pesa

  1. JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kuitega pesa

    Habari wakuu... Kwanza kabisa inatakiwa tuelewe kuwa kuna tofauti Kati ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa. Mimi na wewe tunajua namna ya kutafuta pesa lakini watu matajiri wanajua namna ya kutengeneza pesa. Tofauti ya kutengeneza pesa na kutafuta pesa ni kuwa pesa haitaki kuonwa wala...
  2. JamiiForums Tanzania MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

    Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu. Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga FC yaingia mkataba mpya na SportsPesa wa miaka 3 wenye thamani ya Tsh Bilioni 12

    Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75. --- Mabingwa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Pesa za REA zianze kupelekwa kwenye gesi ya kupikia ili vijijini nao waanze kutumia gesi badala ya kuni na mkaa

    Pesa za REA zianze kupelekwa kwenye gesi ya kupikia ili vijijini nao waanze kutumia gesi badala ya kuni na mkaa. Inawezekanaje? PESA za REA zielekezwe kwenye ruzuku ya gesi. Takwimu zinasema umeme umeenda nchi nzima vijiji kibao vijiji vichache tu vimesalia kupata umeme Pesa za REA sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Pesa inavyonifanya kuwa kicheche

    Wadau musalam!!! Napitia changamoto saana kwenye hali yangu ya mahusiano kwa sasa... Nimegundua nna moyo wa mapenzi ya dhati saana tatizo ni mkwanja yaani pesa inanifelisha mpaka napagawa yaani. Yaani ipo hivi kwakuwa nimejaaliwa dizaini ya mwonekano wa mtu mwenye vijisenti so imekua rahisi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania China yaingiza vifaru mitaani kuzuia watu wasitoe pesa Bank

    Katika kile kinachoonekana kama kutumia nguvu kuulinda mfumo wa pesa usianguke mazima nchi ya Uchina imelazimika kuingiza vifaru vya kijeshi& wanajeshi waliojihami kwa siraha mtaani kuzizunguka bank ili kuwatisha wateja wa bank hizo zenye mgogoro toka mwezi April wasitoe pesa zao na kusababisha...
  7. JamiiForums Tanzania Matapeli wa ardhi Morogoro wanatamba wanavyotaka kwakuwa wanashirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali

    Naam hili halina ubishi. Morogoro kumekuwa na migogoro mingi sana ya ARDHI ambapo chanzo ni matapeli kuuza maeneo ya watu. Matapeli wa Morogoro wanatamba Wanavyotaka na wanatapeli pesa nyingi sana kupitia kuuza maeneo ya watu, wamekuwa na kiburi Kwa vile mgao wanapeleka Kwa wakubwa wa polisi...
  8. JamiiForums Tanzania PRSS 1 Salary scale ni pesa ngapi?

    Nisaidieni wakuu.. kuna kazi za serikalini nimeziona nataka kujitosa ila sasa scale ya mshahara ni PRSS 1.. Sasa nataka kufahamu hiyo ni pesa ngapi.. Je itatosha kufanya maisha na kuhonga?
  9. JamiiForums Tanzania Unawezaje kukata kodi pesa ambayo mtu ameihifadhi hajauza kitu?

    Yaani kwa sasa wameshakopa sasa wamefikia kikomo wanatafuta mahali pa kukamua kuendana na hayo madeni, ni mwendo wa kubuni kodi za vichwa sasa maana huwezi kata kodi akiba ya mtu ambayo hajaifanyia kazi or kuuza kitu hiyo sio kodi badi ni unyang'anyi. Umemuingizia mshahara mtu umemkata kodi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

    Habari JF, Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi. Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
  11. JamiiForums Tanzania Tumia pesa yako ndogo watu wakufanyie kazi

    Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee. Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:- Wauza mishikaki Wauza matunda Mama ntilie Utaanzaje anzaje:- Tembelea hayo makundi hapo juu Tathmini mauzo yao kwa siku Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

    Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k Hivi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Jambo Pesa haiwezi kununua

    Wanadamu wengi tumerithi kwa walezi wetu fikra isemayo kwamba ukiwa na pesa unaweza kununua chochote ukipendacho kwa sababu tulishuhudia kumuona tajiri wa mtaa akisumbua atakavyo wakati tulipokuwa wadogo ila wengi hatukufundishwa kutambua kuwa ndoa ni ya mtu bali msiba ni wa watu. Ndoa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji waliosajiliwa pesa nyingi kisha wakaflop

    Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea. Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
  15. JamiiForums Tanzania Dawa inapenya mtulie: Mara Hamuwezi kumsajili Aziz Ki, mara zile picha ni feki. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili kwa Pesa nyingi

    Mara Hamuwezi kumsajili,,Mara Zile Picha ni feki, mara Fyoko Fyoko. Sasa hivi Mnasema oooh mmemsajili Kwa Pesa nyingi, Kwani Pesa zenu au za Shangazi zenu? Kinawauma nini hata tukimsajili bure au kwa Mamilioni?
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga tunajua pesa ya pre season hamna tuwekeni wazi mashabiki tuchangie

    Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa. Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season...
  17. JamiiForums Tanzania Kukosa pesa kunaweza kitu watu wengi wenye tabia mbovu wanajificha humo (camouflage) na kuonekana ni wastarabu ilhali sio

    Salaam wadau.! Natumaini kabisa mko njema. Kwenye maisha yetu kila siku tumekua tukipitia vipindi tofauti tofauti ambavyo vimejaa furaha, machungu na Majonzi wakati fulani. Binadamu anaweza kuwa ni kiumbe pekee mwenye hisia hasa hasa kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii, ambaye kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Awamu ya 5: CAG Mstaafu Utouh alia na upigaji wa Trilioni 1.2, aitaka Serikali ieleze pesa zilikokwenda

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. CAG Mstaafu Ludovick Utouh na Mkurugenzi wa Taasisi ya Wajibu Tanzania ameitaka Serikali kufanya uchunguzi na kuwatafuta wote waliotafuna pesa kiasi cha Trail.1.23 zilizoibuliwa na Mkaguzi wa ndio mwaka wa Fedha 2019/2020.. Utouh Amesema licha ya pesa hizo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haziokotwi! Mpira wetu bado haulipi kihivyo. Mo kakata moto, GSM anajuta

    Kulianziswa ile project ya Nani zaidi, wananchi na makelele yote milioni 50. Wenyenchi mikelele yote mil 100 .Na project ikafa. Milioni 100 haitoshi hata kumsajili George Mpole wala Sopu, pesa haziokotwi. Mo hajaanza kuisaidia Simba juzi ni zaidi ya miaka 20, ila biashara ngumu. Mashamba yake...
  20. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa uwakala wa M-pesa na Tigo pesa

    Salaam kwenu wakuu, ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…