pesa

  1. JamiiForums Tanzania PENDEKEZO: Tozo ya Kubadilisha pesa za Kigeni!

    Mtu anayebadili pesa za Kigeni huyo si mnyonge hata kidogo, bali ana excess (nyongeza) hivyo napendekeza pawepo TOZO kila mtu anapobadili pesa za Kigeni ili kupata pesa za Kujenga na kuendeleza huduma za Jamii nchini. NB: Maduka/Benki zihakikishe hakuna transaction bila National ID/Passport
  2. M

    JamiiForums Tanzania Akili ninazotumia kuwanasa wanawake ningezitumia kutafuta pesa Mo angesubiri

    Vyuoni wangefundisha tu hii kozi ya women affairs Jana nimechakata mwanamke boss mkubwa sana wa wizara fulani kaja hotelini na STK, dereva yuko nje anamsubiri mimi nillienda na bajaj nikaondoka na bodaboda Uongo na mbinu nilizotumia kumpata mpaka najishangaa hiki kipaji nimekitoa wapi
  3. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Bank kukata Pesa ya Mteja kwenye Account yake bila ridhaa ya mwenye Account?!

    Yaani kisa SERIKALI imetamka basi Bank inakua na mamlaka ya kuingia na kuchukua pesa kwenye account za Wateja Wake? Inawezekana vipi? Sijawahi kuwa na mkataba na bank wa kunikata Tozo, je sheria inasemaje?
  4. JamiiForums Tanzania Je, pesa huwavutia Wanawake?

    Ndio Inawavutia wanawake, lakini kwa kawaida ni aina mbaya ya wanawake, wale ambao kimsingi wanapendezwa na pesa (Slay Queens). Wanaume wengi wenye akili, wacheshi, watanashati na wenye haiba nzuri wana mengi zaidi ya kutoa kuliko pesa tu...... Pesa iwepo Tu kama kilainishi mfano Sabuni au KY...
  5. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilichagua kusoma, akachagua biashara, nikaenda kumkopa pesa akanishauri nifanye biashara, leo nimemuajiri ananiomba nimsaidie akasome!

    Habari za muda huu ndugu msomaji wa makala hii. Napenda kukukaribisha kusoma simulizi hii fupi yenye uhalisia Kwa namna Moja ama nyingine. Tukiwa na umri wa miaka kumi Mimi na rafiki yangu aitwae Mido tulikuwa ni watoto wa mfano sana kijijini kwetu tulipokulia, wazazi wangu na wazazi wa Mido...
  6. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwalipa wasanii pesa inayowawezesha kuishi bila kujichanganya na jamii

    Msanii ni kioo cha jamii na jamii ina watu wenye uwelewa tofauti na hupokea ujumbe katika mapokea tofauti. Mfano tamdhilia ina kipengele cha mama wa kambo mtesi wa watoto. Nia ya sanaa ni kuweka wazi matendo yanayoendelea katika jamii lakini kuna watakao pokea na kumchukia yule msanii hasa...
  7. JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa. Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio...
  8. JamiiForums Tanzania Barnabas Classic, " Diamond aliniuliza unataka sifa au unataka pesa?"

    Barnaba Classic aka Mopao aka Mtukazi ambaye kesho anaachia album yake yenye hadhi ya kimataifa album inayoandaliwa kwa ajili ya international market. Amesifu namna Diamond Platnumz alimpokea na kumuunga mkono kwenye kusimamia project nzima ya album yake ya Love Sounds Different. Maneno...
  9. JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Ali Kiba kaanza kukamata pesa ndefu tangu zamani lakini bado sio tajiri?

    Ali Kiba kaanza kuimba zamani sana aisee, miaka ya 2006 jamaa aliwahi kupewa milioni 200 kwa mauzo ya kaseti na cd zake, hio milioni 200 ya enzi hizo naweza kusema ni kama milioni 600 ya sasa. Hakuishia hapo tu aliendelea kupiga mikwanja mizito endelevu miaka na miaka mpaka sasa lakini bado...
  11. JamiiForums Tanzania Historia ya pesa ya sarafu Tanzania

    Baada ya vita ya dunia mwaka 1919, Bara na Zanzibar pamoja na Kenya na Uganda zilikuwa chini ya himaya ya mwingereza ingawa kwa mikataba tofauti. Kuanzia hapo nchi hizo zilianza kutumia sarafu moja. Katika kipindi kifupi kuanzia mishoni mwaka 1919 hadi kati kati ya mwaka 1920, bara walitumia...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania hii ya leo kama hauna pesa wewe si lolote si chochote

    Kwa muda mrefu habari hizi za kutafuta hela tunazisikia kila siku imefika wakati maana hasa ya maneno haya inapotea. Ni mpaka hapo utakapokua na kupitia experience fulani ndiyo utaelewa uzito na ukweli wa maneno haya. Tanzania hii ya leo watu tunadharauliana sana. Sisemi kama zamani mitazamo...
  13. JamiiForums Tanzania Fani ipi kati ya hizi ina fursa za kupiga pesa?

    Salaam wadau, Moja kwa moja kwenye maada husika Mimi ni kijana mwny umri wa mid 20’s. Nina mpango wa kwenda VETA ili kujifunza ujuzi niweze kujipatia kipato. Lengo langu nikasomee kimojawapo kati ya udereva au ufundi simu+computer. Udereva nilioulenga ni Basic driving + ADVANCED DRIVERS GRADE...
  14. JamiiForums Tanzania Kuingiza Pesa Mtandaoni Kupitia Blogging: Muongozo Kamili

    Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu... Basi nadhani...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imepata wapi pesa ya ruzuku ya mafuta?

    Wakati wa mchakato wa rasimu iliibuka hoja ya serikali tatu, Dr. Shein akiwa rais wa Zanzibar wakati huo alikuwa miongoni mwa watu walipinga Kwa madai mapato ya Zanzibar ni kidogo hivyo isingemudu gharama za uendeshaji serikali ya muungano. Leo taarifa ya habari imetangaza hatua ya serikali ya...
  16. JamiiForums Tanzania Huduma za Tigo pesa sasa zinapatikana kwenye Zantel

    Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel. Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa. Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yafadhili mkutano wa Shirikisho la Soka baada CAF kukosa pesa

    Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Mkutano Mkuu wa CAF umefadhiliwa kikamilifu na Serikali ya Tanzania, jambo ambalo halijawahi kutokea hapo nyuma. Taarifa zinasema Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imekosa fedha na iko kwenye hatari ya kufilisika kiasi cha kufikia kuomba serikali za...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  19. JamiiForums Tanzania Dstv wanaweza kurudisha pesa kama umenunua kifurushi mara mbili?

    Inasikitisha sana wakuu
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake 7 kumtaka mwanaume mmoja. Unyenyekevu na utiifu vyahusishwa katika ndoa

    Hakuna mwanaume mkali mbele ya mwanamke mnyenyekevu na mtiifu. Kuna sababu nyingi zinazo pelekea wanawake kutoolewa na kuongezeka kwa idadi ya ndoa zinazo vunjika. Katika uislamu lengo la ndoa sio kutafuta utajiri wala kusaidiana maisha, lengo la ndoa katika uislamu ni kupata utulivu na familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…