kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,952
- 26,072
Greetings
Hivi wakuu, kwa mwanaume kuonekana uko romantic kibongobongo ni pamoja na kugawa pesa hovyo kwa kila shankupe unalokutana nalo hapa mjini?
Iko hivi kuna shankupe flani nilikutana nalo mahali kwenye sherehe,usiku ule tukaruka debe, piga tungi sana na kisha tukamalizia kwa kupigana miti.
Sasa baada ya kama week likaanza kuniletea invoice zake mara gari inatakiwa service na hana pesa, mara sijui simu imeanguka inatakiwa kununua kioo. Mimi nikaona ujinga huo sifanyi nikawa sijibu texts zake basi bana hapa saivi limenitumia bonge ya message linaniambia eti mimi siko romantic kisa sijalipa mkwanja.