Dar Mpya Blog Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
  6. JamiiForums Tanzania Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Bunge letu linawezaje kuidhinisha pesa ya walipa kodi wote wa nchi hii waweze kuvikarabati viwanja vya CCM?

    Tulimsikia Waziri wa Sanaa na Michezo wa nchi hii, Mohamed Mchengerwa, Katika kusoma bajeti yake ya mwaka huu, kuwa analiomba Bunge hilo liweze kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 10, kwa ajili ya kuvikarabati viwanja hivyo vya CCM, ambavyo alidai kuwa vipo Katika Hali mbaya Ikumbukwe kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

    Complete violation of the constitution of URT. 👇Serikali katika mwaka 2022/23 imetenga kiasi cha Sh. 10 bilioni kwa ajili ya Ukarabati wa viwanja saba vilivyopo katika Majiji, ambavyo ni Jamhuri – Dodoma, Sheikh Amri Abeid - Arusha, Sokoine - Mbeya, CCM Kirumba – Mwanza, na Mkwakwani – Tanga
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali ifuatilie utakatishaji wa pesa unaofanya na watu wanaojiita Mawakili wa Sabaya

    Isionekane kama ushauri wangu huu ni sababu ya chuki dhidi ya jambazi sabaya lakini ukweli uko wazi kuna njama ya kutakatisha mamillion ya pesa yaliyotokana na ujambazi wa wazi wazi uliofanywa na Sabaya enzi za utawala wa kayafa kupitia mbinu ya michango ya wananchi kugharamia gharama za kesi...
  11. JamiiForums Tanzania Unaweza lipa pesa kustream music?

    Kuna hizi music streaming platforms kama spotify nk. Mfano hawa spotify wanacharge 6,000 kwa mwezi. Unaweza lipia kustream music?
  12. JamiiForums Tanzania Tumaini Kweka akemewe aache kutumia kodi za Wananchi kumtengenezea Sabaya kesi za mchongo ili apige pesa

    Hapo vip!! Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu. Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya kujitengenezea pesa kutoka katika kodi za wananchi pasipo Samia kujua hilo.Wananchi na wanaccm...
  13. JamiiForums Tanzania SUA, hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnawawazia nini?

    SUA hao wanafunzi wanaoenda field bila kuwapa pesa za kujikimu mnatuwazia nini?Hili ni swali ninalojiuliza ila hadi sasa hakuna majibu. Watanzania kazi iendelee. Katika mambo yanayoonekana kuwa na matatizo ni jinsi baadhi ya vyuo vikuu vinavyotekeleza mambo yake,leo nitaandika mambo...
  14. JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

    Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi. Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda. Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Mke na Mama ndio wenye Mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume

    Kwema Wakuu! Tunakumbushana tuu! MWANAMKE pekee mwenye mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume ni Mama yake mzazi na Mke wake tuu, wengine ifanyike biashara. Kama ni kuuziana muuziane, Kama ni kununua mnunue iwe Kwa masaa Kwa siku au wiki. Wanawake msikubali kukaa kwenye mahusiano...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Msingi Tandahimba awalazimisha Walimu Wakuu kuchangia mitihani ya utamilifu kwa pesa za mfukoni mwao

    Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba anawalazimisha walimu kuchangia mitihani ya utamilifu ngazi ya mkoa kwa pesa za kutoka mifukoni mwao. Afisa huyo ajulikanaye kwa jina la Samuel Mshana ambaye amehamia kwenye halmashauri hiyo hivi karibuni akitokea Halmashauri ya wilaya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Unapigaje pesa kutumia siasa/chama cha siasa?

    Kumradhi wadau naomba mwenye uelewa wa kina kuhusu jambo hili anielimishe kidogo. Kwa mtazamo wangu kufanya siasa ni jambo ghali sana, hasa unapofanya siasa ukiwa hauna serikali wala wawakilishi wanaopelekea walau upate ruzuku. Ili ufanye siasa ni lazima uwe na mahali pa kuanzia yaani uwe...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kama ndio kikokotoo ni 33% Nawashauri watumishi endeleeni kula kwa urefu wa kamba zenu

    Maake sasa hizi ni dharau, na mateso, vyama wa wafanyakazi vimeshindwa kujua kua ile pesa ndio tunaitegemeaga sana kuinua miradi mikubwa, Leo hii unipe 33% itanisaidia nini, mbn wabunge wanapewa 100% tena ni hela nyingi sana ndani ya 5yrs? Mlipe mishahara midogo bado na pensheni mminye...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, wikiendi iliyopita binti wa chuo alichonifanyia kwa hotel Dar itabaki kuwa sehemu pendwa ya starehe

    Kwa ufupi kila nikisikia ile nyimbo ya kijana Diamond aliyoimba na Zuchu, mbo..00 inasimama ghafla. Vijana tafuteni pesa ili uzeeni mfurahie maisha, ni wewe kuchagua leo uwe na amina, mke wa khalfani n.K
  20. JamiiForums Tanzania Tarime:Mwalimu jela miaka sita kwa kutafuna pesa shule Tsh mil tatu.

    Mahakama ya Wilaya ya Tarime imemuhukumu kwenda jela miaka mitatu aliyekuwa mwalimu mkuu shule ya msingi Mwege iliyopo wilayani Rorya mkoani Mara,Issaya Gwidana kwa makosa 6 ikiwemo la kughushi hundi za shule na kuchukua Sh. milioni 4.965 ambazo ni kwa ajili ya ujenzi wa madarasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…